You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Picha: Bistum Münster
Picha: Bistum Münster
Bado Tupo: Maisha ya wazee
Jifunze mengi kuhusu maisha ya wazee
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UNICEF: Hali itakavyokuwa kwa watoto katika mwaka 2050
UNICEF yaonya mabadiliko ya idadi ya watu, hali ya hewa na teknolojia yanatishia mustakabali wa vijana.
Wazee 10 wafariki Uhispania katika ajali ya moto
Watu 10 wamekufa kufuatia ajali ya moto iliyotokea mapema leo nchini Uhispania.
Umasikini unavyowatesa wastaafu Germany
Mstaafu mmoja kati ya watano nchini Ujerumani anakabiliwa kuwa katika hatari ya umasikini, kulingana na ofisi ya takwimu ya Ujerumani. Idadi ni kubwa zaidi hasa kwa upande wa wanawake
Ujerumani yakataa mtihani wa ujuzi kwa madereva wazee
Mitihani ya ujuzi wa udereva kwa wazee nchini Ujerumani ni suala la hiari. Je, hiyo inaweza kuwa hatari ya kiusalama?
Trump na Biden: Wagombea 2 wazee wawania wapigakura vijana
Je, umri wa Biden na Trump una jukumu katika uchaguzi wa raiswa Marekani, na wanaweza kuwavutia kwao wapigakura vijana?
MAONI: Changamoto zinazowakumba wazee
Meza inayojadiliwa mbele ya Meza ya duara katika kipindi cha Maoni safari hii ni changamoto zinazowakumba wazee. Je wapo katika nafasi gani katika jamii? Je jamii inawatunza kwa kiasi gani? Je mabadiliko katika jamii yanawapeleka vipi? Pamoja na mambo mengine ungana na nahodha wa kipindi Saumu Mwasimba akiwashirikisha baadhi ya wazee.
Hali mbaya ya hewa yasababisha watoto kupoteza makazi
Wataalamu watahadharisha kuwa katika miaka 30 ijayo, mafuriko yanaweza kusababisha watoto milioni 96 kuhama makaazi yao.
Ugiriki yawapa hifadhi watoto wasioambatana na wazee wao
Watoto 901 ambao hawajaandamana na wazazi wao walifanikiwa kupata hifadhi nchini Ugiriki mwaka uliopita.
Wahamiaji wanaotafuta ajira waongezeka Ulaya Mashariki
Uhaba wa wafanyakazi katika mataifa hayo husababishwa na demografia, watu wanaozeeka, uhamiaji na ukuaji wa uchumi.
Mpiganaji Vita II Dunia, anahisi kutelekezwa na Ufaransa
Moussa Yakite kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati alipigana Vita vya Pili vya Dunia, akiwa upande wa Ufaransa. Miaka 78 baadae hana msaada hata bima ya afya kwa ajili ya matibabu, anahisi kutelekezwa na nchi ya Ufaransa na taifa lake.
Madhila ya wazee, jamii imesahau wajibu wake?
Makao haya ya wazee nje ya mji wa kampala Uganda, yamekuwa tulizo na amani kwa wazee hawa ambao wamekutana na dhuluma chungumzima kwenye jamii zao. Baadhi wametelekezwa na watoto wao na wengine kudhulumiwa mali zao. Je! jamii imesahau wajibu wake kwa kundi hili?
Siku ya kimataifa ya kutokomeza manyanyaso kwa wazee
Siku hii huadhimishwa ili kuhamasisha ulimwengu kuwajali wazee ambao hukabiliwa na changamoto lukuki.
HRW: Wazee wako katika hatari kubwa kwenye mizozo
Wazee mara nyingi wako katika hatari kubwa ya kukabiliwa na dhuluma wakati wa vita, Pande zote kwenye mizozo ya kivita
Mama huyu huwalisha wazee kwa mkono wake
Mtazame mama huyu mwenye moyo wa kipekee wa kuwalihsa wazee na walemavu wasio na uwezo huko nchini Kenya. Kwa hakika utaguswa utakapoitazama.
Makazi ya kutunza wanyama wazee Ujerumani
Bila shaka umeshawahi kusikia kuhusu makazi maalumu wanakotunzwa wazee lakini safari hii kutoka kaskazini mwa Ujerumani utafahamu kuhusu makazi maalumu yaliyoanzishwa kwa ajili ya kuwatunza wanyama wazee, hasa ng'ombe! Kurunzi Ujerumani 21.10.2021
Wazee wanaotuhumiwa kuwa wachawi
Maisha ya wazee katika baadhi ya sehemu huko pwani ya Kenya yako hatarini kutokana na dhana ya vijana kwamba wazee hao ni washirikina na wachawi. Vijana hao aghalabu husema wazee hao ndio wahusika wakuu wa kutofanikiwa kwao maishani. Thelma Mwadzaya analivalia njua suala hili katika makala ya Mbiu ya Mnyonge.
Oktoba mosi: Siku ya Kimataifa ya wazee duniani
Siku ya Kimataifa ya wazee duniani
Tuhuma za vitendo vya ushirikina kwa wazee
Kutana na wazee wanaotuhumiwa kwa ushirikina. Wanaowatuhumu ni watu wa familia zao wakiwemo watoto wao. Wamelazimika kukimbia nyumba zao wakihofia usalama wao na sasa wanaishi katika kambi ya Mekatili iliyoko Malindi, Kenya. Nini kifayike kukomesha ukatili wa aina hii kwa wazee? Kusikia visa vya wazee hawa, fuatana na video yake Thelma Mwadzaya. Kurunzi 19.08.21
Chanjo ya Covid-19 yawalenga wanawake na wazee vijijini
Kenya imeanzisha utaratibu wa wauguzi kuwafuata wanawake na wazee maeneo ya vijijini kuwapatia huduma ya chanjo ya Covid-19. Fuatana na muuguzi Harriet na timu yake katika vijiji vya Nyambare na Lunyu. #kurunziwanawake 30/06/2021.
Mashujaa waliosahaulika wa wakati COVID-19
Nchini Ujerumani wasafishaji wanajikuta katika hatari ya kupata virusi vya corona wakiwa wanafanya usafi hospitalini na nyumba za kulea wazee. Ni watu wanaofaa kuitwa mashujaa katika kipindi hiki cha janaga la COVID-19.
Wanamuziki wa Ujerumani watoa burudani ya bure kwa wazee
Wakati janga la virusi vya corona likiwa limewanyima watoa burudani wengi nafasi ya kufanya mazoezi na kuburudisha, wanamuziki wa Deutsche Oper Berlin hapa Ujerumani wameamua kutoa mfululizo wa burudani ya muziki bure katika bustani ya nyumba hii ya kulea wazee.
Wazee Tanzania wahofia janga la corona
Kwa wazee wa jiji la Dar es Salaam, kukutana kwenye vijiwe mbalimbali kwa lengo la kujadiliana mambo mbalimbali ya maisha yao. Hata hivo kuibuka kwa ugonjwa wa COVID 19 kumedhoofisha uhuru huo na wengi kujipata wakiwa na khofu yenye kutafuna mioyo yao. Kurunzi
Wasichana waliojitolea kuwashonea barakoa wazee na yatima
Kutana na kikundi cha wasichana, mafundi cherehani kutoka Mtwara Tanzania walioamua kuwashonea barakoa bure wazee, yatima na wasiojiweza. Je wewe kwa nafasi yako umewahi kujitolea kufanya nini kuwasaidia wengine wenye uhitaji?Video na Salma Mkalibala. #Kurunzi 13.05.2020
Bayern watoa keki kwa wazee na watumishi
Watumishi wa nyumba za wazee nao pia wanastahili pongezi kwa kazi kubwa na ngumu wanayoifanya.
Nusu ya vifo vya corona Ulaya ni vya kwenye nyumba za wazee
Shirika la Afya Duniani limesema nusu ya vifo vya virusi vya corona Ulaya vimetokea katika nyumba za kuwaangalia wazee.
Uhamiaji kati ya Ulaya na Afrika, je kuna faida yoyote?
Makala ya Mwangaza wa Ulaya, safari hii inaangazia fursa ya uhamiaji kati ya Ulaya na Afrika. Je vijana wa kiafrika wataweza kuisaidia Ulaya katika kufanya baadhi ya kazi zitakazoachwa na wazee? Hasa ukizingatia takwimu zinazoonyesha kwamba barani Ulaya asilimia kubwa ya watu ni wazee, lakini kwa upande wa bara la Afrika, vijana ndio wengi zaidi?
Covid-19: Wazee Uhispania watekelezwa vituoni
Vifo kadhaa vya Covid-19 vimeripotiwa kwenye makazi mengi ya wazee nchini Uhispania.
Madhila ya wazee Tanzania
Umri mrefu bila shaka ni baraka kutoka kwa mwenyezi Mungu ila kwa wazee nchini Tanzania, wanapitia matatizo chungunzima katika huo umri wao wa utu uzima. Ndiposa mwanahabari wa DW Salma Mkalibala alipoamua kuangalia masaibu yao katika makala haya ya Mbiu ya Mnyonge. Msikilize.
Wazee Tanzania wataka msaada zaidi kimatibabu
Nchini Tanzania wazee baada ya kufikisha umri wa miaka 60 huduma za matibabu bila malipo kama mpango wa kuwasaidia wazee, kwa mwaka huu kauli mbiu ni Usawa kwa wote. Jee huduma za kimatibabu zinapokelewaje na wazee nchini humo? Yakub Talib anaelezea zaidi.
Madhila yanayowakuta wazee wa Nyandarua nchini Kenya
changamoto za wazee
Je wazee wanaostaafu nyumbani kwenu wanajishughulisha na nini?
Nchini Ujerumani, kuna mpango au utaratibu unaowaruhusu watu waliostaafu kurudi madarasani kusoma. Hata hivyo hawafanyi mitihani. Mpango huo una manufaa gani kwa watu hao? Je vijana wanafunzi ambao husoma pamoja na watu waliostaafu wanazungumziaje utaratibu huo? Mengi zaidi ni kwenye makala maalum Itambue au ifahamu Ujerumani. Msimulizi Ni Harrison Mwilima akiwa mjini Berlin.
Ugonjwa wa Malaria
Unafahamu kwamba ugonjwa wa Malaria ni hatari hasa kwa watoto wazee na kina mama wajawazito? Tazama video hii fupi upate kuelewa juu ya ugojwa huo dalili zake na namna ya kuuepuka.
Wahudumu wa tiba maalumu kwa wazee
Kwa mujibu wa sera ya wazee ya mwaka 2003, wazee wote kuanzia umri wa miaka 60 na kuendelea wanatakiwa kupata huduma ya afya bila malipo katika hospitali zote za serikali, vituo vya afya na zahanati. Licha ya sera hiyo lakini, bado zipo changamoto kadhaa. Katika Makala ya afya yako Anuary Mkama anaangazia umuhimu wa kuwa na wahudumu wa afya maalumu wa tiba ya wazee.
Wafahamu baadhi ya watangazaji wakongwe Kenya
Sauti zao zilirindima na kuwavutia wasikilizaji wengi miongo kadhaa iliyopita. Na hata leo, sauti zao bado zinasikika kwa utamu unaoweza kumtoa nyoka pangoni. Katika mfululizo wa makala Bado Tupo, Shisia Wasilwa anaangazia baadhi ya watangazaji habari wakongwe kutoka Kenya. Je dhima yao imetambuliwa na jamii?
Sera ya afya ya wazee nchini Tanzania imefaulu
Nchini Tanzania, watu waliofikisha umri wa miaka 60 na zaidi wanapaswa kupata huduma za afya bila malipo katika vituo vyote vya afya vya serikali. Hiyo ni kwa mujibu wa sera ya wazee ya mwaka 2003. Lakini je hali ikoje kuhusu sera hiyo. Anwar Mkama anaangazia hali ilivyo katika makala ya Afya Yako
Sera ya wazee inatekelezeka?
Tanzania ni nchi ya 91 kwa kukosa mahitaji muhimu ikiwemo ya afya, chakula na malazi kwa wazee, ingawa kulingana na sera ya wazee ya Tanzania huduma hizi na hususan ya afya inatakiwa kutolewa kwa kundi hilo bure. Unazungumziaje utekelezaji wa sera hii kwenye nchi zetu? Sikiliza makala haya ya afya yako.
Wakimbizi wakongwe na changamoto zao
Kando na wao kuwa wakimbizi, wao pia ni wazee, hali inayofanya maisha yao kuwa hata magumu zaidi. Emmanuel Lubega anaangazia maisha ya wakimbizi wakongwe kutoka Sudan Kusini walioko kambi ya Bidibidi nchini Uganda
Familia imewatenga
Hawana furaha katika umri wao wa uzeeni. Wanasema familia zao zimewatenga hivi kwamba wengine hawajui ikiwa hata watoto wao wako hai. Charles Ngereza anasimulia mengi kuhusu wazee hawa katika eneo la Kilimanjaro
Adha ya usafiri kwa wazee ziwani Victoria
Katika mfululizo wa makala kuhusu hali ya wazee katika Kanda ya Maziwa Makuu, Dotto Bulendu akiwa Mwanza Tanzania anaangazia adha ya usafiri wa kwa wazee na hasa katika vyombo vya majini.
Vidio: Adha za usafiri kwa wazee kwenye Ziwa Viktoria
Angalia hapa ripoti ya Dotto Bulendu akizungumzia adha ya usafiri kwa wazee kwenye Ziwa Viktoria.
Zanzibar yaendelea kuwatunza wazee kwa makaazi, posho
Zanzibar imekuwa na mfumo maalum wa kuwatunza wazee wasiojiweza kupitia mradi wa kuwaweka kwenye makaazi ya pamoja
Burundi yatangaza posho kwa wazee
Lengo na kuwasaidia kupambana na ufukara wa kutisha ambao huwafanya wengine kuwa ombaomba mitaani.
Wazee Tanzania wairai serikali mauaji ya vikongwe
Mamia ya wazee wameshirika maadhimisho ya siku ya wazee duniani, na kuitaka serikali kukomesha mauaji ya vikongwe.
Mahojiano: Wazee na usawa wa kijamii
Sophia Chinyezi anazungumza na Mzee Koigi wa Wamwere kutoka Kenya.
Siku ya kimataifa ya wazee yaadhimishwa Oktoba mosi
Umoja wa Mataifa unasema ni jukumu la vizazi vyote kulinda haki ya jamii inayozeeka.
Uzee haumfanyi mtu apoteze utu wake - Umoja wa Mataifa
Wazee ndio mashujaa wa maisha ya kila siku waliopambana katika kusaidia kupatikana kwa mabadiliko kwa vizazi vyao.
Wazee walilia kutekelezwa na watoto wao
Watoto wawatelekeza wazee wasiojiweza.
Wanaharakati Kenya wataka kushirikishwa wazee kwenye jamii
Mashirika yanayowahudumia wazee nchini Kenya yanataka mataifa barani Afrika kuzingatia kwa makini haki za wazee.
Bado Tupo: Heshima kwa Wazee
Msikilize hapa Bibi Joyce Gichuna mwenye umri wa miaka 78 kutokea Nairobi akikupa nasaha zake.
Wazee wa Rwanda walalamikia kipato kidogo
Fedha wapewazo na serikali ni haba sana na hazikidhi mahitaji yao ya kimsingi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 2
Ukurasa unaofuatia