Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuna uwezekano wa kukutana na Rais wa China Xi Jinping mwezi ujao. Mahakama ya kijeshi imemhukumu adhabu ya kifo mbunge mmoja nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kosa la uhaini. Baadhi ya shule zafungwa nchini Ufaransa baada ya kuvamiwa na kunguni.