MichezoZawadi miongoni mwa wanamichezo zazua sintofahamuTo view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoMichezoLilian Mtono13.01.202513 Januari 2025Zawadi zilizotolewa kwenye michuano ya kuruka kwenye theluji nchini Ujerumani zimezua tafrani, baada ya mshindi kwa upande wa wanawake kuzawadiwa sabuni za kuogea. Kulikoni? Tizama zaidi. #Kurunzihttps://p.dw.com/p/4p7ieMatangazo