1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Virusi vya Marburg ni hatari kiasi gani?

Hawa Bihoga
20 Januari 2025

Tanzania imethibitisha kisa cha kwanza cha ugonjwa wa Marburg Kaskazini Magharibi mwa taifa hilo la Afrika Mashariki. Mlipuko wa sasa unakadiriwa kuwa na hatari kubwa ya kuenea Tanzania na nchi jirani. Je virusi hivi ni hatari kiasi gani?

https://p.dw.com/p/4pOX1