JamiiWapigania mtaa kuondolewa jina la kibaguzi To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoJamii27.08.202027 Agosti 2020Ni wanaharakati huko mjini Berlin ambao wameshinikiza na hatimaye kufanikiwa kuondoloewa kwa jina la mtaa linaloashiria ubaguzi wa rangi na kudhalilisha mtu mweusi.#KurunziUjerumani https://p.dw.com/p/3hZlGMatangazo