You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Adhabu ya kifo
Adhabu ya kifo inamaanisha kitendo cha mataifa kumuua mtu kwa kutenda baadhi ya uhalifu.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
UN: Iran ndiyo iliyosababisha kifo cha Mahsa Amini
Familia ya mbunge Cherubin DRC yapinga ripoti ya kifo chake
Wakili wa familia amesema ripoti hiyo ya mahakama ya DR Kongo ni kichekesho na matusi kwa mwanasiasa huyo wa upinzani.
Iran yafanya uchaguzi wa bunge
Wairani walishuka vituoni siku ya Ijumaa kuchaguwa wabunge wao ikiwa ni mara ya kwanza tangu maandamano ya mwaka 2022.
Wahouthi waripoti kifo cha kwanza cha raia
Wahouthi wameripoti kifo cha kwanza cha raia katika mashambulizi ya anga yaliyofanywa Marekani na Uingereza.
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 22.02.2024
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Urusi yakataa uchunguzi wa kimataifa kuhusu kifo cha Navalny
Kremlin imekanusha madai ya mke wa Navalny Yulia Navalnaya kwamba Rais wa Urusi Vladimir Putin amehusika na kifo hicho.
Mabalozi wa Urusi wahojiwa kufuatia kifo cha Navalny
Umoja wa Ulaya umeapa kuiwajibisha Moscow baada ya kifo cha kiongozi huyo wa upinzani
EU yatafakari vikwazo vipya kufuatia kifo cha Navalny
Mawaziri wa Umoja wa Ulaya wameahidi kuwawajibisha waliohusika na kifo cha mkosoaji huyo maarufu wa Kremlin
Uchambuzi: Kifo cha Navalny pigo kwa upinzani nchini Urusi
Upinzani nchini Urusi umepoteza nyota yake inayong'a zaidi kwa kifo cha ghafla cha Alexei Navalny.
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Urusi bado haijathibitisha sababu za kifo cha Navalny
Mwili wa Navalny wabainika kuwa katika hospitali ya Siberia
Mwili wa Navalny wabainika kuwa katika hospitali ya Siberia
Nchi za Magharibi washutumu Urusi kufuatia kifo cha Navalny
Mataifa ya Magharibi yameendelea kumnyooshea kidole cha shutuma Rais Putin na serikali yake kufuatia kifo cha Navalny.
Ulimwengu waomboleza kifo cha kiongozi wa upinzani Navalny
Wafuasi wa Navalny wamejitokeza katika miji ya barani Ulaya na Marekani siku ya Ijumaa ili kumuenzi mwanasiasa huyo.
Alexei Navalny afariki akiwa gerezani
Rais wa Urusi Vladimir Putin amenyooshewa kidole na kutajwa kuwa anahusika moja kwa moja na kifo cha Alexei Navalny.
Kenya yaomboleza kifo cha mwanariadha Kelvin Kiptum
Kpitum alipata ajali eneo la bonde la Ufa baada ya kushindwa kulidhibiti gari alilokuwa akiendesha na kuacha barabara.
Namibia baada ya kifo cha Rais Geingob
Namibia imeanza awamu mpya ya uongozi baada ya kifo cha aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Hage Geingob. Upi mwelekeo wake?
Tanzania: Edward Lowassa afariki dunia
Lowassa anatazamwa na wengi kama miongoni mwa viongoni wa kupigiwa mfano kutokana na misimamo yake.
Rais wa zamani wa Chile afariki katika ajali ya helikopta
Viongozi mbalimbali wa Amerika Kusini wametuma salamu za rambirambi.
Ulimwengu wamlilia nguli wa soka Franz Beckenbauer
Akijulikana kwa jina la utani la "Der Kaiser" yani Mfalme, Beckenbauer alishinda kombe la dunia kama nahodha na kocha.
Je, kundi la Hezbollah liliundwa vipi?
Hezbollah ni kundi linalofadhiliwa na Iran lenye makao yake nchini Lebanon ambako pia lilianzishwa.
Iran yaomboleza kifo cha kamanda wa walinzi wa mapinduzi
Sharif amedai kuwa mauaji ya Moussavi yalitokana na kushindwa kwa jeshi la Israel kuzuwia uvamizi wa Hamas wa Oktoba 7.
Papa Francis aomboleza kifo cha "raia wasio na ulinzi" Gaza
Papa Francis ametoa wito wa kusitisha mzozo kati ya Israel na kundi la wanamgambo la Hamas uliozuka tarehe 7 Oktoba.
Tanzania yathibitisha kifo cha mwanafunzi alietekwa na Hamas
Tanzania ilithibitisha kifo cha mmoja wa raia wake ambaye "aliuawa mara baada ya kukamatwa na Hamas" kusini mwa Israel.
IBUKA: Afisa wa zamani amekufa kabla ya haki kutendeka
Walionusurika na mauaji ya kimbari ya Rwanda wamelaani kifo cha aliyehukumiwa kwa mauaji hayo kabla ya haki kutendeka.
Kumbukumbu ya miaka 10 ya kifo cha Nelson Mandela
Mandela alikuwa mwanasheria na mwanachama, baadaye kiongozi wa chama cha ANC kilichopigania haki nchini Afrika Kusini.
Mwanadiplomasia maarufu duniani, Kissinger afariki dunia
Henry Kissinger, aliyekuwa mwanadiplomasia wa juu wa Marekani amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 100.
WHO yaitaja hospitali ya Al Shifa kama "eneo la kifo"
Jeshi la Israel limesambaza video ya kile inachosema ni handaki la wanamgambo wa Hamas chini ya hospitali ya Al Shifa.
Wanaharakati Tanzania wataka adhabu ya kifo ifutwe
Wadau wa haki za binadamu, wanasheria na taasisi za kimataifa nchini Tanzania wamehimiza kufutwa kwa adhabu ya kifo.
Bwana mmoja akamatwa baada ya mwili wa mtoto kutupwa mtoni
Bwana mmoja akamatwa baada ya mwili wa mtoto kutupwa mtoni
DRC: Mbunge ahukumiwa kifo kwa kosa la uhaini
Uamuzi huo umekosolewa vikali na wakili wa Mwangachuchu aliyesema umechochewa na "chuki ya kikabila".
Mwanaharakati wa Iran Narges ashinda tuzo ya Nobel 2023
Mwanaharakati wa Kiirani anaetumikia kifungo gerezani Narges Mohammadi ameshinda Tuzo ya Amani ya Nobel ya mwaka 2023.
Afisa wa jeshi Mikombe ahukumiwa kifo Kongo
Mahakama ya kijeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imemhukumu kifo afisa wa jeshi, Mike Mikombe, wakati maafisa wengine watatu wakihukumiwa vifungo vya miaka 10 jela kutokana na mauaji ya mwezi Agosti ya zaidi ya waandamanaji 50 katika mji wa Goma. Saumu Njama amezungumza na Jean-Baptiste Muhindo Kasekwa mbunge wa Goma na kwanza amemuuliza, je wameridhishwa na uamuzi wa mahakama?
Makundi ya Haki: Iran imezuia kumbukumbu ya kifo cha Mahsa
Mamlaka za Iran zimetuhumiwa kuizuia familia ya Mahsa Amini, kufanya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu kifo cha binti wao.
Kifo cha binti wa Kiiran Mahsa Amini chatimiza mwaka mmoja
Raia nchini Iran wanaadhimisha leo mwaka mmoja tangu kilipotokea kifo cha Mahsa Amini.
Wairan wakumbuka mwaka mmoja tangu kifo cha Mahsa Amini
Raia wa Iran ndani na nje ya taifa hilo wameadhimisha mwaka mmoja tangu kifo cha Mahsa Amini.
Watu 6 wakamatwa katika maadhimisho ya kifo cha Mahsa Amin
Watu hao wanashukuwa kupanga kufanya vurugu katika siku zijazo
Vipimo vya DNA vyathibitisha kifo cha Prigozhin
Uchunguzi wa vipimo vya vinasaba vimethibitisha kuwa Yevgeny Prigozhin alikufa kwenye ajali ya ndege wiki iliyopita.
Yevgeny Prigozhin afariki dunia
Kamati imethibitisha kifo hicho baada ya vipimo vya kijenetiki kushabihiana na abiria 10 waliokufa kwenye ajali hiyo.
Je, kifo cha Prigozhin kitamuimarisha Putin?
Wengi walikitarajia kifo cha Yevgeny Prigozhin, lakini kile kinachowashangaza sana ni namna kilivyotokea.
Kremlin yakanusha kuhusika kifo cha Prigozhin
Kremlin imekanusha uvumi kwamba iliamrisha kuuwawa kwa mkuu wa kundi la mamluki wa Wagner, Yevgeny Prigozhin.
Putin avunja ukimya kuhusu kifo cha Prigozhin
Urusi yasema imedungua ndege 42 zilizorushwa Moscow kutoka Ukraine
Uingereza yashawishika kifo cha Prigozhin
Idara ya ujasusi nchini Uingereza inasema kuna uwezekano mkubwa kwamba Yevgeny Prigozhin kweli amefariki dunia.
Putin avunja ukimya kuhusu kifo cha Prigozhin
Putin amemtaja Prigozhin kama mtu aliyekuwa na talanta, mtu mwenye hatima ngumu na aliyefanya makosa makubwa.
Urusi yalaumiwa kwa kifo cha mkuu wa Wagner
Wachunguzi wa ajali ya ndege leo wamechukua mabaki ya ndege hiyo na wameanzisha uchunguzi wa jinai.
Ujerumani yaonya dhidi ya uvumi wa kifo cha Prighozhin
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameonya juu uvumi unaosambaa kuhusiana na ajali ya ndege ambayo ma
Hali ya sintofahamu yagubika taarifa za kifo cha Prigozhin
Inadaiwa kuwa mkuu wa kundi la Wagner na maafisa wengine wa kundi hilo, wamekufa katika ajali ya ndege.
Kifo chaitilia kiwingu furaha ya nahodha wa Uhispania
Nahodha wa timu ya taifa ya wanawake ya Uhispania na shujaa wao katika fainali ya Kombe la Dunia hapo Jumapili Olga Carm
Kifo cha mgombea urais, Ecuador yatangaza hali ya tahadhari
Rais wa Ecuador Guillermo Lasso ametangaza hali ya tahadhari nchini humo baada ya mgombea urais anayepinga ufisadi Ferna
IS yathibitisha kifo cha kiongozi wake huko Syria
Kundi linalojiita Dola la Kiislam IS limethibitisha kifo cha kiongozi wake Abu Hussein al-Husseini al-Quraishi.
IS yatangaza kifo cha kiongozi wake, yateua mpya
IS imesema kiongozi wake, Abu al-Hussein al-Husseini al-Qurashi, aliuawa katika makabiliano nchini Syria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 10
Ukurasa unaofuatia