You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
AFCON
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wachambuzi wazungumzia mkanyagano wa mashabiki Cameroon.
Kufuatia msongamano wa mashabiki uliosababisha watu kukanyagana na kusababisha vifo na majeruhi kwa mashabiki wa mpira katika michuano ya mataifa ya Afrika AFCON nchini Cameroon, baadhi ya wafuatiliaji wa soka wamesema tukio hilo linatakiwa kuwa funzo kwa waandaaji wa michezo kuzingatia usalama wa mashabiki, kama anavyosema mchambuzi wa michezo wa nchini Tanzania, Masta Tindwa.
Watu wanane wafariki katika mkanyagano AFCON
Watu walikuwa wanajaribu kuingia uwanja wa Olembe kutazama mechi kati ya wenyeji Cameroon na Comoro.
Cameroon yaizima Comoro AFCON, Gambia yatinga robo fainali
Cameroon ilipambana kuishinda Comoro 2-0 huku Gambia ikifuzu robo fainali kwa kuipiga Guinea 1-0.
DW Michezo 24.01.2022
Nigeria yatupwa nje ya Afcon licha ya kuonyesha ubabe katka hatua ya makundi // Baada ya kuwaduwaza miamba Ghana, je, Comoro watawaangusha wenyeji Cameroon katika mechi ya kufuzu robo fainali? // Katika Bundesliga, Kocha wa Wolfsburg Florian Kohfeldt akumbwa na shinikizo baada ya kichapo dhidi ya Leipzig
Michezo
Michuano ya fainali za kombe la Afrika la Mataifa, Afcon iliingia katika ngazi ya mtoano, ambapo Burkina Faso ilikuwa timu ya kwanza kuingia robo fainali baada ya kuiondoa Gabon kwa njia ya mikwaju ya penalti, ikafuatiwa baadaye na Tunisia ambayo waliizamisha Nigeria. Zaidi sikiliza tathmini ya michezo hiy kati ya Daniel Gakuba na Sekione Kitojo.
Vigogo wa soka afrika waadhibiwa AFCON
Vigogo wa soka africa wameyaaga mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON. Ghana na Algeria ni miongoni mwa timu kubwa zilizotupwa nje. Timu ndogo zinazotamba Cameroon kwenye michuano hiyo ni Visiwa vya Comoro,Gambia na Cape Verde miongoni mwa nyingine. Je zitaendelea kuonesha maajabu katika michuano hiyo? Msikilize Sekione Kitojo
Taarifa ya Habari Asubuhi 21.01.2022
Jumuiya ya Kujihami ya NATO imesema matamshi ya Rais wa Marekani Joe Biden, sio ruhusa kwa Urusi kuivamia Ukraine // Kiongozi wa kijeshi wa Sudan, Abdel Fattah al-Burhan amewateua mawaziri 15 katika serikali // Umoja wa Mataifa umepitisha azimio linalozitaka nchi zote wanachama kukemea vitendo vinavyokanusha au kupotosha mauaji ya Wayahudi na chuki dhidi ya Wayahudi
Algeria yashindwa kulitetea taji lake AFCON
Vigogo wa soka wanazidi kuyaaga mashindano ya AFCON baada ya Ivory Coast kuwafunga Algeria mabao 3-1.
20.01.2022 - Matangazo ya Asubuhi
Misri na timu nyingine tano zatinga 16 bora ya AFCON
Timu ya taifa ya Misri yaibamiza Sudan 2-0 na kusonga mbele hatua ya 16 bora katika michuano ya kandanda barani AFCON.
19.01.2022 - Matangazo ya Asubuhi
Ghana yafungasha virago michuano ya AFCON
Timu ya taifa ya Ghana ilikubali kichapo cha bado 3-2 kwenye mchezo wake na visiwa vya Commoro.
18.01.2022 - Matangazo ya Asubuhi
Wenyeji Cameroon wasonga hatua ya mtoano michuano ya AFCON
Wenyeji wa michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika, AFCON, timu ya Cameroon imesonga mbele kwenda hatua ya 16 bora.
Algeria waduwazwa, Ivory Coast wakabwa koo na Sierra Leone
Katika mashindano ya kuwania ubingwa wa Afrika, AFCON yanayoendelea huko Cameroon ambapo Jumapili mabingwa watetezi Alge
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Misri yapata ushindi wa kwanza AFCON
Taarifa ya habari, saa 12:00 asubuhi (Afrika Mashariki)
Samuel Eto'o atafuta sifa ndani na nje ya uwanja
Mmoja wa wachezaji bora barani Afrika, Samuel Eto'o sasa ni rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon. Anaorodha kubwa ya kufanya huku nchi yake ikiwa mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika.
Mashabiki waonyesha kutoridhishwa na mashindano ya AFCON
Mashabiki wa soka barani Afrika wameonyesha kutoridishwa na matukio yanayoshuhudiwa kwenye mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON yanayoendelea nchini Cameroon, huku baadhi wakisema matukio hayo yanaonyesha wazi kwamba kulikuwepo na matayarisho duni na huenda soka la Afrika likatiwa doa.
Ivory Coast yapata ushindi wa dhidi ya Guinea ya Ikweta
Max-Alain Gradel aliwapa Ivory Coast ushindi lakini wapinzani wao katika mechi hiyo walidhirisha kuwa wao sio mteremko
Iheanacho awafunika Salah, Mahrez katika AFCON
Nigeria ilipata ushindi dhidi ya mabingwa wa kihistoria Misri, wakati Algeria ikibanwa kwa sare tasa na Sierra Leone
Cameroon wafungua AFCON kwa ushindi
Vincent Aboubakar alifunga mikwaju miwili ya penalti na kuwapa Cameroon ushindi wa 2-1 dhidi ya Burkina Faso wakati mash
Matangazo ya Asubuhi, Januari 8, 2022
Macho yaelekezwa kwa Afcon Cameroon
Michuano ya AFCON yang'oa nanga licha ya kuwepo na wasiwasi wa kitisho cha janga la corona na usalama
Ahueni kwa vilabu vya UIaya kuhusu AFCON
Vilabu vya Ulaya vimeruhusiwa kubaki na wachezaji wao hadi wiki ambayo tamasha hilo maarufu litaanza Januari 9
AFCON itaandaliwa kama ilivyoratibiwa
AFCON itaandaliwa kama ilivyoratibiwa
Wawaniaji wa Kombe la Dunia Afrika sasa waangazia AFCON
Ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo pekee ambao hawakufuzu kucheza AFCON
Juhudi za wanawake katika kuwasaidia wasichana kujiendeleza
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Lilian Mtono anazungumzia wanawake wanaoshughulika moja kwa moja na wasichana wanaoshindwa kuendelea na masomo ama baada ya kuachishwa kinguvu au kukosa fursa, na wao sasa wanawafungulia mlango mwingine wa matumaini.
Mane aipeleka Senegal AFCON 2022
Kinyang'anyiro cha 2021 kilisogezwa mbele hadi Januari-Februari 2022 kwa sababu ya janga la virusi vya corona
Senegal yakwanza kufuzu fainali za AFCON 2022
Senegal imefuzu fainali za AFCON 2022 baada ya mshambuliaji wake Sadio Mane kufunga bao 1-0 dhidi ya Guinea-Bissau
CAF kuamua hatima ya mashindano ya Afrika
Wakuu wa kandanda Afrika watafanya mkutano wa video 30.06.2020 kujadili hatima ya mashindano kufuatia janga la corona
Algeria bingwa wa AFCON.
Bao hilo la pekee lilifungwa katika dakika ya pili ya mchezo huo wa fainali.
Nani bingwa wa Afrika?
Afrika itakuwa na bingwa mpya wa kandanda Ijumaa. Algeria wanakabiliana na Senegal katika fainali itakayochezwa.
Ni Senegal na Algeria fainali ya AFCON
Fainali ya AFCON kati ya Senegal na Algeria nani ataibuka mshindi ?
Algeria kumenyana na Senegal fainali ya Afcon 2019
Senegal iliifunga Tunisia 1 - 0 wakati Algeria ikiiduwaza Nigeria kwa kuifunga 2 - 1 katika nusu fainali
Tunisia yaizima ndoto ya Madagascar katika robo fainali, AFCON
Tunisia wamefuzu kuingia nusu fainali ya michuano ya kuwania kombe la mataia ya Afrika baada ya kuinyuka Madagascar mabao 3-0. Hata hivyo mashabiki wa Madagascar wamesema hawajakata tamaa, kwani hii ni mara yao ya kwanza kushiriki na wamefurahishwa na hatua ambayo timu yao imepiga.
Nigeria na Senegal zatinga Nusu Fainali ya AFCON
Nigeria na Senegal zimefanikiwa kupenya na kuingia hatua ya nusu fainali ya michuano ya kandanda ya mataifa ya Afrika.
Madagascar wapepea AFCON
Madagascar Jumapili waliwafunga Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo magoli 4-2 kupitia mikwaji ya penalti.
Yanayoendelea Misri katika Michuano ya AFCON
Katika michuano ya AFCON inayoendelea nchini Misri, hapo jana Madagascar ambayo inashiriki kwa mara ya kwanza iliendeleza miujiza yake kwa kuibandua Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Wakati huo huo kuna wimbi linaloendelea la makocha kufungishwa virago, pale timu zao zinapoyaaga mashindano hayo hayo. Sikiliza mahojiano haya kati ya Daniel Gakuba na mchambuzi wa masuala ya soka, Mtemi Ramadhan
Rais wa Shirikisho la Kandanda la Misri ajiuzulu
Rais wa chama cha kandanda cha Misri Hany Abou Rida amejiuzulu baada a Misri kuondolewa katika Afcon na Afrika Kusini
Tanzania yarejea nyumbani, Kenya bado yasubiri
Tanzania ilibamizwa na Algeria 3 -0 wakati Kenya ikikubali kipigo sawa na hicho mikononi mwa Senegal
Uganda yasonga mbele AFCON
Kombe la Mataifa barani Afrika linaendelea Misri Jumapili kulichezwa mechi za mwisho za kundi A na B.
Mbunge maarufu kwa jina Jaguar kutoka Kenya, afukuza wageni
Wageni, wakiwemo watanzania wakasirishwa na kauli ya kibaguzi ya mbunge wa Kenya aliyetoa vitisho vya kuwapiga ikiwa wataendelea kubakia Kenya. Katika michezo Kenya na Tanzania zatoana jasho, hatimaye Tanzania yapata kichapo. Sikiliza Afrika wiki hii na Saumu Mwasimba.
Kenya yaiduwaza Tanzania katika Afcon
Ushindi wa Kenya wa 3 - 2 dhidi ya Tanzania una maana kuwa Taifa Stars wameondolewa katika michuano ya Afcon
Matumaini ya timu za Afrika Mashariki michuano ya Afcon
Uganda imeendelea kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele michuano ya Afcon nchini Misri wakati DRC ikisuasua. Tanzania inakutana na Kenya na Burundi nayo haijapata ushindi. Sikiliza uchambuzi wake Fundi Sayore kuhusu matumaini ya wawakilishi wa Afrika Mashariki.
Kenya na Tanzania kupambana AFCON
Timu ya Kenya Harambee Stars leo usiku itapambana na timu ya Tanzania Taifa Stars katika mechi ya kuwania kombe la mataifa Afrika nchini Misri. Timu zote mbili zilishindwa katika mechi zao za kwanza na leo, kila timu ni lazima ipate ushindi ndipo iweze kuwa na matumaini ya kupiga hatua mbele. John Juma amemhoji Sekione Kitojo ambaye ni mwanahabari na pia mchambuzi wa michezo kuhusu mechi hiyo.
AFCON: Cameroon yaanza vyema; Ghana yakabwa shati na Benin
Uganda kuvaana na Zimbabwe
AFCON 2019: Mauritania yakaribishwa kwa kuchapwa 4-1 na Mali
Afcon 2019: Mali yaikaribisha Mauritania kwa furushi la magoli 4-1
Kenya na Tanzania zaangukia pua
Kenya na Tanzania zaanza vibaya mashindano ya Afcon 2019 baada ya kulazwa na Algeria na Senegal
Michuano ya AFCON yafungua pazia nchini Misri
Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika zimeanza nchini Misri jana Ijumaa kwa mchezo kati ya Misri na Zimbabwe.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 5
Ukurasa unaofuatia