Utandawazi – Kipindi 5 – Kuanzisha Biashara25.05.201125 Mei 2011Msikilize mhandisi wa teknolojia ya mawasiliano aliyeanzisha kampuni yake Duoala, mji mkuu wa kibiashara wa Cameroon. Amesoma Marekani na sasa ni mkuu wa kampuni ya Soft Tech International nchini mwake.https://p.dw.com/p/RHfnMatangazo