1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Wanahabari nchini Kenya wametakiwa kuwa waangalifu zaidi wanapotangaza habari kwenye redio

Halima Gongo (HON)13 Februari 2023

Hii ni ili kuepuka kuupotosha umma na kusababisha fujo. Hayo yamesemwa kwenye maadhimisho ya siku ya Radio Duniani, warsha iliyoandaliwa kwa mara ya kwanza mjini Mombasa.

https://p.dw.com/p/4NQu7