You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Msichana Jasiri
Kila msichana ana nafasi sawa kuwa jasiri - Msichana Jasiri!
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kundi la wasichana na sanaa ya uoni
Hii ni sanaa ya kufikirika kwa kutumia picha halisia na zile za kubuni na rangi. Kundi hili linatumia sanaa hiyo ngumu k
Mabaki ya vifungashio hadi mapambo ya ndani
Modesta Oguda hutumia visoda, mabaki ya chupa na hata vifuu vya nazi kutengeneza mapambo na bidhaa nyengine. Modesta anatamani kuwa na kiwanda kikubwa ili kutoa ajira zaidi kando na kutangaza utamaduni wa kiafrika duniani.Ungana na Hadija Halifa
Msichana Jasiri: Sharon Ringo Balozi wa Utalii Afrika Mashariki
Msichama Jasiri: Sharon Ringo Balozi wa Utalii Afrika Mashariki
MSICHANA JASIRI: Msichana aliyeachana na fani ya Sayansi na kugeukia ufundi wa viatu
Taaluma aliyoichagua na kuisomea chuoni ni ukemia, lakini changamoto ya ajira imempa sababu ya kugeukia ubunifu wa viatu na kuachana na sayansi. Je kwa kiwango gani anafurahia tasnia hiyo na kuwa kioo kwa wasichana wengine? Makala ya Msichana Jasiri inamuangazia Amina Mohammed.
Msichana Jasiri-Asia Mussa , binti wa mjini anayefanya ufundi wa magari
Wahenga walisema mchagua jembe si mkulima, na kazi ni kazi mradi mkono uende kinywani. Binti Asia Mussa wa Dar es Salaam ameamua kuwa badala ya kukimbizana na kazi za kuajiriwa, afuate ndoto zake, akakunja mikono ya shati na kuzamia katika umakenika wa magari. Na huo ni mwanzo tu. Sikiliza hadithi yake, na pia ndoto zake katika vidio hii ya #MsichanaJasiri.
Msichana Jasiri: Mfahamu Madeeha Ghulam na harakati zake
Maddeha Ghulam ni binti anayemulikwa safari hii kwenye makala hii maalumu kabisa ya wasichana wanaoamua kuchukua hatua za kuisaidia ama kuinusuru jamii na mengine yanayozunguka jamii hizo. Ni nani hasa huyu bintiß Sikiliza makala haya.
Msichana wa miaka 13 anamiliki kiwanda cha sabuni
Umri si kigezo cha uthubutu haya yanadhihirishwa na msichana mgogo aliyejifunza ujasiriamali na bidhaa zake zipo sokoni
Msichana Jasiri kutoka Marsabit, Kenya
Katika kipindi cha Msichana Jasiri, Michael Kwena anamuangazia Jillo Fugicha, Msichana Jasiri kutoka Marsabit, nchini Kenya ambaye ameanzisha Shirika la kijamii la kupambana dhidi ya Ukeketaji.
Jasiri anaeamini juu ya elimu ya mazingira kwa jamii
Si kila mmoja anaweza kuthubutu kuhusu kuyatunza mazingira lakini kwa jasiri Upendo amethubutu zaidi kwa kuamini elimu pekee ndio suluhisho la kudumu katika kuyatunza mazingira na si elimu tu, bali kuwaelimisha watoto na wanawake kuhusu mazingira bora na ustawi wake.
Msichana Jasiri: Mtafsiri wa lugha ya alama
Makala hii ya Msichana Jasiri inamwangazia Halima Salim, binti anayejitolea kutafsiri lugha ya alama kwa wanafunzi wenzake ambao ni viziwi kwenye shule ya sekondari ya Mtwara Ufundi iliyoko mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania. Msikilize Salma Mkalibala akisimulia.
Msichana Jasiri: Msichana anayetoa elimu shuleni na vyuoni juu ya kujitambua
Katika umri wa miaka 19 tu swaiba anathubutu kupita shuleni pamoja na vyuoni kuitoa elimu kwa wasichana wengine juu ya kujitambua. Hii si rahisi kwake lakini nguvu nyingi na masaada wake mkubwa unatoka katika jamii. Si rahisi kwa jamii yake kumuelewa lakini matumaini yake ni kuwafikia wasichana wengi na anatamani kuona wazazi wanaotoa elimu madhubuti juu ya kujitambua kwa vijana wao.
Msichana Jasiri: Rubani ambaye pia anatengeneza udi
Wadh- hat ni rubani ambaye ameamua kuwafundisha watu jinsi ya kutengeneza udi ili kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira. Kwake haikuwa rahisi kwa sababu watu wa jamii yake waliamini kuwa udi bora hutoka katika mataifa ya Uarabuni. Lakini sasa amekuwa ni msaada kwa baadhi ya watu na hata wengine kumuona kuwa daraja kwao katika kuyafikia malengo yao.
Wakonta anatumia ulimi,teknolojia kuandika
Ajali alioipata haikuzuia kufikia malengo yake ya masomo na biashara, alijifunza kutumia viungo vilivyobaki katika lengo
Jasiri katika kilimo biashara
Alipoanza kilimo biashara familia haikumuelewa lakini kadri alivyoamua kuongeza bidii katika kile anakiamini, sasa anafurahia hatua anazopiga. Anamiliki kiwanda kidogo kuchakata viungo vya kupikia
Fahamu ndoto za Witness Raphael mlimbwende wa viti mwendo
Msichana aliyethubutu kuwania mashindano ya ulimbwende wa viti mwendo Duniani , safari yake haikuwa rahisi lakini uthubutu wake umekuwa na manufaa na kuwa mfano kwa wasichana na vijana wengine. Anatamani kuona jamii yenye usawa haswa kwa watu wenye changamoto za kimaumbile kujitokeza na kutumia vilivyo vyao ili kuziishi ndoto zao.
Jasiri kwa wasio na makaazi
Ayshat msichana anayelikusanya kundi la watoto lililosahaulika na kuwapatia mahitaji yao muhimu huku akiwa akitamani kuona jamii yenye usawa na anatamani kuona jamii inalikumbuka kundi hili.Tazama video
Mfahamu msichana anayeelimisha jamii kwa kutumia vitabu
Msichana wa miaka 16 anaielimisha jamii kwa kutumia vitabu huku akiwa na changamoto ya kifedha kwaajili ya kuchapisha kitabu chake ana imani kuwa watu wengi wataelimika kwa kupitia utunzi wake huku akizitoa fikra potofu juu ya msichana anayafanya haya yote akiwa na matarajio makubwa juu ya msichana katika jamii anatamani kuona jamii yake inaitambua thamani ya msichana. #MsichanaJasiri
Je, unaweza kukuza talanta ya Karate kwa mtoto wa kike?
Je, unaweza kukuza talanta ya Karate kwa mtoto wa kike?
Jasiri wa Dar es Salaam Asia Matona
Jasiri wa Dar es Salaam Asia Matona
Ubunifu unalipa..!!!
Sammy Julius si tu ni msichana aliyeitumia changamoto na kuwa fursa. Bali pia amefanikiwa pakubwa na sasa anakuwa miongoni mwa waajiri nchini Tanzania. Anafanya nini hasa? Tizama video hii ya msichana Jasiri. #Msichanajasiri
Kutana na Jane Limwata, kijana mhamasishaji
Yeye ni kati ya kina dada wachache ambao hujitolea kuwa wanaharakati kwa lengo la kuhamasisha umma. Je Jane Limwata anatekeleza majukumu yake vipi na kukabiliana na changamoto dhidi yake? Hadija Halifa anayatafutia majibu kwenye #MsichanaJasiri
Msichana Jasiri: Mhelepu Shilingi atumia sanaa kujiajiri
Mhelepu Shilingi ni msichana ambaye amefanikiwa na kuziishi ndoto zake kwa sanaa yake ya uchoraji. Amefanikiwa kuwafundisha watu wengine na pia amepata tuzo ya msichana anayezipambania ndoto zake. Matamanio yake ni kuona vijana wanathubutu katika kuziishi ndoto zao.Mwandishi wetu chipukizi Hadija Halifa alimtembelea miaka miwili iliyopita na sasa amerudi tena kuona mafanikio yake.
Changamoto za wasichana zimetatuliwa Tanzania?
Juma hili dunia imeadhimisha siku ya Mtoto wa kike huku bado changamoto lukuki zinamtaza, lakini walau sasa kuna jitihada zinaonekana.Tazama video na Hadija Halifa, je malengo dunia inayotaraji yamefikwa?
Kutana na wacheza ala za muziki chipukizi
Mpambanaji ustawi afya ya akili kwenye jamii
Hali ya matukio ya kutisha kwenye jamii yanampa sababu ya kupambania kizazi kijacho kwa kutoa elimu ya afya ya akili
Msichana Jasiri:Unaitumiaje mitandao ya kijamii?
Neema Kaniki ni msichana anayeitoa elimu juu ya mitandao ya kijamii licha ya kuwa baadhi ya wasichana wamebaki na alama mbaya anakuwa sehemu ya kuwaelimisha na kuitumia mitandao kwa faida na kuzikamata fursa zinazopatikana mitandaoni anatamani kuwafikia vijana wengi ili wanufaike na elimu anayoitoa.
Msichana anayetumia taka ngumu kubuni mavazi
Anakuja na taswira mpya katika tasnia ya ubunifu anapoamua kuzitumia taka ngumu haswa mifuko viroba katika kubuni mitindo mbali mbali ya mavazi japo si rahisi katika jamii yake kuamini katika hili lakini anakuwa mfano wa kwanza katika kuutambulisha ubunifu wake. Anatamani kuona anafanya makubwa katika tasnia ya mitindo na ubunifu. Huyu ni Nyeusi Yalami,#msichanajasiri
Qayllah msichana mwenye ndoto za kuwa rais
Msichana mdogo mwenye ndoto ya kuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania anaamua kuuvaa uhusika na kuwahamasisha watu kuhesabiwa Na kuwatoa imani potofu juu ya hilo. Huku matamanio yake makubwa ni kuona watoto wanapata haki zao za msingi. #Kurunzi
Bahati jasiri katika michezo ya watoto
Bahati simba Katikati ya harakati zake analikusanya kundi la watoto wanaotoka katika mazingira mabayo si rafiki na kuwapa kile ambacho ni adimu katika mazingira yao ili nao wafikie matafanikio kwenye sekta ya michezo.
Fatuma Juma, binti aliyekataa kuozeshwa
Fatuma Juma ni binti mwenye umri wa miaka 17 kutoka Mtwara ambaye alikataa kuozeshwa baada ya mjomba wake kutaka kufanya hivyo. Fatuma sasa ana ndoto za kuwa mpigania haki za wasichana na wanawake. Mwandishi wetu kutoka Mtwara, Salma Mkalibala amezungumza na binti huyo na mengi zaidi ni katika makala ya Msichana Jasiri.
Msichana mwandishi wa barua kwa viongozi
Karatasi ndogo yenye ujumbe mzito kwa viongozi wakuu wa nchi inaleta tafakuri pana na kubadili kabisa maisha ya wengine.ambatana na Hadija Halifa katika video hii ya msichana jasiri
Msichana Jasiri: Ana tasisi yake ya kuwasaidia vijana
Makala ya msichana jasiri hii leo inakutana na Sakina Chambulilo ambaye ameanzisha taasisi yake inayojulikana kwa jila la Get Connected inayojihusisha na mambo mbalimbali yanayowahusu vijana na jamii kwa ujumla.
Rehema wa Dar es Salaam ni msichana jasiri
Rehema wa Dar es Salaam ni msichana Jasiri
Christina Singeli- waziri wa michezo anayehamasisha michezo hasa kwa wasichana
Christina Singeli ni waziri wa michezo katika serikali ya wanafunzi wa chuo cha uwalimu wa awali Ndala, kilichopo wilaya ya Nzega mkoani Tabora magharibi mwa Tanzanania. Alichaguliwa kushika nafasi hiyo kutokana na hamasa ya kupenda michezo na uongozi. Veronica Natalis alitemebelea chuoni kwake na kuandaa makala hii.
Msichana Jasiri: Waziri wa michezo chuoni
Msichana Jasiri Christina Singeli Waziri wa Michezo Chuoni
Msichana anayetumia vifungo katika sanaa ya uchoraji
Janeth Patrice ni msichana anayetumia vifungo vya aina tofauti katika kuipamba sanaa yake ya uchoraji na hivyo kuifanya kuwa ya kipekee. Kama kawaida #msichanajasiri inamulika juhudi za akina dada. Ungana na Mtangazaji chipukizi Hadija Halifa kutoka Tanzania.
Msichana Jasiri Mtengeneza samani za ndani
Katika Msichana Jasiri, leo tunamuangazia Gift Manega, mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar Es Salaam ambaye ameamua kuwa pia seremala katika kujiingizia kipato kwa ajili ya matumizi binafsi. Hadija Halifa na Mengi zaidi.
Mdondoko wa masomo haujawazuia kufikia malengo yao
Mbali na kudondoka katika masomo kutokana na sababu mbalimbali na baadhi yao kutengwa na jamii zao, wameamua kuungana pamoja na kugeukia fani ya ubunifu wa mavazi na ushonaji ili kufikia malengo yao, kijamii na kielimu.Ungana na Hadija Halifa katika video hii upate mwanzo mpya.
Mfahamu Zainab mwanamuziki anayehamasisha jamii
Muziki ni kitu kinachopenya kwa haraka katika hisia za mwanadamu hivyo msichana Zainab Hamza autumia muziki aliyourithi kutoka kwa mmoja wa wazazi wake katika kuelimisha jamii juu ya kutenda yaliyo mema anatamani kufika mbali zaidi lakini kupitia muziki wake umewapa wasichana wengine nafasi ya kufanya mambo mbalimbali.
Msikilize Msichana Jasiri Leila Lugoda
Msikilize Msichana Jasiri Leila Lugoda wa Tanzania ambae anatumia mitandao ya kijamii kuhamasisha vijana katika makabiliano ya uharibifu wa mazingira.
Anaibua na kuwasilisha mawazo, changamoto za vijana, Je nirahisi?
Valentina Thomas ni msichana ambaye anaziibua changamoto za vijana na kuziwasilisha mahala husika anawasema vijana katika majukwaa mbalimbali, jamii,siasa, jinsia na hata kiuchumi anatamani kumuona msichana kutoka ulimwengu wa tatu akileta mabadiliko na kufungua minyororo iliomfunga msichana kutofikia malengo yake.
Wasichana wanavyosherehekea sikukuu
Wasichana wananamna yao ya kusherehekea sikukuu lakini katikati ya hili wanakumbana na madhila kadha wakadha ni vipi wanajilinda kutokana na madhila haya Na ipi nafasi ya wazazi?
Msichana Jasiri Uwimana Jeannette wa Rwanda
Katika makala ya Msichana Jasiri utamsikia Jeannette Uwimana, msichana ambaye ni mlemavu wa kusikia na kuongea aliyeshinda tuzo ya Miss Innovation ama msichana mbunifu kwenye kinyang’anyiro cha Miss Rwanda cha kumsaka mlimbwende namba moja nchini humo kwa mwaka huu wa 2022.
Donatila Thomas- Binti mwezeshaji wa mambo muhimu kwa vijana
Makala ya msichana jasiri ya DW ipo katika shule ya Temeke Sekondari, inakutana na Donatila Thomas, mwanafunzi wa kidato cha tano ambaye amekuwa kinara katika kusimama kwenye majukwaa na kuwahamasisha wenzake waache tabia zinazoweza kuwaathiri katika maendeleo yao ya shule na wakati mwingine kuwaletea shida ya kiafya.
Kutana na Regina Magoke mwanaharakati wa mazingira
Regina Magoke, msichana mdogo ambaye anaitumia elimu yake katika kuzifanya harakari za mazingira ili kuwa na mazingira yaliyo salama na yenye afya sababu mazingira yamezibeba fursa, Regina anatamani kumuona msichana akizikamata fursa zilizopo katika mazingira.#msichanajasiri @miss_hadijahalifa
Msichana anayetoa huduma za urembo wa kucha
Msichana Sylvia anatumia maarifa ya ziada na fursa zinazo mzunguka katika kujiajiri na anatamaji kuwaajiri vijina wengine. licha ya kuwa vijana wengi wanaimaliza elimu ya juu na kuzikosa ajira wanatakiwa kuzitumia fursa zinazo wazunguka ili kujiajiri na pia kujipatia kipato cha kujikimu katika mahitaji yao ya kila siku.
Ulemavu sio kikwazo
Licha ya changamoto ya ujeongevu, msichana Charity anafanya kampeni za kuzuia ukatili kwa wanawake na watoto na kuwakutanisha vijana wa rika tofauti na kuzijadili changamoto zao na namna ya kuzitatua. Nia yake ni kuona ukatili kwa wanawake na watoto unaisha kabisa. Utamuunga mkono? Mtizame Msichana huyu Jasiri.
Catherine Credo atumia sanaa ya maigizo kuwakilisha wasichana
Catherine Credo Msichana Jasiri amefanikwa kuufikisha ujumbe na kuziwakilisha changamoto na hisia za wasichana kwa kupitia sanaa ya maigizo atamani kumuona msichana akizipambania ndoto zake bila kuwa ni msukumo wa watu bali wajitathmini na kuzijua ndoto zao.
Mjue Rehema Shomary: Msichana jasiri aliyehitimu akiwa na changamoto ya usikivu
Mafanikio ya mtu hutokana na juhudi zake za kupambana na changamoto zinazomkabili. Rehema Shomary ni mfano mwema; akiwa na ulemavu wa kutosikia, binti huyu amesoma na kufaulu tena masomo ya sayansi. Haikuwa njia iliyoonyoka kama utakavyoona na kusikia katika vidio hii ya Msichana Jasiri.
Msichana aliyejikomboa kwa kutumia makaratasi
Ni makaratasi tu ndio yaliyomsaidia binti huyu jasiri kujitoa kwenye umasikini. Ni kwa namna gani? Tizama video hii.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia