You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Allied Democratic Forces
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mashirika yahofia 'maovu makubwa', uchaguzi ujao Uganda
Uchaguzi wa mwaka 2021, upinzani ulieleza kuwa mamia ya wafuasi wao walitoweka au kuuawa.
Mke wa Besigye asema mashitaka ya mumewe ni "uzushi"
Byanyima amesema kwamba hatarajii haki kutolewa kwa kuwa mahakama hiyo ya kijeshi ingali chini ya Rais Yoweri Museveni.
Wahouthi kuishambulia Israel ikiwa itakiuka makubaliano
Wahouthi wamesema wako tayari kutoa msaada wa kijeshi wa Wapalestina ikiwa Israel itakiuka makubaliano hayo.
Makumi wajeruhiwa kufuatia mapigano mashariki mwa DRC
Jeshi la DRC limekuwa likipambana vikali na waasi wa M23.
DRC: Waasi wa ADF waua watu 10 huko Lubero
Eneo la Mashariki mwa Kongo linakabiliwa kwa miongo kadhaa na ghasia za makundi yenye silaha.
Korti ya Kijeshi Uganda kumshtaki Besigye kwa usaliti
Mahakama ya kijeshi imesema inao uwezo wa kusikiliza kesi dhidi ya Besigye na kosa lake linaweza kubeba adhabu ya kifo.
Karua Kumtetea Besigye kwenye mahakama ya kijeshi Uganda
Martha Karua Kumtetea Dkt Kizza Besigye katika mahakama ya kijeshi Uganda.
Muturi: Mwanangu ni muhanga wa utekaji Kenya
Mwanasheria Mkuu wa zamani Kenya, Justin Muturi amesema mwanae ni miongoni mwa waathirika wa vitendo vya utekaji.
Zaidi ya watu 100,000 wakimbia makaazi yao Kivu ya Kaskazini
Kulinga na Umoja wa Mataifa zaidi ya watu 100,000 wamekimbia makazi yao mashariki mwa Kongo tangu kuanza kwa mwaka huu.
Mkutano wa kuboresha kilimo Afrika wafanyika Uganda
Mkutano wa Kilele wa CADDP ulilenga kutoa msukumo kwa ushirikishwaji wa wanawake na vijana.
Kongo yakifungia kituo cha habari cha Al Jazeera
Serikali ya Kongo imekifungia kituo cha televisheni cha Al Jazeera baada ya mahojiano yake na kiongozi wa waasi wa M23.
Jeshi la Kongo latangaza kuuchukuwa tena mji wa Masisi
Wapiganaji "Wazalendo" wanaoungwa mkono na jeshi walichukua udhibiti wa mji muhimu wa Masisi kutoka uthibiti wa M23.
Chad yasema shambulio lililotibuliwa lilifanywa na walevi
Seikali ya Chad yasema shambulio lililotibuliwa katika Ikulu lilifanywa na kundi la watu wasiokuwa na mpango na walevi.
UN: Wasyria wapate haki baada ya Assad kuanguka
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Geir Pedersen amesema Wasyria wanapaswa kupata haki katika wakati huu.
Waasi wa M23 wajaribu kuushambulia mji wa Sake
Taarifa zinasema, jeshi la kongo lilifaulu kuzima jaribio la M23 la kuushambulia mji wa Sake ulioko karibu na Goma.
Korti ya kijeshi Uganda yasikiliza tena kesi ya Besigye
Mmoja wa mawakili wa Besigye Eron Kiiza alikamatwa na kufungw akw amiezi tisa kw amadai ya utovu wa nidhamu.
Waasi wa M23 wa DRC, waudhibiti mji wa kimkakati wa Masisi
Waasi wa M23 waudhibiti mji wa kimkakati wa mashariki ya Kongo
Ruto na Museveni wahimiza ushirikiano barani Afrika
Ruto asema Odinga yupo katika nafasi nzuri ya kutatua baadhi ya changamoto zinazoikabili Afrika.
Uganda kuzindua awamu ya tatu ya utafiti wa mafuta
Hayo yamesemwa na waziri wa nishati na madini Ruth Nankabirwa katika taarifa aliyoitoa jana Alhamisi.
Mashambulizi ya ADF yasababisha vifo vya watu 12 Kongo
Mashambulizi hayo yanatokea baada ya mkururo wa mashambulizi mengine ya ADF wakati wa Krismasi.
Waasi wa ADF wawaua watu 12 mashariki mwa Kongo
Maafisa wa eneo hilo wamesema mashambulizi hayo yametokea usiku wa kuamkia Jumatano na yalilenga maeneo mawili.
Wahuthi wanaendelea kuwa mwiba kwa Israel
Wachambuzi wanasema waasi wa Kihuthi wanasalia kuwa mwiba mchungu kwa Israel licha ya kudhoofisha nguvu ya Tehran kikand
Waasi nchini Kongo waua watu 21 wiki ya Krismasi
Mashambulizi hayo yalifanywa karibu na mji mdogo wa Manguredjipa unaofahamika kwa utajiri wake mkubwa madini.
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka chini silaha
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi
Netanyahu aahidi 'nguvu, dhamira' dhidi ya Wahuthi Yemen
Kombora la masafa marefu la Wahuthi siku ya Jumamosi lilipiga mji wa kibiashara wa Tel Aviv na kuwajeruhi watu 16.
Uganda: Waliokufa maporomoko ya udongo wafikia 40
Mamlaka zs Uganda zimesema vifo vya maporomoko makubwa ya udongo yaliyotokea kiasi wiki tatu zilizopita vimefikia 40
Watu 16 wajeruhiwa Tel Aviv kwa kombora lililotoka Yemen
Watu 16 wamejeruhiwa mjini Tel Aviv nchini Israel kufuatia shambulio la kombora lililorushwa mapema leo kutoka Yemen.
Kundi la waasi Myanmar ladai kukamata kamandi ya jeshi
Kundi la waasi wa kikabila nchini Myanmar limeyakamata makao makuu ya jeshi la nchi hiyo kwenye jimbo la Rakhine.
Ujumbe wa MONUSCO kusalia Kongo kwa mwaka mmoja
MONUSCO tayari imekamilisha mchakato wa kuondoka huko Kivu Kusini baada ya kufunga ofisi yake mwishoni mwa Juni.
Waasi wa M23 wauteka mji wa Alimbongo mashariki mwa Kongo
Wakati huohuo serikali ya Kongo yaitaka jamii ya kimataifa kuikemea Rwanda isitishe uungaji mkono wake kwa waasi wa M23.
Kiongozi wa Syria asema makundi ya waasi "yatavunjwa"
Kiongozi mpya wa Syria amesema makundi yote ya waasi nchini humo yatavunjwa na kuwekwa chini ya wizara ya ulinzi.
Ongezeko la maambukizi ya Kaswende
Jielimishe namna ya kujieupusha, kujikinga na madhara ya ugonjwa wa Kaswende.
Kaya 5,000 zahamishwa kutoka eneo la maporomoko Uganda
Maporomoko ya ardhi yaliyosababishwa na mvua kubwa mwishoni mwa mwezi Novemba yalisababisha vifo vya karibu watu 36.
Serikali ulimwenguni zawasiliana na watawala wapya wa Syria
Serikali mbali mbali za ulimwengu zimeongeza juhudi za kuanzisha mawasiliano na watawala wapya wa Syria.
EU kutuma mjumbe kuzungumza na viongozi wapya wa Syria
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amesema mjumbe wao kuzungumza na watawala wapya wa Syria.
Mazungumzo ya amani kati ya Kongo na Rwanda yashindikana
Waasi wa M23 wamelishikilia eneo kubwa la mashariki mwa Kongo na kufanya mashambulizi ya mara kwa mara.
Marekani yakiri kuwasiliana moja kwa moja na Syria
Kundi hilo la waasi la HTS lilichukua madaraka baada ya kumuangusha Rais Bashar al-Assad siku chache zilizopita.
14.12.2024: Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
14.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Marais Tshisekedi, Kagame kufanya mazungumzo ya amani Angola
Rais Felix Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame wanatarajiwa kukutana Jumapili nchini Angola kwa mazungumzo.
Blinken amwambia Erdogan "raia wa Syria wanahitaji kulindwa"
Blinken amemwambia Erdogan kwamba raia wa Syria wapaswa kulindwa baada ya waasi kuipindua serikali ya Bashar al-Assad.
kwa 'ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu'
Mashirika yasio ya kiserikali yaushutumu mradi wa mafuta wa Uganda kwa 'ukiukaji mkubwa wa haki za binadamu'.
13.12.2024 : Matangazo ya asubuhi
Sikiliza matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili
13.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Blinken asema raia wa Syria wanahitaji kulindwa
Mataifa mbali mbali yatangaza kufungua tena balozi zao mjini Damascus.
Tshisekedi: Rwanda imepeleka raia wake maeneo ya M23
Rais wa Kongo, Félix Tshisekedi, amesema Rwanda imepeleka raia wake kwenye maeneo yaliyotekwa na waasi wa M23.
12.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za Ulimwengu kutoka idhaa ya Kiswhaili ya DW
Marufuku ya kutotoka nje yaondolewa mjini Damascus, Syria
Qatar imesema itafungua tena ubalozi wake nchini Syria baada ya zaidi ya miaka 13.
Besigye kubakia korokoroni hadi mwaka ujao
Mwanasiasa maarufu nchini Uganda Daktari Kizza Besigye, atabaki gerezani hadi mwaka ujao.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 56
Ukurasa unaofuatia