You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
AFCON
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tanzania kuzipiga na Morocco katika mechi ya ufunguzi AFCON
Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndio timu pekee zinazoiwakilisha Jumuiya ya Afrika Mashariki
Taifa Stars kupimana nguvu na Morocco AFCON
Baada ya mchezo wake wa leo, Taifa Star itabidi isubiri hadi mwishoni mwa wiki kuvaana na Zambia
Mwanadada aliyefunga mabao 22 katika mechi moja
Inawezekana rekodi yake haitambuliki kimataifa, lakini mwanadada Irene Maria Gonçalves aliwahi kupachika mabao 22 katika mechi moja. Anajulikana pia kama “Diva mwangamizaji“ akitajwa kuwa mfungaji bora wa wakati wote katika soka la wanawake. Kurunziwanawake leo inatizama mafanikio yake hata baada ya kustaafu soka.
Senegal yaonesha ubabe AFCON
Mashindano ya kombe la mataifa ya Africa AFCON yanaendelea Ivory Coast. Mabingwa watetezi Simba wa Teranga Senegal wametia alama 3 kibindoni baada ya kuicharaza Gambia mabao 3-0 katika mechi ya kundi C. Tatu Karemea amezungumza na mwanaspoti Josephat Charo kuhusu mechi hii.
Algeria yabanwa na Angola katika mechi ya ufunguzi AFCON
Algeria, imeungana na miamba Nigeria, Misri, Ghana na Cameroon ambao wameshindwa kutamba katika mechi zao za ufunguzi.
Senegal yaanza vyema AFCON, Cameroon, Algeria zakwaa kisiki
Timu ya soka ya Senegal imeanza vyema michuano ya mataifa ya kombe la Afrika, AFCON, kwa kuicharaza Gambia mabao 3-0.
Angola hawana hofu kupambana na Algeria
Katika mojawapo ya mechi za Jumatatu Algeria ambao wanaingia uwanjani kwa mara ya kwanza kushiriki mechi yao ya kwanza k
Sancho ametameta, Leverkusen waendeleza walipoachia
Goli la sekunde za mwisho za muda wa ziada zaiweka hai ndoto ya Bayer Leverkusen ya kunyakua ubingwa wa Ujerumani, Jadon Sancho asema anajihisi yuko nyumbani katika klabu ya Borussia Dortmund licha ya kuwa hapo kwa mkopo tu na miamba wa kandanda Afrika washangazwa na timu ambazo hazikupewa nafasi katika mashindano ya kuwania ubingwa wa kandanda Afrika, AFCON. Msikilize Jacob Safari.
Je, vibonde wana nafasi AFCON?
Mashindano ya kuwania ufalme wa kandanda barani Afrika AFCON yanaendelea huko Ivory Coast na Jumatatu Cameroon watakuwa wanakwaana na Gambia kisha Algeria wacheze na Angola. Ili kuangazia jinsi mambo yalivyokwenda kufikia sasa katika michuano hii Jacob Safariu anaungana na mchambuzi wa kandanda la Afrika kutoka Dar es Salaam, Master Tindwa, sikiliza.
Misri yaponea chupuchupu kupoteza mchezo wa kwanza AFCON
Misri imeponea chupuchupu kupata fedheha kwenye mchezo wa kwanza wa AFCON kwa kulazimishwa sare bao 2-2 na Msumbiji.
Michuano ya AFCON 2024 yaanza Ivory Coast
Michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON inaanza Januari 13 hadi Februari 11. Senegal ndio bingwa mtetezi.
Ivory Coast yafungua dimba kwa ushindi wa mabao mawili
Ivory Coast imefungua dimba kwa ushindi wa mabao mawili kwa bila.
CAF iko tayari kwa uzinduzi wa michuano ya AFCON
Ivory Coast huku wenyeji wakifungua pazia dhidi ya Guinea Bissau katika uwanja wa Alassane Ouattara mjini Abidjan.
Michuano ya AFCON kung'oa nanga kuanzia kesho
Mashabiki wa soka wanasubiri kwa shauku ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika AFCON inayoanza kesho.
Ndege ya kikosi cha Gambia AFCON yapata hitilafu angani
Hayo yameelezwa na Shirikisho la Kabumbu nchini Gambia kupitia taarifa yake iliyochapishwe kwenye mtandao wa Facebook.
Je, michuano ya AFCON 2024 itakuwa ya ushindani zaidi?
Michuano hiyo ya AFCON kwa mwaka huu wa 2024 haijulikani kwa uhakika nani atakuwa mshindi
Sadio Mane asema wako katika kundi gumu AFCON
Nahodha wa timu ya taifa ya Senegal, Sadio Mane amesema kundi gumu linawasubiri mabingwa hao watetezi wa kombe la AFCON
Victor Boniface kuikosa michuano ya AFCON kutokana na jeraha
Mchezaji wa Bundesliga, Victor Boniface, ataikosa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON, kutokana na jeraha.
Bundesliga kurejea Ijumaa
Mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON kuanza Jumamosi, Yanga yatupwa nje ya Kombe la Mapinduzi.
Maandalizi ya Taifa Stars kabla ya AFCON 2024
Kwa mara ya tatu Tanzania inashiriki michuano ya afrika AFCON tangu kuanzishwa kwa michuano hiyo ya Afrika. Tayari kikosi kinachotarajiwa kucheza mashindano hayo kimeshawekwa hadharani, Watanzania wanamitizamo tofauti kuhusu maandalizi ya kikosi hicho. #Kurunzi
AFCON itaiathiri vipi ligi kuu ya Bundesliga?
Ni vilabu gani vya Ujerumani vitawakilishwa vyema zaidi nchini Ivory Coast?
AFCON yaikosesha usingizi Bayer Leverkusen
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zitakapoanza, Bundesliga itakuwa bila ya wachezaji kadhaa muhimu.
Moroko yaiangusha Liberia 3-0 kuelekea AFCON 2024
Moroko imeifunga Liberia 3-0 kwenye mechi ya kuwania ushiriki wa Kombe la Mataifa ya Afrika 2024.
Wenyeji wa AFCON Ivory Coast wapangwa kundi moja na Nigeria
Guinea-Bissau na Guinea Ikweta ,ambazo zimefuzu kwa mara ya nne mfululizo, pia zimepangwa katika kundi hilo.
Kinagaubaga: Afrika Mashariki kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Anayetupambia makala ya Kinagaubaga leo ni rais wa shirikisho la soka nchini Tanzania Wallace Karia. Tunajikita zaidi katika masuala ya soka ya Tanzania na hatua wanazoweka kuhakikisha maandalizi ya kuwa mwenyeji wa AFCON 2027 kwa ushirikiano na Kenya na Uganda yanafaulu. Sudi Mnette ndiye nahodha.
30.09.2023: Matangazo ya mchana
Ungana nasi hapakwa matangazo ya mchana yanayojumuisha taarifa ya habari ya mchana na makala ya Maoni Mbele ya Meza Duara inayoangazia kinachotarajiwa baada ya serikali za Tanzania, Uganda na Kenya kuruhusiwa kuandaa michuano ya AFCON
Meza ya Duara: Mataifa ya Afrika Mashariki na AFCON 2027
Josephat Chatro na wadau wa soka wanajadili ushindi wa Kenya, Tanzania na Uganda kuandaa michuano ya AFCON, 2027.
Mataifa ya Afrika Mashariki yaandika historia AFCON
Kenya, Tanzania na Uganda zachaguliwa kuanda michuano ya AFCON ya mwaka 2027
Cameroon yaifunga Burundi, Ufaransa yachapwa na Ujerumani
Cameroon ni nchi ya pili kwa mafanikio katika michuano ya Afcon ikiwa tayari imeshinda taji hilo mara tano.
Tanzania yafuzu kushiriki fainali za michuano ya AFCON, 2024
DW imezungumza na mchambuzi wa masuala ya michezo Master Tindwa.
Tanzania yafuzu fainali ya michuano ya AFCON
Ghana na Angola nazo zimefanikiwa kusonga mbele baada ya kumaliza nafasi ya kwanza na ya pili katika kundi E.
Ni rasmi sasa Rwanda haitoshiriki AFCON baada ya kipigo - MP3-Stereo
Timu ya taifa ya kandanda ya Rwanda haitokuwa miongoni mwa timu zitakazoshiriki mashindano yajayo ya kuwania ubingwa wa mataifa barani Afrika AFCON baada ya kupata kichapo cha 2-0 nyumbani kwao Kigali mikononi mwa Msumbiji hapo Jumapili. Christopher Karenzi amekusanya yaliyojiri michezoni nchini humo mwishoni mwa wiki iliyokwisha.
Tanzania guu moja AFCON? - MP3-Stereo
Timu ya taifa ya kandanda ya Tanzania Tiafa Stars mnamo Jumapili ilipata ushindi wa 1-0 ilipoikaribisha Niger katika uwanja wa Benjamin Mkapa huko Dar es Salaam katika mechi ya kuwania kufuzu kwenye mashindano ya kuwania ubingwa wa mataifa Afrika AFCON. Ushindi huo umewapa matumaini mashabiki wa timu hiyo kwamba huenda wakashiriki mashindano yajayo. Msikilize Mindi Joseph.
Misri yakata tiketi ya kucheza AFCON 2024
Timu ya taifa ya Misri imepata ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Guinea kujikatia tiketi ya kushiriki michuano ya AFCON.
Kenya kuwasilisha ombi la pamoja la uwenyeji wa AFCON2027
Rais wa Kenya William Ruto amekutana na jopo linaloshughulikia ombi hilo likiongozwa na Waziri wa michezo Ababu Namwamba
Kenya, Tanzania na Uganda zaomba kuwa mwenyeji wa AFCON 2027
Shirikisho la soka barani Afrika, CAF limethibitisha kupokea maombi ya nchi hizo tatu pamoja.
Tanzania, Uganda zataka kuwa wenyeji wa AFCON 2027
Tanzania na Uganda zimekubaliana kuandaa kombe la mataifa ya Afrika (AFCON) mwaka 2027. Hayo yametangazwa na Rais wa shirikisho la kandanda barani Afrika (CAF) Bw Patrice Motsepe ambaye yuko ziarani nchini Uganda
Bayern Munich wajinoa kwa msimu mpya
Mashindano ya AFCON nchini Ivory Coast yaahirishwa hadi mwakani. Yanga wafanikiwa kutwaa makombe matatu ya msimu.
Ujerumani kukwaana na England ligi ya mataifa ya Ulaya
Taifa Stars walazimishwa sare maua na Niger mechi ya kufuzu kwa AFCON.
Senegal yazindua uwanja mpya baada ya AFCON
Senegal yazindua uwanja mpya baada ya AFCON
Taarifa ya Habari ya Asubuhi 07.02.2022
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz atarajiwa kukutana na rais wa Marekani Joe Biden mjini Washington. Ujerumani yatafakari kutuma wanajeshi zaidi Lithuania. Na Simba wa Teranga, Senegal, wapongezwa kwa kushinda kombe la mataifa ya Afrika kwa mara ya kwanza katika historia yao.
Taarifa ya habari, Saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Afcon: Misri yatinga fainali kwa kuibandua Kameruni
Misri itacheza mechi ya fainali ya Kombe la Afrik la Mataifa baada ya kuishinda Kameruni magoli 3-1
Senegal yatinga fainali ya AFCON kwa kuichapa Burkina Faso
Senegal yatinga fainali ya AFCON kwa kuibwaga Burkina Faso
Misri kuumana na Cameroon nusu fainali ya AFCON
Miamba wa soka la Afrika Misri na Cameroon kukabana koo katika pambano la kukata na shoka la nusu fainali ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON. Bundesliga kurejea Ijumaa, Hertha kuwaalika Bochum, Bayern na Leipzig Jumamosi. Na Rafa Nadal ashinda taji la 21 la mashindano makubwa ya tenisi ya Grand Slam kwa kumpiku Daniiel medvedev katika fainali ya Australian Open.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Maafa katika michuano ya kombe la mataifa ya Afrika, AFCON pia yameripotiwa.
Nani sasa ataelekea nusu fainali AFCON?
Mashindano ya Kombe la Mataifa Barani Afrika yamefikia robo fainali baada ya michuano ya raundi ya 16 bora kukamilika Jumatano huku Misri wakiwabandua Ivory Coast kwa mikwaju ya penalti nayo Guinea ya Ikweta ikawashangaza Mali kwa njia hiyo hiyo ya penalti. Jacob Safari amezungumza na mchambuzi wa kandanda na mwandishi wa zamani wa DW Sekione Kitojo.
Misri, Guinea ya Ikweta zatinga robo fainali AFCON
Misri na Guinea ya Ikweta zimetinga hatua ya robo fainali ya AFCON baada ya ushindi dhidi ya Ivory Coast na Mali.
Mkuu wa CAF alaumu kufungwa lango katika mkasa wa AFCON
Watu wanane waliuawa katika mkanyagano uliotokea nje ya uwanja wa Olembe mjini Yaounde Jumatatu jioni
Senegal na Morocco zatinga robo fainali AFCON
Senegal na Morocco zilifanikiwa kutinga hatua ya robo fainali kufuatia ushindi mtawalia dhidi ya Cape Verde na Malawi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 5
Ukurasa unaofuatia