You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ulaya yafuatilia duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa
Wakati Rais Macron alipoitisha uchaguzi wa mapema Ufaransa alikuwa anahatarisha mustakabali wa Ulaya na nchi yake.
Vyama vya siasa Ufaransa kuungana kukizuia chama cha Le Pen?
Hatua hiyo ni baada ya chama hicho kupata mafanikio ya kihistoria kwa kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge.
Chama cha Le Pen chashinda duru ya kwanza ya uchaguzi
Nafasi ya pili imechukuliwa na kundi la vyama vya mrengo wa kushoto. Duru ya pili ya uchaguzi huo itafanyika Julai 7.
Wafaransa wajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Bunge
Rais Emmanuel Macron aliitisha uchaguzi wa mapema baada ya chama chake kupata pigo katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya.
Macron ahimiza kuondolewa kwa vizuizi dhidi ya Caledonia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ataka kuondolewa kwa vikwazo huko New Caledonia.
SIPRI: Vichwa vya nyuklia vinawekwa katika hali ya tahadhari
Takriban vichwa 3,904 vya nyuklia tayari vimeunganishwa kwenye makombora na ndege za kivita.
Vyama vya mrengo wa kulia kuwa na ushawishi zaidi Ulaya?
Vyama hivyo vinataka kuwa na ushawishi vikiwa ndani ya Umoja wa Ulaya na si kujitenga kama vilivyokuwa vikinadi awali.
Rais Macron atangaza kulivunja bunge la taifa la Ufaransa
Macron avunja bunge
Wapiga kura wahitimisha uchaguzi wa bunge la Ulaya
Wapiga kura katika nchi 21 za EU zikiwemo Ujerumani na Ufaransa, wanahitimisha uchaguzi wa siku nne wa Bunge la Ulaya.
Macron kumpokea Biden katika ziara rasmi mjini Paris
Rais wa Marekani aliyeko ziarani nchini Ufaransa aliwasili siku ya Jumatano na kushiriki katika maadhimisho ya D Day.
Ufaransa kuifunza Ukraine kutumia ndege za kivita za Mirage
Ufaransa na mataifa mengine yanakubaliana kupeleka misaada zaidi ya kijeshi nchini Ukraine.
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Viongozi wa dunia waadhimisha miaka 80 ya D-Day
Maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanza kwa operesheni ya kijeshi iliyoikomboa Ulaya kutoka mikononi mwa Wanazi yamefanyika
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka jeshi Ukraine
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka wanajeshi Ukraine
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Putin aonya juu ya kuwepo wanajeshi wa Ufaransa huko Ukraine
Vladimir Putin aonya kuwa kuwepo kwa majeshi ya Ufaransa ni hatua nyengine ya kuchochea mgogoro wa kimataifa Ukraine.
Macron awakumbuka Wayahudi waliouawa na Manazi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia.
Macron aupongeza ushirikiano wa Ufaransa na Ujerumani
Rais Macron anafanya ziara ya kiserikali nchini Ujerumani, ya kwanza kufanywa na rais wa Ufaransa katika miaka 24
Maafisa watatu waandamizi wa Syria wahukumiwa Ufaransa
Maafisa hao ni wa ngazi za juu zaidi nchini Syria kushitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu katika mahakama ya Ulaya.
Uwanja wa ndege wa New Caledonia kuendelea kufungwa
Hatua hiyo imechukuliwa huku Rais Emmanuel Macron akionya kwamba visiwa hivyo havipaswi kuwa maeneo ya ghasia.
G7 inahitaji kusimama kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
G7 inahitaji kusimama pamoja kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Rais wa Zamani wa Gabon agoma kula, adai familia iliteswa
Rais wa Zamani wa Gabon Ali Bongo yuko kwenye mgomo wa njaa, akidai familia yake iliteswa. Anataka Ufaransa iwashtaki
Macron: China itumie ushawishi wake kusitisha vita Ukraine
Rais Xi atatembelea pia mataifa ya Serbia na Hungary.
Macron afanya mazungumzo na Rais Xi Jinping mjini Paris
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumatatu kwa mazungumzo mjini Paris.
Mtu mmoja afariki na 6 wajeruhiwa mjini Paris
Taarifa za polisi zinasema kulikuwa na ufyatuaji risasi unaohusishwa na ulanguzi wa dawa za kulevya mjini Paris.
Raia wa Niger washinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani
Mwezi uliopita, Jeshi la Niger lilitangaza kuvunja makubaliano ya ulinzi na Marekani.
Ufaransa kujenga mahusiano yenye uwiano na Afrika
Uhusiano kati ya Ufaransa na mataifa kadhaa ya Afrika umedorora huku bara hilo likiwa uwanja wa vita vya ushawishi.
Macron asema Ufaransa ingeweza kusitisha mauaji Rwanda
Kauli hiyo ya rais wa Ufaransa ni hatua ya ziada ya nchi hiyo katika kutambua dhamana yake katika mauwaji ya kimbari.
Mwanadiplomasia wa Ufaransa anatarajiwa kuitembelea China
Ziara hiyo imekuja wakati mataifa hayo mawili yakiadhimisha miaka 60 ya mahusiano yao ya kidiplomasia.
Blinken atarajiwa wiki ijayo kufanya ziara barani Ulaya
Blinken ataelekea mjini Brussels nchini Ubelgiji ili kudhihirisha jukumu la Marekani katika Jumuiya ya Kujihami NATO,
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kufanya ziara Afrika
Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa Stéphane Séjourné, anatazamiwa mwezi ujao kuanza ziara yake ya kwanza katika nchi tat
Macron awahimiza washirika wa Ukraine wasiwe 'waoga'
Ufaransa na Jamuhuri ya Czech ziko tayari kutafuta njia mpya za kuwasaidia Waukraine ili waweze kushinda vita hivyo
Macron: Hatufuti uwezekano wa kupeleka wanajeshi Ukraine
Macron aliwaalika viongozi wa UIaya katika Ikulu ya Eliysee kujadili hali ya vita vya Urusi nchini Ukraine
Ufaransa yaitaka Rwanda kusitisha msaada kwa M23
Mapigano kati ya vikosi vya serikali ya Kongo na waasi wa M23 yamepamba moto mjini Sake
Zelensky asaini mkataba wa usalama na Ujerumani
Zelensky amesaini mkataba wa usalama na Ujerumani ambao Kansela Olaf Scholz ameuita "hatua ya kihistoria".
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Waziri Mkuu wa Poland afanya ziara Ufaransa
Tusk asema Ufaransa na Poland ziko kwenye "ukurasa" linapohusika suala la siasa za kikanda na msaada kwa Ukraine.
Scholz atarajia Bunge la Marekani kuafikiana kuisaidia Kiev
Kansela huyo wa Ujerumani ataanza siku ya Alhamisi ziara yake mjini Washington.
Macron amteua Attal kuwa Waziri Mkuu mpya
Elisabeth Borne alijiuzulu baada ya kuhudumu katika wadhifa huo katika kipindi cha chini ya miaka miwili.
Waziri Mkuu wa Ufaransa Elisabeth Borne ajiuzulu
Kulingana na vyanzo vya kuaminika, Macron anatarajiwa kumteua katika nafasi hiyo Waziri wa Elimu Gabriel Attal.
Rais Macron atarajiwa kumtangaza Waziri Mkuu mpya
Waziri Mkuu wa sasa Elisabeth Borne amekuwa katika wakati mgumu tangu kupitishwa kwa mswada tata wa uhamiaji.
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Ufaransa yafunga ubalozi Niger kufuatia mapinduzi
Rais wa Ufaransa atoa wito wa usitishwaji mapigano Gaza
Kwa sasa vifo vya raia katika Ukanda wa Gaza vimepindukia 21,000 kulingana na Wizara ya Afya inayodhibitiwa na Hamas.
Mahmoud Abbas: Israel inaendesha vita vya maangamizi Gaza
Mahmoud Abbas ameilaumu pia Marekani kwa kutumia kura yake ya turufu ili kuzuia maazimio ya usitishwaji mapigano
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la IOF
Niger yasitisha ushirikiano na shirika la kimataifa la mataifa la IOF.
Mama pamoja na wanawe wanne wauawa Ufaransa
Mama pamoja na wanawe wanne wauawa Ufaransa.
Ufaransa yamaliza shughuli ya kuwaondoa wanajeshi wake Niger
Muda wa mwisho wa kuondoka kwa wanajeshi hao ilikuwa jana Ijumaa
Ufaransa yawaondoa wanajeshi wake wa mwisho Niger
Jeshi la Niger limetangaza kuondoka kwa kundi la mwisho la wanajeshi wa Ufaransa siku ya Ijumaa, baada ya muongo mmoja.
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Kundi la mwisho la kikosi cha Ufaransa kuondoka Niger leo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 19
Ukurasa unaofuatia