1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wakulima wa viazi Kenya wajitosa kwenye soko la kimataifa

26 Aprili 2023

Kilimo cha viazi nchini Kenya kimeandamwa na masaibu mengi. Serikali ya Kenya imetia juhudi kubadili hali hii kwa kuimarisha kilimo na usindikaji wa viazi.

https://p.dw.com/p/4Qacj