You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Asia
Bara kubwa kabisa na lenye watu wengi zaidi duniani, likiwa na kiasi cha wakaazi bilioni 4.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Iran yaigeukia China katika harakati za kuviepuka vikwazo
Mkataba wa JCPOA unairuhusu Iran kutekeleza mipango ya nyuklia, lakini kwa malengo ya kibiashara, tiba na kiviwanda.
Blinken aelekea Asia na Ulaya katika ziara yake ya mwisho
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken, anaelekea Asia na Ulaya mwishoni mwa juma katika ziara ya mwisho.
Maafisa Korea Kusini wajaribu kumkamata Rais Yoon
Hayo yanajiri wakati wafuasi wa Rais Yoon wakiendelea kupiga kambi nje ya makazi yake wakipinga kukamatwa kwake.
Uingereza yatoa paundi milioni 61 kuzuia wahamiaji
Ili kukabiliana na majanga ya kibinadamu Mashariki ya Kati, Afrika na Asia, Uingereza yapendekeza misaada ya kibinadamu.
Asia yaomboleza wahanga wa tsunami miaka 20 baadae
Tsunami ilipiga maeneo ya pwani ya mataifa kadhaa barani Asia na kuuwa watu zaidi ya 220,000.
Asia yaomboleza vifo vya tsunami miaka 20 baadae
Asia inakumbuka miaka 20 tangu janga kubwa la tsunami lilipogharimu maisha ya watu 220,000 na kusababisha uharibifu.
Baada ya Syria, je, utawala wa Iran utafuata na kuanguka?
Syria imekuwa msingi wa kimkakati kwa Iran katika kanda hiyo. Baada ya anguko la Assad je utawala wa Iran pia utaanguka?
Wanamgambo wa itikadi kali wameua wanajeshi wanane Pakistan
Wanamgambo wa itikadi kali wameua wanajeshi wanane Pakistan
Xi, Biden wahudhuria mkutano wa Asia-Pasifiki
Xi, Biden wahudhuria mkutano APEC kabla ya mkutano wa ana kwa ana chini ya wingu la utata wa kidiplomasia:
Tafiti: Miji ya Asia na Marekani inaongoza utoaji Kaboni
Takwimu mpya zinaonyesha kuwa miji iliyopo barani Asia na Marekani huchangia pakubwa utoaji wa gesi chafuzi.
Sri Lanka yapiga kura katika uchaguzi wa mapema wa bunge
Uchaguzi wa mapema wa ubunge uliitishwa na Rais mpya Anura Kumara Dissanayake, baada ya kushinda kura.
Jimbo la Rakhine la Myanmar huenda likakabiliwa na njaa kali
Haya ni kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa jana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo, UNDP.
Kimbunga Trami chaua watu wapatao 100 nchini Ufilipino
Watu wamelazimika kuyakimbia makazi yao kutokana na mafuriko, ambayo yamezamisha mamia ya vijiji.
UN: Zaidi ya watu bilioni 1 ni maskini duniani kote
Asilimia 83.2 ya watu maskini zaidi duniani wanaishi Kusini mwa Jangwa la Sahara na Asia Kusini.
Tetemeko la ardhi lenye lapiga mashariki mwa Uturuki
Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.9 kwenye kipimo cha Richter limepiga katika jimbo la Malatya mashariki mwa Uturuki.
Viongozi wa Asia waukosoa utawala wa kijeshi Myanmar
Viongozi wa mataifa 10 wanachama wa Jumuiya ya Kusini Mashariki mwa Asia, wanaokutana kwenye mkutano wao wa kilele huko
EU inalenga kurekebisha mahusiano Kusini mashariki mwa Asia
Rais wa Marekani Joe Biden na Xi Jinping wa China hawatahudhuria mkutano wa ASEAN.
Kazakhstan yapiga kura ya kujenga mtambo wa nyuklia
Raia wa Kazakhstan wamegawika kuhusu mradi wa kujenga mtambo wa nyuklia.
Korea Kaskazini yaikosoa Marekani kuhusu Asia Pasifiki
Marekani imekosolewa kwa kuutumia vibaya Umoja wa Mataifa kwa masilahi binafsi.
Shigeru Ishiba atangazwa kuwa waziri mkuu mpya wa Japan
Ishiba mwenye umri wa miaka 67 amechaguliwa kwa kura 215 dhidi ya 194 za mwanasiasa anayeegemea sera za kizalendo.
Uchaguzi wa Jammu na Kashmir waleta matumaini eneo tete
Wakaazi wa Jammu na Kashmir wana matumaini ya tahadhari katikati mwa ghasia zisizoisha.
Viongozi Asia ya Kati waitaka Ujerumani kuwatambuwa Taliban
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Asia ya Kati wameishauri Ujerumani kurejesha mahusiano na utawala wa Taliban.
Mamilioni wajifungia majumbani Shanghai kufuatia kimbunga
Mamilioni ya watu katika mji wa Shanghai na maeneo mengine ya pwani ya Mashariki ya China wakumbwa na kimbunga Bebinca.
Papa Francis ahitimisha ziara katika nchi za Asia-Pasifiki
Papa Francis alitembelea mataifa ya Indonesia, Papua New Guinea, Timor Mashariki na Singapore.
Papa Francis ahitimisha ziara yake ya Asia-Pasifiki
Papa pia alitembelea Timor Mashariki, nchi yenye idadi kubwa zaidi ya waumini wa Kikatoliki duniani baada ya Vatican.
Papa aitaka Timor Mashariki kuepusha unyanyasaji wa watoto
Papa Francis yuko ziarani katika eneo la Asia-Pasifiki na atamalizia safari hiyo ndefu kwa ziara ya nchini Singapore.
Papa Francis alakiwa kwa nderemo Timor Mashariki
Timor Mashariki ni nchi ya tatu katika ziara yake ya siku 12 kwenye eneo la Asia na Pasifiki.
Papa Francis aelekea Papua New Guinea katika ziara ya siku 3
Ziara ya siku 3 ya Papa Francis nchini Papua New Guinea itamfikisha mji mkuu wa Port Moresby na kukutana na viongozi.
Papa Francis kukutana na viongozi wa dini 6 huko Jakarta
Papa Francis anatarajiwa kutia saini tamko la pamoja na Imamu mkuu wa msikiti huo, linalohusu ulinzi wa mazingira.
Papa Francis awasili Indonesia
Papa Francis amewasili nchini Indonesia kuanza ziara ya mataifa manne ya Asia-Pasifiki.
Mzozo wa Bahari ya China Kusini watishia biashara kimataifa
Sasa, mzozo kuhusu Bahari ya China Kusini unazidisha wasiwasi wa usalama wa kimataifa kuhusu nji hii muhimu ya biashara.
Korea Kusini tayari kufanya mazungumzo na Korea Kaskazini
Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amependekeza kuwepo "kundi la ushirikiano la Korea" linalolenga kupunguza mivutano.
Mahakama ya Thailand yamuondoa Waziri Mkuu madarakani
Thailand inakabiliwa na wasiwasi wa mzozo wa kisiasa kufuatia maamuzi mawili makubwa ya mahakama ya hivi karibuni.
Taliban yaituhumu Pakistan kwa mauaji ya raia wa Afghanistan
Afisa mmoja wa mpakani upande wa Pakistan amesema wanajeshi watatu wa Pakistan wamejeruhiwa katika machafuko hayo.
Jenerali Waker achukua majukumu Bangladesh
HRW: Wabangladeshi wameishinda serikali yao.
Bangladesh yakabiliwa na maandamano zaidi
Bangladesh yakabiliwa na maandamano zaidi
ASEAN yatoa wito wa kuwepo suluhisho la amani kwa mizozo
ASEAN imetoa wito wa kuwepo suluhisho la amani kwa mizozo ya Myanmar, Ukraine na Gaza.
Watu 18 wafa katika ajali ya ndege huko Kathmandu
Watu 18 wamekufa baada ya ndege ya abiria kuanguka muda mfupi baada ya kuondoka uwanja wa ndege wa Kathmandu, Nepal.
Mawaziri wa mambo ya kigeni wa ASEAN wakutana Laos
Mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi wanachama wa ASEAN watajadili mkwamo katika juhudi za kuutatua mgogoro wa Myanmar.
Dortmund yapokea kipigo barani Asia
Borussia Dortmund wako barani Asia kwa ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya nchini Thailand na Japan.
Watu 60 wahofiwa kufa Nepal baada ya mabasi kusombwa na maji
Maporomoko ya ardhi nchini Nepal yameyasomba mapema leo mabasi mawili yaliyokuwa yamewabeba karibu abiria 60.
NATO kuimarisha uhusiano wake na washirika wa Asia
Viongozi wa Jumuiya ya Kujihami ya NATO leo wanalenga kuimarisha uhusiano na washirika wa Asia.
Masoud Pezeshkian: Yepi matarajio kwa rais mpya wa Iran
Rais mteule wa Iran anakabiliwa na changamoto nyingi za kiuchumi na kijiografia lakini mamlaka yake ni finyu.
Rais wa India azindua bunge jipya baada ya uchaguzi
Rais wa India amezindua bunge jipya Alhamisi baada ya uchaguzi wa kitaifa na kutaja vipaumbele vya Narendra Modi.
Urusi na Vietnam zaapa kuimarisha ushirikiano wa kimkakati
Rais Putin ameizuru Vietnam, mshirika wa karibu wa Moscow, baada ya kukutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un.
Waziri wa Uchumi wa Ujerumani Robert Habeck ziarani Asia
Dhamira ni kuimarisha uhusiano wa kibiashara kati ya China na Umoja wa Ulaya, ambao umekuwa kwenye mvutano.
Mizozo ya Ukraine na Gaza yatawala Jukwaa la Shangri-La
Mkutano wa masuala ya usalama unaowaleta pamoja maafisa wa ngazi ya juu wa ulinzi duniani umeingia siku ya pili.
India kukabiliwa na wimbi jingine la joto kali kwa wiki 3
Mji mkuu wa New Delhi utakuwa na viwango vya juu vya nyuzijoto 45C mwishoni mwa juma, kulingana na utabiri.
Viongozi mbalimbali kuhudhuria uapisho wa rais wa Taiwan
Rais ajaye Lai Ching-te ataapishwa huku kukiwa na ongezeko la shinikizo la kidiplomasia na kijeshi kutoka China.
HRW yaonya ongezeko la ukandamizaji wanaharakati Thailand
Kulingana na HRW kumekuwa na ongezeko la vitendo vya ukandamizaji dhidi ya raia wa kigeni walioomba hifadhi nchini humo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 5
Ukurasa unaofuatia