You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Picha: DW
Bakari Ubena
Mhariri na mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya DW
Ruka sehemu inayofuata Taarifa zilizoonesha na Bakari Ubena
Taarifa zilizoonesha na Bakari Ubena
Uchimbaji madini haramu ni tishio kwa mustakabali wa Afrika
Uchimbaji madini haramu unaendelea kudhoofisha uwezo wa kilimo na kuhatarisha afya ya umma.
Je, NATO inapaswa kudungua droni za Urusi?
Lakini NATO inalipinga pendekezo hilo, ikisema kuwa linaiweka kwenye hatari ya muungano huo kuwa sehemu ya mzozo huo.
Ulaya na ukaguzi wa muda wa mipakani kukabili wahamiaji
Sheria za Schengen zinaruhusu nchi wanachama kuanzisha ukaguzi wa mipakani ili kuepusha tishio la usalama wa ndani.
Ruka sehemu inayofuata Taarifa na Bakari Ubena
Taarifa na Bakari Ubena
Trump, Biden wajadili vita vya Ukraine na Mashariki ya Kati
Trump, Biden wajadili vita vya Ukraine na Mashariki ya Kati
Viongozi hao wawili wamejadili masuala muhimu kuhusu usalama wa kitaifa na sera za ndani
Israel: Tunayo fursa kuishambulia miradi ya nyuklia ya Iran
Israel: Tunayo fursa kuishambulia miradi ya nyuklia ya Iran
Kauli hiyo imetolewa na Israel Katz ambaye ameteuliwa hivi karibuni kushikilia wadhifa wa Waziri wa ulinzi wa Israel.
Israel yatakiwa kuondoka kwenye maeneo inayoyakalia kimabavu
Israel yatakiwa kuondoka kwenye maeneo inayoyakalia kimabavu
Maeneo hayo ni pamoja na Ukingo wa Magharibi, Jerusalem mashariki, Gaza na eneo la milima ya Golan.
Nchi za Kiarabu zatoa wito wa kusitisha vita Gaza na Lebanon
Nchi za Kiarabu zatoa wito wa kusitisha vita Gaza na Lebanon
Mohammed bin Salman: Jumuiya ya kimataifa inapaswa kukomesha mara moja vitendo vya Israel huko Palestina na Lebanon.
Viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislam wakutana Saudi Arabia
Viongozi wa nchi za Kiarabu na Kiislam wakutana Saudi Arabia
Mkutano huo unazikusanya nchi zilizopo kwenye Jumuiya ya nchi za kiarabu na zile za Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu.
Mwangaza wa Ulaya: Athari za utalii uliokithiri Barcelona
Mwangaza wa Ulaya: Athari za utalii uliokithiri Barcelona
Jiji la Uhispania la Barcelona ni lenye historia ya kipekee, hali ya hewa ya joto na fukwe za kupendeza. Lakini sifa zote hizi zimeifanya Barcelona kuwa kivutio kwa mamia ya maelfu ya wageni na hivyo kuathirika na viwango vya juu vya utalii. Idadi ya watalii wanaoutembelea mji huo inazidi kuongezeka na hivyo kuchochea hasira miongoni mwa wenyeji wanaolalamika kwamba mambo mengi yamebadilika.
Onesha taarifa zaidi
Nenda ukurasa wa mwanzo