Wenye ulemavu wa ngozi wapiga kura25.10.201525 Oktoba 2015Walemavu wa Ngozi wanaoishi katika kambi maalumu ndani ya shule ya msingi Mazoezi Kabanga wilayani Kasulu, wamefanikiwa kushiriki kupiga kura wakionesha alama ya wino katika vidole vyao kuthibitisha kushiriki uchaguzihttps://p.dw.com/p/1Gu0HVinjana wenye ulemavu wa ngozi wapiga kura TanzaniaPicha: DW/P.KwigizeMatangazo[No title]To play this audio please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 audio