Zaidi ya wanahabari 30 katika wilaya ya Rutshuru huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamelazimika kuviacha vituo vyao vya matangazo kufuatia vya kundi la waasi wa M23 tangu kutekwa maeneo kadhaa wilayani humo ambamo baadhi wamepata hifadhi kwenye makao makuu ya kikosi cha walinda amani wa umoja wa mataifa. Mengi zaidi na mwandishi wetu wa Goma Benjamin Kasembe