1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Utulivu warejea Gaza

30 Mei 2018

Hali ya utulivu imerejea katika ukanda wa Gaza siku ya Jumatano, chini ya usitishaji mapigano ulioratibiwa na Misri, kufuatia uhasama mkubwa zaidi kati ya Israel na wapiganaji wa Kipalestina tangu vita vya mwaka 2014.

https://p.dw.com/p/2ydjZ