You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Marine Le Pen
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Niger yafuta leseni, shirika la Acted la Ufaransa
Niger imefuta leseni ya shirika la Acted la Ufaransa. Shirika hilo sasa halitaweza kufanya kazi nchini humo
Ufaransa kukusanya dola milioni 540 kuisaidia Lebanon
Kati ya watu 500,000 hadi milioni moja wamekimbia kusini mwa Lebanon tangu Israel ilipoanza kuishambulia Hezbollah.
Ufaransa yaahidi kuunga mkono mpango wa ushindi wa Ukraine
Ufaransa kutoa mafunzo kwa marubani wa Ukraine ili waweze kuendesha ndege za kijeshi wenyewe.
Ufaransa yaiunga mkono Ukraine mpango wa kukomesha vita
Ufaransa inasema inauunga mkono mpango wa Ukraine wa kuvimaliza vita vya miaka miwili na nusu kati yake na Urusi.
Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari ya Rwanda afutiwa mashitaka
Mbarushimana alikuwa akishutumiwa kushiriki katika mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi nchini Rwanda mnamo mwaka 1994.
Von der Leyen akosoa rekodi ya uhamiaji ya Hungary
Ursula von der Leyen amemkosoa vikali Viktor Orban wakati alipoonesha msimamo mkali kuhusu uhamiaji barani Ulaya.
Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa
Mtoto wa Osama Bin Laden atakiwa kuondoka nchini Ufaransa
Macron atoa wito kwa Rwanda, waasi wa M23 kuondoka DRC
Rais Emmanuel Macron atoa wito vikosi vya Rwanda na waasi wa M23 kuondoka mashariki mwa DR Congo,
Mshukiwa mkuu wa milipuko ya Cologne akamatwa Ufaransa
Mshukiwa muhimu kuhusiana na mfululizo wa milipuko katika mji wa magharibi wa Cologne amekamatwa mjini Paris, Ufaransa.
Macron kuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa Francophonie
Macron wa Ufaransa atakuwa mwenyeji wa mkutano wa kilele wa siku mbili wa Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa.
Ujerumani yazitaka Iran, Hizbullah kutoishambulia Israel
Scholz amezitolea wito Iran na Hizbullah kuacha kuishambulia Israel, akionya Iran inatishia vita vya ukanda mzima.
Hezbollah yathibitisha kifo cha kiongozi wake, Nasrallah
Kundi la wanamgambo la Hezbollah limethibitisha kuwa kiongozi wake Hassan Nasrallah ameuawa katika shambulizi la Israel
Wahamiaji 8 wamekufa maji wakijaribu kwenda Uingereza
Wahamiaji 8 wamekufa Ufaransa baada ya boti kuzama wakijaribu kuvuka kwa boti kutoka Ufaransa kwenda Uingereza
Rais Macron amteua Michel Barnier kuwa Waziri Mkuu mpya
Ufaransa ilikabiliwa na mkwamo wa kisiasa kwa miaezi kadhaa baada ya uchaguzi kushindwa kutoa mshindi wa moja kwa moja.
Muungano unaopigania uhuru wa New-Caledonia wateua kiongozi
Muungano unaopigania uhuru wa New-Caledonia wateua kiongozi
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Ufaransa yaahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza
Rais wa wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameahidi kuimarisha uhusiano na Uingereza katika sekta ya ulinzi na usalama, pamoja
Olimpiki ya walemavu yaanza rasmi
Mji mkuu wa Ufaransa Paris ulikuwa mwenyeji hapo jana usiku wa sherehe za ufunguzi wa michezo ya Olimpiki ya wanariadha
Macron akwaa kisiki uundwaji wa serikali mpya ya Ufaransa
Zaidi ya wiki 7 tangu kumalizika kwa uchaguzi wa bunge usiyokuwa na mshindi wa wazi, Macron bado hajateua waziri mkuu.
Vita vya Gaza basi, zasema Ujerumani, Ufaransa na Uingereza
Scholz, Macron na Starmer wasema hakuna taifa litakalofaidika kutokana na kuongezeka mivutano katika Mashariki ya Kati.
Rais wa mpito wa Bangladesh kuapishwa Alhamis ya Agosti 8
Rais wa mpito wa Bangladesh Muhammad Yunus ataapisha siku ya Alhamisi kuiongoza nchi hiyo ya Asia kusini.
Mataifa ya ulaya yaitaka Venezuela kuweka wazi matokeo
Mataifa ya ulaya yaitaka Venezuela kuweka wazi matokeo
Macron:Uhuru ndani ya Morocco ni suluhu kwa Sahara Magharibi
Macron: Uhuru ndani ya Morocco njia pekee ya suluhu kwa Sahara Magharibi
Mrengo wa kushoto washinda uchaguzi wa bunge France
Muungano wa New Popular Front nchini France umeshinda viti vingi zaidi katika duru ya pili ya uchaguzi wa bunge Jumapili
Le Pen apinga kupeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine
Chama cha National Rally cha Marine Le Pen kutapinga kuwapeleka wanajeshi wa Ufaransa nchini Ukraine.
Ulaya yafuatilia duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa
Wakati Rais Macron alipoitisha uchaguzi wa mapema Ufaransa alikuwa anahatarisha mustakabali wa Ulaya na nchi yake.
Vyama vya siasa Ufaransa kuungana kukizuia chama cha Le Pen?
Hatua hiyo ni baada ya chama hicho kupata mafanikio ya kihistoria kwa kushinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa Bunge.
Chama cha Le Pen chashinda duru ya kwanza ya uchaguzi
Nafasi ya pili imechukuliwa na kundi la vyama vya mrengo wa kushoto. Duru ya pili ya uchaguzi huo itafanyika Julai 7.
Wafaransa wajitokeza kupiga kura kwenye uchaguzi wa Bunge
Rais Emmanuel Macron aliitisha uchaguzi wa mapema baada ya chama chake kupata pigo katika uchaguzi wa Bunge la Ulaya.
Macron ahimiza kuondolewa kwa vizuizi dhidi ya Caledonia
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ataka kuondolewa kwa vikwazo huko New Caledonia.
SIPRI: Vichwa vya nyuklia vinawekwa katika hali ya tahadhari
Takriban vichwa 3,904 vya nyuklia tayari vimeunganishwa kwenye makombora na ndege za kivita.
Vyama vya mrengo wa kulia kuwa na ushawishi zaidi Ulaya?
Vyama hivyo vinataka kuwa na ushawishi vikiwa ndani ya Umoja wa Ulaya na si kujitenga kama vilivyokuwa vikinadi awali.
Rais Macron atangaza kulivunja bunge la taifa la Ufaransa
Macron avunja bunge
Wapiga kura wahitimisha uchaguzi wa bunge la Ulaya
Wapiga kura katika nchi 21 za EU zikiwemo Ujerumani na Ufaransa, wanahitimisha uchaguzi wa siku nne wa Bunge la Ulaya.
Macron kumpokea Biden katika ziara rasmi mjini Paris
Rais wa Marekani aliyeko ziarani nchini Ufaransa aliwasili siku ya Jumatano na kushiriki katika maadhimisho ya D Day.
Ufaransa kuifunza Ukraine kutumia ndege za kivita za Mirage
Ufaransa na mataifa mengine yanakubaliana kupeleka misaada zaidi ya kijeshi nchini Ukraine.
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Viongozi wa dunia waadhimisha miaka 80 ya D-Day
Maadhimisho ya miaka 80 tangu kuanza kwa operesheni ya kijeshi iliyoikomboa Ulaya kutoka mikononi mwa Wanazi yamefanyika
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka jeshi Ukraine
Lavrov aionya Ufaransa kuhusiana na kupeleka wanajeshi Ukraine
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Zelenskiy kufanya ziara Ufaransa Alhamis na Ijumaa
Putin aonya juu ya kuwepo wanajeshi wa Ufaransa huko Ukraine
Vladimir Putin aonya kuwa kuwepo kwa majeshi ya Ufaransa ni hatua nyengine ya kuchochea mgogoro wa kimataifa Ukraine.
Macron awakumbuka Wayahudi waliouawa na Manazi
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametahadharisha juu ya vyama vya siasa kali za mrengo wa kulia.
Macron aupongeza ushirikiano wa Ufaransa na Ujerumani
Rais Macron anafanya ziara ya kiserikali nchini Ujerumani, ya kwanza kufanywa na rais wa Ufaransa katika miaka 24
Maafisa watatu waandamizi wa Syria wahukumiwa Ufaransa
Maafisa hao ni wa ngazi za juu zaidi nchini Syria kushitakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinaadamu katika mahakama ya Ulaya.
Uwanja wa ndege wa New Caledonia kuendelea kufungwa
Hatua hiyo imechukuliwa huku Rais Emmanuel Macron akionya kwamba visiwa hivyo havipaswi kuwa maeneo ya ghasia.
G7 inahitaji kusimama kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
G7 inahitaji kusimama pamoja kudhibiti ukuaji wa China kiviwanda
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Ujerumani, Ufaransa na Poland kujadili masuala ya usalama
Rais wa Zamani wa Gabon agoma kula, adai familia iliteswa
Rais wa Zamani wa Gabon Ali Bongo yuko kwenye mgomo wa njaa, akidai familia yake iliteswa. Anataka Ufaransa iwashtaki
Macron: China itumie ushawishi wake kusitisha vita Ukraine
Rais Xi atatembelea pia mataifa ya Serbia na Hungary.
Macron afanya mazungumzo na Rais Xi Jinping mjini Paris
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa China Xi Jinping siku ya Jumatatu kwa mazungumzo mjini Paris.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 18
Ukurasa unaofuatia