You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Wakio Mbogho
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Wakio Mbogho
Taarifa na Wakio Mbogho
Je, vijana ambao huandamana Kenya hutumiwa na wanasiasa?
Je, vijana ambao huandamana Kenya hutumiwa na wanasiasa?
Nchini Kenya, Gen Z (vijana wa kati ya umri wa miaka 17-28) wamekuwa wakiendesha kampeni mitandaoni hadi mitaani ili kuiwajibisha serikali. Lakini swali linaloibuka ni je, baadhi yao wanatumika kisiasa? Na ni mbinu gani bora zaidi wanayoweza kuitumia kufuatia hali ya sasa ya kisiasa? Wakio Mbogho amelijadili suala hilo pamoja na vijana nchini Kenya kwenye kipindi cha Vijana Tugutuke.
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Juhudi za wanawake kukabili athari za tabia nchi
Wanawake kutoka kote barani Afrika chini ya Msaada wa Wataalamu wa Kundi la Afrika la Wapatanishi (AGNES) wamezindua kampeni ya kuwawezesha wanawake kujumuishwa ili kushawishi mamlaka inayosimamia mipangilio ya hali ya hewa kwa kuhimiza masuala ya wanawake kuzingatiwa wakati wa kutenga bajeti na kubuni mikakati. Kwenye makala hii, Wakio Mbogho, anachanganua zaidi
Uwezo wa dawa za kiasili na usalama wake Kenya
Uwezo wa dawa za kiasili na usalama wake Kenya
Wagonjwa zaidi wanaougua magonjwa sugu wanaripoti hali yao ya kiafya kuimarika baada ya kugeukia dawa za kiasili. Wadau kwenye sekta hii wanasema kuna haja ya kuwianisha dawa za kiasili na za kisayansi ili kuupiga jeki mfumo wa afya nchini Kenya. Makala ya afya yako hii inajikita kwenye mada hii na mwandishi na msimulizi ni Wakio Mbogho.
Ukiukaji wa haki za binadamu Kenya
Ukiukaji wa haki za binadamu Kenya
Serikali ya Rais aliyeko madarakani Kenya William Ruto inakosolewa kwa ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu miaka miwili tangu ilipoingia madarakani. Zaidi ya mauaji 128 ya kiholela yamerekodiwa na visa 351 vya unyanyasaji kuripotiwa na mashirika ya kutetea haki za binadamu tangu mwaka 2022. Wakio Mbogho anajikita kwenye suala hili katika makala hii ya Mbiu ya Mnyonge.
Baraza la Seneti Kenya kujadili hoja ya kuondolewa Gachagua
Baraza la Seneti Kenya kujadili hoja ya kuondolewa Gachagua
Wakenya wamegawanyika na wanatoa maoni yao mseto kuhusu mchakato huo wa kumuondoa naibu wa rais Gachagua madarakani.
Mwanariadha wa olimpiki Mganda afariki baada ya kuunguzwa
Mwanariadha wa olimpiki Mganda afariki baada ya kuunguzwa
Rebecca Cheptegei alimuagiwa petroli na mpenzi na kisha kumuasha moto, kutokana na mzozo juu ya kipande cha ardhi.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo