You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kamala Harris aanza kampeni za Urais
Joe Biden alijiengua kwenye mbio za urais baada ya wiki kadhaa za shinikizo kutoka ndani ya chama chake cha Democrats.
Netanyahu aanza ziara nchini Marekani
Ziara ya Netanyahu nchini Marekani inajiri wakati vita vinaendelea kupamba moto Gaza na vinaashiria kutanuka zaidi.
Uchaguzi wa Marekani: Makamu wa Rais Kamala Harris ni nani?
Wakati safari ya Kamala Harris imekuwa ya kuvutia, alihudumu kwa miaka kadhaa katika kivuli cha Biden.
Joe akubali kung'atuka
Baada ya uvumi wa wiki kadhaa, Rais wa Marekani Joe Biden amethibitisha kuwa hatowania tena uchaguzi mkuu wa Novemba.
Urusi yadai kuzuia ndege za kivita za Marekani
Urusi imedai kwamba ilituma ndege zake za kivita za kwenda kuzizuia ndege mbili za kijeshi za Marekani.
Biden aapa kushinda pamoja na kushinikizwa ajiengue
Biden aapa kushinda pamoja na kushinikizwa asishiriki uchaguzi wa Novemba
Kundi la IS huenda linajiunda upya
Kundi la kigaidi la IS limedai kuhusika kwenye mashambulizi 153 huko Syria na Iraq, miezi sita ya kwanza ya 2024.
Donald Trump atarajia mapokezi ya kishujaa
Trump atapewa mapokezi ya kishujaa wakati akikubali uteuzi wa kuwania urais wa Marekani kwa chama cha Republican.
Rais Biden alazimika kusitisha kampeni zake
Biden asitisha kampeni zake baada ya kugundulika na virusi vya UVIKO-19.
Israel yaishambulia tena Gaza licha ya ukosoaji wa Marekani
Netanyahu: Hamas wanakabiliwa na shinikizo. Huu ndio wakati hasa wa kuongeza maradufu shinikizo hilo.
Rais Biden asema hatoacha kumkosoa Trump
Rais wa Marekani Joe Biden amerejea kufanya mikutano ya kampeni kwa mara ya kwanza tangu jaribio la kumuua Donald Trump
Trump ajitokeza mkutano wa RNC baada ya shambulio
Siku ya kwanza ya mkutano wa Republican ilikamilika baada ya kumuidhinisha rasmi Trump kuwa mgombea wake.
Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amelaani na kuliita tukio hilo kuwa ni vurugu za kisiasa.
Biden ataka Wamarekani watulize joto la kisiasa
Rais wa Marekani Joe Biden Jumatatu ametoa wito kwa raia wa nchi hiyo kutuliza joto la kisiasa kufuatia jaribio la kumuu
FBI yachunguza jaribio la mauaji dhidi ya Trump
FBI imesema mwanamume huyo ameuwawa mara tu baada ya kufanya shambulio hilo.
Viongozi wa dunia walaani shambulio dhidi ya Trump
Kauli za kulaani jaribio la mauaji dhidi ya Trump zimetolewa na viongozi mbalimbali duniani
Jaribio la mauaji dhidi ya Trump lachunguzwa
Shambulio la risasi lililomjeruhi sikioni
Biden: Niko sawa kiafya hivyo msiwe na hofu
Mfululizo wa matukio hayo unaongeza shinikizo juu ya uwezo wake wa kiakili ingawa yeye anasisitiza kuwa yuko sawa.
Washirika wa NATO waahidi kuipa Ukraine msaada zaidi
Rais Joe Biden alitangaza msaada huo wa fedha baada ya kukutana na Rais Volodymyr Zelensky mjini Washington.
Biden asema hang'oki licha ya makosa ya aibu
Rais Joe Biden amesema ataendela na kampeni yake licha ya wasiwasi kuhusu utimamu wake wa kuongoza na makosa kadhaa.
Viongozi wa NATO wahitimisha mkutano wao wa kilele
NATO walitangaza msaada zaidi wa kijeshi ili kuunga mkono juhudi za Ukraine za kukabiliana na uvamizi wa Urusi.
Mawaziri wa Armenia na Azerbaijan kukutana Washington
Mawaziri wa Armenia na Azerbaijan kukutana Washington kwa mazungumzo ya amani
Viongozi wa NATO wakutana Washington chini ya wingu la vita
Viongozi wa jumuiya ya NATO wanaanza mkutano wao wa kilele leo Jumanne,Washington Marekani
Marekani yamtaka Modi kusisitiza juu ya uadilifu wa Ukraine
India ni mshirika wa kimkakati wa Marekani.
Vikosi vya Marekani vyaondoka katika kambi yao Niamey, Niger
Tarehe ya mwisho ya kuondoka kwa vikosi vya Marekani nchini Niger, imewekwa na watawala wa kijeshi wa nchi hiyo.
Hamas yakubali pendekezo la Marekani juu ya mateka wa Israel
ana na maafisa wa afya wa Gaza mzozo huo umegharimu maisha ya zaidi ya wapalestina 38,000.
Biden akataa kujitowa kinyang'anyiro cha urais Marekani
Biden amekataa kujitowa kwenye uchaguzi wa Novemba, licha ya shinikizo la kumtaka afanye hivyo.
Pyongyang yakosoa luteka za kijeshi zikiongozwa na Marekani
Korea Kaskazini imeonya kwamba luteka hiyo itakuwa na matokeo mabaya.
Biden, Trump wakabiliana katika mdahalo wa uchaguzi wa rais
Biden na Trump wamejibizana kuhusu rekodi zao za masuala ya kiuchumi, utoaji mimba na uhamiaji katika mdahalo huo
Biden na Trump kukabiliana katika mdahalo wa kwanza 2024
Wagombea wa urais nchini Marekani, Biden na Trump, watakabiliana katika mdahalo wa kwanza kabla ya uchaguzi wa Novemba,
Mwanajeshi mmoja wa Israel auawa Ukingo wa Magharibi
Mwanajeshi mmoja wa Israel ameuawa na mwingine amejeruhiwa vibaya wakati wa operesheni ya kijeshi Ukingo wa Magharibi.
Viongozi wa jeshi Bolivia wakamatwa, jaribio la mapinduzi
Maafisa wawili wa ngazi za juu wa jeshi wamekamatwa kufuatia tukio la kuvamia majengo ya serikali nchini Bolivia.
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
Urusi yaishutumu Marekani kuhusika na shambulizi la Crimea
Netanyahu asema hatokubali mpango unaokomesha vita Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesisitiza kuwa hatoiacha Hamas vile ilivyo katika ukanda wa Gaza.
Mzozo kati ya Israel na Hezbollah wazusha wasiwasi mkubwa
Israel imekuwa ikikabiliana na Hezbollah eneo la mpakani kati ya mataifa hayo mawili.
Urusi: Wanamgambo waua polisi 15, raia kadhaa huko Dagestan
Mamlaka imetangaza operesheni ya kukabiliana na ugaidi katika eneo hilo.
Israel yatanua mashambulizi Rafah, mzozo ukizidi na Mareani
Vikosi vya Israel vilianza kuishambulia Rafah mwenzi Mei na kusababisha watu kuhama tena.
Netanyahu aishutumu Marekani kwa kuzuia msaada wa silaha
Watu 37,369 wameuawa na zaidi ya 80,000 kujeruhiwa, wakiwamo watoto na wanawake, kwa mujibu wa Wizara ya Afya ya Gaza.
Wabunge wa Marekani wakutana na Dalai Lama
Wabunge wa Marekani wamekutana na kiongozi wa kidini wa Tibet, Dalai Lama, na serikali yake iliyo uhamishoni India.
SIPRI: Vichwa vya nyuklia vinawekwa katika hali ya tahadhari
Takriban vichwa 3,904 vya nyuklia tayari vimeunganishwa kwenye makombora na ndege za kivita.
Israel kusitisha mapigano kwa muda kila siku Gaza
Jeshi la Israel limetangaza kwamba litasitisha mapigano kwa muda hii leo ili kuruhusu misaada kuingia kusini Mwa Gaza na
Viongozi wa nchi za G7 wakubaliana kuipa msaada Ukraine
Wakuu wa nchi saba tajiri duniani pia wamekubaliana jinsi ya kukabiliana na malengo ya kibiashara na kisiasa ya China.
NATO yaunga mkono ujumbe wa mafunzo na msaada kwa Ukraine
Jumuiya ya kujihami ya NATO yakutana kujadili msaada wa mafunzo kwa Ukraine pamoja na ahadi za muda mrefu za kifedha.
Blinken ataka suluhisho la kidiplomasia Mashariki ya Kati
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani kwa mara nyengine ametoa wito wa suluhisho la kidiplomasia kati ya Israel na Lebanon.
Mtoto wa Biden akutwa na hatia kwa kesi ya bunduki
Mtoto wa Biden akutwa na hatia kwa mashtaka yote ya kesi ya bunduki
Hamas yaitaka Marekani kuishinikiza Israel kusitisha vita
Wito huo umetolewa wakati Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken anatarajiwa kuanza ziara Mashariki ya Kati.
Macron kumpokea Biden katika ziara rasmi mjini Paris
Rais wa Marekani aliyeko ziarani nchini Ufaransa aliwasili siku ya Jumatano na kushiriki katika maadhimisho ya D Day.
D-Day: Macron, Biden wakutana na Zelensky
Biden ametangaza kifurushi kipya cha msaada wa kijeshi kwa Ukraine chenye thamani ya dola milioni 225.
Marekani yapitisha muswada wa kuiwekea vikwazo ICC
Hatua ya Bunge hilo ambayo imewagawanya wanasiasa wa Marekani inajiri wakati vita vikiendelea katika Ukanda wa Gaza.
Biden aagiza kufungwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Rais Biden wa Marekani aagiza kufungwa kwa muda kwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 71
Ukurasa unaofuatia