1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Cote d'Ivoire wabeba ubingwa wa Afrika

12 Februari 2024

Timu ya Cote d'Ivoire imeandika historia baada ya kujinyakulia taji la ubingwa wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kuitwanga Super Eagles ya Nigeria mabao 2-1, katika mchuano wa fainali uliopigwa katika ndimba la Olimpiki wa Ebimpe mjini Abidjan. Lakini safari yao imekuwa hadithi ya muujiza kama anavyosimulia Bruce Amani

https://p.dw.com/p/4cJdL
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio