Uhaba wa ajira ni miongoni mwa changamoto kubwa katika maeneo mengi Afrika Mashariki. Nchini Kenya, kulingana na utafiti uliofanywa na shirika la kitaifa la takwimu, Kenya National Bureau of Statistics (KNBS) wakenya millioni saba hawana kazi. Kati yao, millioni 1.4 wamekuwa wakitafuta kazi kwa udi na uvumba. Jiunge na Fathiya Omar katika Vijana Tugutuke.