1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Serikali na upinzani kuanza mazungumzo nchini Kenya

thelma12 Aprili 2023

Viongozi wa siasa nchini Kenya wanajiandaa kwa vikao vya pande mbili ili kutafuta suluhu ya mivutano iliyosababisha maandamano ya kuishinikiza serikali. Bunge la taifa na Seneti linasubiriwa kukipa ridhaa kikosi cha wabunge 14 wanaowakilisha muungano unaotawala wa Kenya Kwanza na upinzani wa Azimio. Sikiliza ripoti ya Thelma Mwadzaya kutoka Nairobi.

https://p.dw.com/p/4Py7K