TeknolojiaAfrikaUnaitumiaje mitandao ya kijamii?To view this video please enable JavaScript, and consider upgrading to a web browser that supports HTML5 videoTeknolojiaAfrika12.12.202312 Desemba 2023Kabla ya kuchapisha ama kusambaza jambo lolote kwenye mitandao ya kijamii je huwa unafikiria litakuwa na athari gani kwa mtu mmoja ama jamii kwa ujumla? Je unaijua athari ya kuchapisha taarifa zisizo na uhakika? Tizama video hii kwa mengi zaidi.https://p.dw.com/p/4a518Matangazo