1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Viongozi wa Sudan Kusini waafikiana

Carolyne Robi Tsuma27 Juni 2018

Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar wametia saini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini humo katika kipindi cha saa 72 zijazo, hivyo kufufua matumaini ya kupatikana muafaka wa kuvimaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Sudan Kusini ambavyo vimedumu kwa miaka mitano na kusababisha vifo vya maelfu ya watu na mamilioni ya wengine kuachwa bila ya makazi.

https://p.dw.com/p/30Pa7

Caro Robi amezungumza na balozi wa Sudan Kusini nchini Ethiopia James Pitia Morgan ambaye kwanza anafafanua kuhusu khartoummakubaliano hayo.