1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maandalizi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake

14 Agosti 2023

Jina jipya litaandikwa kwenye Kombe la Dunia la Wanawake mwaka huu wakati timu nne zikiwemo Sweden, Uhispania, Australia na England zikiwa na matumaini ya kushinda Kombe hilo la FIFA kwa mara ya kwanza. Sweden, iliyoorodeshwa ya tatu duniani - itapambana na Uhispania nao wenyeji Australia watashuka dimbani kupambana na England. Karata yako unaitupa wapi?

https://p.dw.com/p/4V9An
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio