JangaUfilipino
Watu 15 wafariki kwenye ajali ya moto kiwandani, Ufilipino
31 Agosti 2023Matangazo
Wengi waliokufa kwenye moto huo ni wafanyakazi wa kiwanda hicho ambacho kiko katika eneo la makaazi ya watu.
Kwa mujibu wa afisa mmoja wa shirika la kuzuia moto, watoa huduma ya zima moto walichelewa kufika kutokana na mafuriko,msongamano wa magari na kukosea anuani ya kiliko kiwanda hicho.
soma pia:
Wengi waliokufa walikuwa wamelala kwenye vyumba vyao wakati moto ulipozuka na watu watatu walinusurika na kupelekwa hospitali kutokana na majeraha walopata baada ya kuruka kutoka ghorofa ya pili.