You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Changamoto za uzazi wa mpango nchini Sudan Kusini
Makala ya afya yako inatizama changamoto za upangaji uzazi kwa kundi kubwa la wanawake na wasichana wa Sudan Kusini.
Ukatili wa kingono katika vita vya Sudan
Mbiu ya Mnyonge hivi leo inalia na wanawake wa Sudan wanaoandamwa na ukatili wa kingono katikati mwa balaa la vita.
Bulgaria yapiga marufuku uhamasishaji LGBTQ+ skuli
Serikali ya Bulgaria imetangaza marufuku ya ujumbe wowote wenye maudhui ya mapenzi ya jinsia moja kwenye skuli.
Olympics 2024: Marekani inaongoza jedwali la medali
Marekani imeipiku China iliyokuwa kinara na sasa iko nafasi ya pili ikiwa na jumla ya medali 58 ikifuatiwa na Australia.
Tuzo za fasihi na waandishi wanawake wa Kiafrika
Tuzo ya Fasihi ya Safal-Cornell inakaribia kutimiza miaka 10 tangu ilipoasisiwa mwaka 2014 na washindi wake wa kwanza kutangazwa mwaka 2015. Tuzo hiyo imevutia ushiriki wa maelfu ya wanafasihi kwenye mataifa yanayozungumza Kiswahili. Mohammed Khelef anazungumza na Anna Samuel, mshindi wa kwanza aliyeizindua tuzo hiyo ya riwaya yake ya Penzi la Damu, juu ya safari ya mwandishi wa fasihi.
Michuano ya Michezo ya Olimpiki Paris 2024 yaendelea
Jumla ya medali 18 za dhahabu zilishindaniwa Jumatano katika mashindano ya michezo mbalimbali.
Human Rights Watch yaishtumu RSF kwa dhulma za kingono Sudan
Matukio ya ubakaji na vurugu za kijinsia haviripotiwi ipasavyo kwa hofu ya waathirika kulipiziwa kisasi.
Kandanda la wanawake Olimpiki laanza rasmi Alhamis
Mechi za kandanda katika michezo ya Olimpiki zinaanza Alhamis huku timu 12 tofauti zikicheza mechi zao katika viwanja to
Saudi Arabia: Visa vya watu kunyongwa vyaongezeka maradufu
Ukosefu wa uwajibikaji na hukumu za kiholela vinachangia katika ongezeko hilo, kwa mujibu wa waangalizi.
Miili ya watu 8 yagunduliwa kwenye dampo la takataka Nairobi
Polisi nchini Kenya wamegundua miili ya wanawake 8 iliyokuwa imetupwa kwenye dampo la taka jijini Nairobi
Wanawake wakatwa katwa na kutupwa dampo Nairobi
Polisi nchini Kenya imeanzisha uchunguzi baada ya miili sita ya wanawake kukutwa kwenye dampo la mjini Nairobi.
Wabunge nchini Gambia waunga mkono ripoti dhidi ya ukeketaji
Wabunge 35 wamepiga kura kuidhinisha ripoti dhidi ya ukeketaji wanawake nchini Gambia.
Jenerali jeshi la Ujerumani ataka wanawake watumikie jeshi
Inspekta mkuu wa majeshi ya Ujerumani amependekeza wanawake kujumuishwa kwenye sheria ya kutumikia jeshi kwa lazima.
Unajua namna Yoga inavyoweza kukusaidia kiafya?
Nina uhakika unajua kitu kuhusu mazoezi ya Yoga, lakini unajua umuhimu wake kiafya? Kuna mengi unayoweza kujifunza ama kumshirikisha mwenzako kuhusu mazoezi haya. Tizama video hii kujifunza zaidi. #Kurunzi
Taliban: Haki za wanawake wa Afghanistan ni suala la ndani
Taliban: Haki za wanawake wa Afghanistan ni suala la ndani
Taliban yakosolewa kuwatenga wanawake katika mazungumzo UN
Taliban yakosolewa kwa kuwatenga wanawake katika mazungumzo na UN.
Dalili za tatizo la PCOS kwa wanawake
Wanawake wengi wenye ndevu ama nywele za usoni wanakabiliwa na matatizo ya kiafya ya PCOS yanayohusiana na homoni. Dalili nyingine za PCOS ni kuongezeka uzito, uso wenye mafuta na ugumu wa kubeba ujauzito. #kurunziafya #wanawake #pcos #afya
Vizuizi dhidi ya wanawake vyazidi kuitenga Afghanistan
Tangu kurejea madarakani mwaka 2021 Taliban haijatambuliwa rasmi na imekuwa ikitumia sheria kali ya Uislamu.
Namibia yafuta sheria za marufuku kwa mapenzi ya jinsia moja
Mahakama Kuu ya Namibia imezifuta sheria za enzi za ukoloni ambazo zilikuwa zikipiga marufuku mapenzi ya jinsia moja.
Madonda yasiyopona kwa Wanawake wa Tigray
Vita katika eneo la Tigray vimewaathiri pakubwa wanawake wa Ethiopia wakipitia madhila chungumzima ikiwemo ubakaji, kukatwa viungo vyao vimewafanya kubeba maumivu yasiopona katika maisha yao yaliosalia hapa ulimwenguni. Wanataka haki itendeke miongoni mwa waathirika wa ukatili wa kijinsia katika maeneo ya mizozo na vita.
Monica Pereira ni DJ na mwalimu kutoka Cape Verde
Monica Pereira amevutia hisia za watu wa Cape Verde kwa kuwa maarufu kama DJ na mwalimu. Mapenzi yake ya muziki na hitaji la kupata pesa ndio sababu zilizomfanya aingie kwenye vilabu vya usiku, eneo ambalo bado linatawaliwa na wanaume nchini humo. Ebu tazama vidio na umpe neno mpambanaji huyu.
Wapigania haki wamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
Makundi ya Haki za Olimpiki yamsihi rais wa IOC kuondoa marufuku ya hijab
Amnesty yalishutumu jeshi la Nigeria kwa ukiukwaji wa haki
Jeshi la Nigeria lalaumiwa kuwazuilia kinyume cha sheria wasichana na wanawake waliotoroka mikononi mwa Boko Haram.
Kituo cha kuwalea watoto bila malipo Nairobi
Huwa ni changamoto kubwa kwa mzazi aliye na mtoto mdogo kwenda kuchakarika kutafuta riziki. Lakini kuna mama mmoja Nairobi aliyeanzisha kituo kinachotoa suluhisho: kuwalea watoto saa za mchana bila malipo.
Wanaume ruksa kuwasindikiza wanawake leba Tanzania
Hospitali ya KCMC Tanzania imezindiua wodi maalum zinazoruhusu mwanamke kujifungua huku akiwa na mwenza wake.
Sheinbaum atarajiwa kushinda uchaguzi Mexico
Mgombea wa serikali Claudia Sheinbaum anatarajiwa kushinda uchaguzi wa rais nchini Mexico.
Hedhi salama bado ni changamoto kwa wasichana
Hapo kabla ilikua ni nadra kulizungumzia suala la hedhi hadharani lakini muda inavyozidi mambo kuwekwa wazi hili linawapa nafasi wasicha kuzungumza suala hili kwa uwazi zaidi. #MsichanaJasiri
Matumizi ya AI kwa lishe bora
Ndoto ya Janet Kitsovi ni kuona ubunifu wake wa akili mnemba Plate-AI na matumizi yake yanawasaidia wagonjwa wengi wanaougua kisukari, moyo na shinikizo la damu nchini Tanzania, Afrika na kwingineko ulimwenguni.
Kurunzi Live Hedhi Salama Day
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku ya Hedhi Salama, bado wasichana na wanawake wengi wanakabiliwa na changamoto mbalimbali wanapofikia kwenye siku hizo. Je kipi kifanyike kuwasaidia? Tizama video hii kisha utuambie.
Kwa nini wanaume wengi hawatafuti msaada wa afya ya akili ?
Katika mwezi huu wa kuhamasisha jamii kuhusu afya ya akili, swali linalozidi kuibuka ni: kwa nini wanaume wengi hawatafuti msaada wa afya ya akili? Kulingana na wataalamu wa saikolojia, inaonekana kuwa wanawake wengi wanagunduliwa na matatizo ya afya ya akili ikilinganishwa na wanaume. Lakini, ni nini hasa kinachosababisha tofauti hii ?
Khamenei aongoza ibada za kuaga miili ya Raisi na maafisa
Viongozi hao walikufa kwenye ajali ya helikopta wakitokea kuzindua bwawa kwenye mpaka na Arzebaijan.
Wasichana wa sasa katika kuzienzi tamaduni zao
Katika safu yetu ya Msichana Jasiri, mjadala unaopewa nafasi unahusu. "Wasichana katika kuzienzi tamaduni zao."
Wasichana na wanawake wanavyotumia fursa ya teknolojia
Kuwekeza katika elimu ya teknolojia ya akili ya kubuni (AI) kwa wasichana sio tu kunafungua uwezo wao bali pia huchochea uvumbuzi na utofauti katika tasnia ya teknolojia kwa baadae. Taasisi ya LP digital kutoka Tanzania inafanya jukumu hilo la kutoa mwanga wa sayansi bunifu kwa wasichana.
Wahamiaji 107 wakiwemo wanawake na watoto wameokolewa Libya
Kulingana na ushuhuda wa baadhi ya wahamiaji, watu hao waliwekwa utumwani kwa karibu miezi saba.
Iraq kuwafunga miaka 15 wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja
Mapenzi ya jinsia ni mwiko katika jamii ya kihafidhina ya Iraq, lakini hapakuwa na sheria ambayo ilitoa adhabu ya wazi.
25.04.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Sikiliza Taarifa ya Habari asubuhi ya leo hapa
UN yaonya juu ya kitisho cha wanawake wanaouawa Honduras
Wanawake wamekuwa wakinyanyaswa na kutumiwa kama vifaa vya visa vya ngono nchini Honduras.
Dina Ekanga anatumia misumari kusimulia hadithi za kiafrika.
Misumari na nyundo kwa Dina zimekuwa nyenzo muhimu katika kusimulia hadithi zilizojaa changamoto, uzuri na upekee wa bara la Afrika, hasa taifa la Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo ambako anatokea. Sanaa ya kipekee inayosimulia hadithi kwa namna ya kipekee.
Wanawake wenye ulemavu wajiunga na mchezo wa mpira wa mikono
Kutana na wanawake hawa wenye ulemavu waliamua kujiingiza kwenye mchezo wa mpira wa mikono na namna wanavyosakata mchezo huo.
UN: Vita vya Gaza vimewaathiri mno wanawake na watoto
Wanawake wengine wanaokadiriwa 8,000 wamekuwa wajane kutokana na vita hivyo kulingana na ripoti yxa Umoja wa Mataifa.
Polisi Australia yachunguza chanzo cha shambulizi la Sydney
Mtuhumiwa aliwauwa watu sita na kuwajeruhi wengine katika shambulizi la kisu kwenye jumba la maduka Australia.
Wasichana watatu wafariki baada ya boti la wahamiaji kuzama
Maafisa wa kikosi hicho cha walinzi wa Pwani wanasema meli tatu za doria zinaendelea kutawatafuta manusura zaidi.
Vatican yafananisha kubadilisha jinsia na kutoa mimba
Vatican ilisema kubadilisha jinsia na kubeba mimba ya watu wengine ni kinyume na ubinaadamu kama utoaji mimba.
Vatican yaendelea kupinga kubadilisha jinsia
Vatican imetangaza hii leo kwamba upasuaji wa kubadilisha jinsia na watu kubeba mimba kwa ajili ya wengine kuwa ni ukiuk
Griffiths: Vita vya Gaza ni "usaliti dhidi ya ubinaadamu"
Watu kwenye Ukanda wa Gaza wanakabiliwa na hali ngumu sasa kutokana na kukosa misada ya kutosa ya kiutu.
Kiongozi wa juu Afghanistan ataka uhusiano mzuri kimataifa
Serikali ya Taliban haijatambuliwa rasmi kimataifa tangu iliporejea madarakani Agosti mwaka 2021.
Wanawake wa Saudia wanavyozidi kuimarika
Nchini Saudi Arabia ambapo wanawake walizuiliwa kushiriki mambo mengi, hivi sasa wanazidi kushiriki kwenye shughuli mbalimbali kutokana na mageuzi yanayofanywa na mamlaka za taifa hilo. Lipi jipya? Tizama video hii fupi.
Mahakama Uganda yapigilia msumari sheria inayopinga LGBTQ
Kulingana na mahakama hiyo, sheria hiyo dhidi ya mashoga inalinda utamaduni na hadhi ya watu wa taifa la Uganda.
Wasichana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Katika sikukuu ya pasaka kumekuwa na changamoto nyingi ambazo huwakuta wasichana pale wanapoenda kujivinjari katika viwanja tofauti tofauti lakini vipi wanaweza kuepukana na hayaWasichana wanavyosherehekea sikukuu ya Pasaka
Saudi Arabia kuongoza kongamano la haki za wanawake
Saudi Arabia ilishika nafasi ya 132 kati ya 146 katika ripoti ya usawa wa kijinsia ya Jukwaa la Kiuchumi la Dunia, 2023.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 21
Ukurasa unaofuatia