You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
AFCON
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tanzania yafuzu kushiriki AFCON 2025
Tanzania inaungana na DRC na Uganda zilizufuzu pia.
Ghana yashindwa kufuzu fainali ya AFCON mwakani
Timu hiyo maarufu kama Black Stars ilihitaji ushindi katika mchezo wao wa mwisho wa hatua ya makundi.
Nigeria yapewa alama tatu dhidi ya Libya kutokana na hujma
Mechi hiyo haikufanyika baada ya Nigeria kukwama katika uwanja wa ndege wa mbali wa Libya kwa nusu siku kabla ya mechi.
Mechi za mzunguko kuwania kufuzu AFCON zaendelea
Mzunguuko wa nne unaanza Jumapili hii ya Oktoba 13, 2024.
Dortmund yaanza kampeni ya ligi ya mabingwa kwa ushindi
Muingereza Jamie Gittens aliingia kama mchezaji wa akiba na kufunga mabao mawili katika dakika 15 za mwisho.
CAF: Michuano ya AFCON kuandaliwa mapema mwaka 2026
Shirikisho la Soka barani Afrika, CAF, limeisogeza mbele michuano ijayo ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON.
Cote d'Ivoire yampa kocha Fae mkataba wa kudumu
Mkuu wa shirikisho la kandanda la Cote d'Ivoire Idriss Diallo amesema Emerse sasa amethibitishwa kuwa kocha wa kudumu
Ivory Coast wafalme wa kandanda barani Afrika
Ivory Coast sasa imejiunga na Nigeria kuwa timu zilizobeba ubingwa wa AFCON mara tatu.
Emerse Fae: Safari ya ushindi wa Ivory Coast ni kama miujiza
Ivory Coast ilimfuta kazi Jean-Louis Gasset baada ya kumaliza wa tatu kwenye kundi A na kumteua Fae kama kocha wa muda.
Cote d'Ivoire wabeba ubingwa wa Afrika
Timu ya Cote d'Ivoire imeandika historia baada ya kujinyakulia taji la ubingwa wa Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kuitwanga Super Eagles ya Nigeria mabao 2-1, katika mchuano wa fainali uliopigwa katika ndimba la Olimpiki wa Ebimpe mjini Abidjan. Lakini safari yao imekuwa hadithi ya muujiza kama anavyosimulia Bruce Amani
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Ivory Coast mabingwa AFCON 2024
Fainali za AFCON kuchezwa leo mjini Abidjan
Fainali ya AFCON inachezwa leo kati ya Ivory Coast na Nigeria.
Michuano ya AFCON yaelekea ukingoni
Uwanja wa Ebimpe mjini Abidjan kutashuhudiwa fainali kati ya Nigeria na wenyeji Ivory Coast.
Nigeria na Ivory Coast zatinga fainali za AFCON
Ivory Coast wanakuwa wenyeji wa kwanza wa michuano hiyo kuingia fainali tangu Misri ilipoingia fainali za mwaka 2006.
Nigeria yakwaaa na Afrika Kusini nusu fainali AFCON
Michuano ya AFCON inaingia hatua ya nusu fainali huku mabingwa mara tatu, Nigeria, wakipambana na Afrika Kusini leo.
Nigeria yawataka raia wake Afrika Kusini kuwa na hadhari
Nigeria imetoa wito kwa raia wake wanaoishi Afrika Kusini kuchukua tahadhari kutokana na kile ilichokiita "kitisho".
AFCON: Timu ya Kongo yaahidi "kuwaburudisha" mashabiki wake
Kocha wa Kongo: " Mechi hii ni maalum kwa DRC na pia ni kazi yetu kuwapa watu furaha na kuwafanya watabasamu."
Shirikisho la Soka Cameroon lapinga hatua ya Eto'o kujiuzulu
Eto'o amekuwa akikabiliwa na tuhuma za mienendo isiyofaa, upangaji matokeo na rushwa.
Nigeria yalenga kubeba taji la AFCON
Mshambuliaji wa Nigeria Victor Osimhen amesema timu yake inalenga kuendeleza rekodi nzuri AFCON.
Kuelekea mechi za nusu fainali za michuano ya AFCON
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON inaingia wiki hii katika hatua ya nusu fainali.
Misri yamfuta kazi kocha wa timu ya taifa ya kandanda
Siku ya Jumatano Februari 7,2024 ni hatua ya nusu fainali ya michuano ya AFCON
Nigeria na DR Kongo zatinga nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya AFCON, kwa kuishind Angola na Guinea.
Nigeria na DR Kongo zashinda na kufuzu nusu fainali AFCON
Nigeria na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimefuzu nusu fainali ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON.
Afrika Kusini, Mali ndani ya robo fainali ya AFCON
Morocco walifungwa 2 – 0 na Afrika Kusini wakati Mali walipata ushindi wa 2 - 1 dhidi ya Burkina Faso
Cote d'Ivoire, Cape Verde zaingia robo fainali AFCON
Cote d'Ivoire wamewaondoa mabingwa watetezi Senegal kwa penalti 5 - 4, Cape Verde iliifunga Mauritania 1-0
AFCON: Hatua ya robo fainali nani mkali?
Kocha wa muda wa Ivory Coast Emerse Fae amekiri kwamba timu yake ina "jukumu la kufanya kila iwezalo" katika mechi ya kufuzu hatua ya robo fainali katika Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya mabingwa watetezi Senegal baada ya kuponea chupuchupu katika hatua ya makundi. Amri Massare akiwa nchini Ivory Coast ana tathmini zaidi.
Kinagaubaga: Kenya, Tanzania na Uganda kuandaa AFCON 2027
Rais wa shirikisho la soka la mpira wa mguu Tanzania TFF Wallace Karia aelezea nafasi ya Tanzania AFCON 2027.
Kongo, Guinea zatinga robo fainali ya AFCON
Kongo iliiduwaza Misri kwa mikwaju ya penalti 8 kwa 7 baada ya mechi kukamilika kwa sare ya 1 - 1 baada ya muda wa ziada
Bouchra Karboubi: Mwamuzi dhidi ya vikwazo vyote
Bouchra Karboubi ni mmoja wa maafisa watano wa kike katika Kombe la Mataifa ya Afrika kwa wanaume nchini Ivory Coast.
Nigeria yatinga robo fainali AFCON kwa kuipiga Kamerun 2-0
Ademola Lookman alifunga mabao yote mawili katika ushindi wa Nigeria wa 2-0 dhidi ya mahasimu wao wa zamani Kamerun.
Maoni: Tathmini ya Michuano ya AFCON
Duru ya mtoano ya timu 16 bora katika mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON inaendelea Ivory Coast. Katika kipindi cha Maoni mbele ya meza ya Duara Jacob Safari anafanya tathmini ya duru ya kwanza ya mechi za makundi na mustakbali wa soka la Afrika. Miongoni mwa washiriki ni Josephat Charo na Saumu Njama,
Taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili: 25.01.2024
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Taifa Stars yatupwa nje ya michuano ya AFCON
Kongo itakuwa na kibarua dhidi ya Misri mnamo Januari 28
Taifa Stars yatupwa nje ya michuano ya AFCON
Kongo sasa kupambana na Misri
AFCON. Ghana yamtimuwa kocha timu ya taifa
Kocha wa timu ya taifa ya Ghana, Chris Hughton, ametimuliwa baada ya timu hiyo kutolewa mapema kwenye michuano ya AFCON.
Timu za Tanzania na DR Kongo zikiwa mazoezini
Taifa Stars ina kibarua kigumu cha mwisho katika mchuano wa kundi, F ikipigania ushindi kwa nguvu kubwa.
Kameruni yatinga hatua ya mtoano baada ya kuilaza Gambia 3-2
Kameruni sasa itachuana na Super Eagles Nigeria katika uwanja wa Felix Houphouet Boigny mjini Abdijan siku ya Jumamosi.
Ivory Coast ukingoni mwa kutolewa nje ya michuano ya AFCON
Ivory Coast ilipokezwa kichapo cha 4-0 na Guinea ya Ikweta na kuiweka nafasi yake kufuzu raundi ya 16 bora kuwa finyu.
Bremen yaishangaza Bayern katika Bundesliga
Na nyota wa tenis raia wa Urusi Daniil Medvedev afuzu kwa robo fainali ya mashindano ya tenisi ya Australian Open
Taifa Stars yalazimishwa sare ya 1-1 na Zambia
Taifa Stars ilianza kampeni ya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON kwa kufungwa mabao 3-0 na Morocco.
Salah kuzikosa mechi mbili za AFCON kutokana na jeraha
Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 31, alitoka uwanjani mwishoni mwa kipindi cha kwanza katika mechi dhidi ya Ghana.
AFCON: Senegal yaicharaza Kameruni 3-1
Kwenye michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika inayoendelea nchini Ivory Coast, Senegal iliicharaza Kameruni mabao 3-1.
AFCON: Ghana walazimisha sare ya 2-2 na Misri
Kudus alirejea tena uwanjani kufuatia kupona majeraha ya misuli, huku Mohamed Salah wa Misri akilazimika kutoka.
Raundi ya pili ya mechi za makundi kuanza AFCON
Wawakilishi wa Afrika Mashariki, Tanzania hawakuwa na jawabu mbele ya Morocco
Moroko yaichabanga Tanzania 3-0 AFCON
Moroko imeonesha ubabe wake mbele ya timu ya taifa ya Tanzania kwa kuichabanga mabao 3-0 katika Uwanja wa Laurent Pokou.
Shamrashamra za Kongo kuelekea mechi ya AFCON
Kuelekea mchezo wa Kongo na Zambia AFCON, mashabiki wa Goma wazungumzia kikosi cha nchi hiyo na matarajio yao. #kurunzi
Taifa Stars vs Morocco michuano ya AFCON
Shamarashamra za kuelekea mechi ya Tanzania na Morocco, mashabiki wa soka jijini Dar es salaam, wako tayari kwa mtanange. #kurunzi
Kombe la Afrika: Nyota wa soka wawa mashujaa wa kitaifa
Katika Kombe la Afrika la 2024, wachezaji watasifiwa hata kama wamekuwa wakipata pesa zao nje ya nchi kwa muda mrefu.
Tanzania, Kongo kutupa karata ya kwanza AFCON
Tanzania na Kongo zinateremka dimbani baadaye leo kwa mechi za kwanza za hatua ya makundi AFCON zote zikiwa kundi F.
Je, Taifa Stars itaibana Morocco katika michuano ya AFCON?
Watanzania wanasubiri kwa hamu kubwa kuona kama timu yao ya Taifa Stars itaanza vyema mashindano ya kombe la Mataifa ya Afrika AFCON yanayoendelea nchini Ivory Coast. Josephat Charo anaichambua mechi hiyo akiwa studioni na Tatu Karema.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 5
Ukurasa unaofuatia