You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
G20: Mkutano wa kilele kujadili mazingira na Covid-19
Mkutano wa kilele wa G20 wafanyika Roma, ukighubikwa na masuala ya mazingira na mgogoro wa Covid-19.
G20: Mkutano wa kilele kujadili mazingira na Covid-19
Mkutano wa kilele wa G20 wafanyika Roma, ukighubikwa na masuala ya mazingira na mgogoro wa Covid-19.
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 24.09.2021
Matangazo ya asubuhi ya DW Kiswahili: 24.09.2021
Janga la corona halikupunguza athari za mabadiliko ya tabia nchi
Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeonya kuwa janga la COVID-19 halijapunguza kasi ya mabadiliko ya tabia nchi ulimwenguni. Kwenye makala hii ya Mtu na Mazingira Saleh Mwanamilongo anaangazia kwa nini viongozi duniani bado hawajapunguza kwa kiasi kikubwa uzalishaji wa gesi chafu na kufikia malengo ya mkataba wa Paris wa mwaka 2015?
Tamasha la kuwapa tembo majina katika nchini Kenya
Makala ya mazingira hii leo inajikita kwenye juhudi za kuwahifadhi ndovu mbugani Amboseli na pia kuwapa majina ikiwa ni kwa mara ya kwanza katika historia, Kenya imezindua tamasha la kuwapa tembo majina.
Upungufu wa nishati wazusha hofu ya umaskini wa mafuta Ulaya
Kupanda kwa bei za nishati duniani kunasababisha ongezeko kubwa za bili za upashaji joto.
Joto kali na ukuaji wa miji, vinanatishia maisha ya mijini
Joto kali linalosababishwa na ukuaji wa miji, linatishia maisha ya mijini kulingana na utafiti mpya.
China na Marekani zatoa ahadi mpya za kukabili joto duniani.
Ahadi hizo ni habari njema kwa maandalizi ya mkutano wa kilele kuhusu mazingira ya COP 26 utakaofanyika Novemba.
Matokeo ya sensa ya wanyama pori Kenya
Idadi ya tembo nchini Kenya imeongezeka lakini simba wanapungua huku duma wakiwa katika hatari ya kuangamia. Kwenye orodha ya mataifa ya Afrika yaliyo na ndovu wengi zaidi, Kenya ni ya nne baada ya Zimbabwe, Botswana na Tanzania kuipiku. Kwenye makala ya Mtu na Mazingira, Thelma Mwadzaya anaangazia sensa ya kwanza ya kitaifa kuwahi kufanywa ya wanyama nchini Kenya.
Guterres azirai Marekani na China kurekebisha mahusiano yao
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amezirai China na Marekani kurekebisha mahusiano yao yanayolegalega.
Wawaziri wa mazingira wakikubaliana mpango wa uwekezaji
Mawaziri wa mazingira wakikubaliana kuwa na mpango wa kuongeza uwekezaji na kulipa kipao mbele swala la mazingira.
Mafuriko yauwa zaidi ya watu 80 Sudan
Umoja wa Mataifa umekadiria kwamba mvua kubwa na mafuriko yamewaathiri kiasi watu 102,000 tangu mwezi Julai.
China: mivutano inaharibu juhudi za mabadiliko ya tabianchi
China imeionya Marekani kwamba mivutano yao ya kisiasa inarudisha nyuma juhudi za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
Mtu na Mazingira : Viongozi watakiwa kuchukua uamuzi haraka kupunguza gesi chafu
Ripoti mpya ya jopo la wataalamu wa mabadiliko ya tabia nchi IPCC inaelezea wasiwasi juu ya ongezeko la majanga katika sehemu mbalimbali duniani yanayotokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi , na kutahadharisha viongozi wa ulimwengu kufanya uamuzi wa haraka wa kupunguza uzalishaji wa gesi chafu. Kupitia DW-Bonn, msimulizi wako ni mimi Saleh Mwanamilongo.
Dunia yashindwa kudhibiti uzalishaji gesi chafu
IPCC imesema matukio ya moto, ukame na mvua kubwa yametokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
Gharika zinatokana na athari za mabadiliko ya tabia nchi
Viwango vya joto duniani vimeongezeka kwa karibu nyuzi joto 1.1 katika kipimo cha Celsius.
Mtu na Mazingira - Taka za Plastiki kambini Kakuma
Makala ya Mtu na Mazingira inatizama juhudi za kusafisha ardhi iliyojaa taka za plastiki katika kambi ya Kakuma.
Bundesliga: Vijana 10 wa kuwatazama msimu huu
Bundesliga ina vipaji vya kufurahisha zaidi katika mpira wa miguu ulimwenguni - hapa kuna 10 wa kuwatazama msimu huu
Maelfu wazikimbia nyumba zao kuepuka moto wa msituni Ugiriki
Moto wa msituni umeendelea kuleta sokomoko Ugiriki na katika mataifa mengine kadhaa ya kusini mashariki mwa Ulaya
Utunzaji mazingira: Waokotaji taka Dakar
Nchini Senegal maelfu ya waokota taka wanapekuwa jaa kubwa zaidi ulimwenguni wakitafuta taka wanazoweza kuziuza.
Wanasayansi wazungumzia dharura ya kudhibiti tabianchi
Wanasayansi hao wamesema serikali zimeshindwa kutekeleza wajibu wao wa kupambana na sababu za mabadiliko ya tabia nchi.
Maoni:Mashamba madogo ndiyo mustakabali wa mifumo ya chakula
Wakulima wadogo wanaweza kutoa mchango mkubwa katika kujenga mifumo endelevu ya chakula. Lakini uwekezaji ni muhimu.
China yakosoa mpango wa kodi ya kaboni ya Umoja wa Ulaya
China inasema Umoja wa Ulaya unataka kuyageuza masuala ya mazingira kuwa biashara.
Faida za Mikoko katika kuzuia majanga ya asili
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia faida za upandaji wa mikoko kuzuia majanga ya kiasili maeneo ya ukanda wa bahari.
Vifo kutokana na mafuriko Ulaya vyapindukia 150
Zaidi ya watu 130 wamefariki magharibi mwa Ujerumani huku wafanyakazi wa dharura wakiendelea na uokoaji na ukarabati.
Vifo vinavyotokana na mafuriko Ulaya vyaongezeka
Mafuriko ya Ulaya: Hasara na vifo vya watu vyaongezeka
Uhifadhi wa mbega Kenya
Mbega ni wanyama ambao kupatikana kwao ni nadra na pia wako katika hatari ya kuangamia
Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujerumani
Mvua kubwa na mafuriko yasababisha maafa nchini Ujeruamni
Je wewe huhisi au husikia joto/baridi?
Hili swali ni kwako, hebu jaribu kulijibu kabla kutizama majibu ya wengine kwenye vidio. Je wewe huhisi au husikia joto au baridi?
Watu kadhaa wafa kutokana na joto kali Marekani na Canada
Wimbi hilo la joto limeendelea kuikumba Canada tangu ijumaa iliyopita
Juhudi za vijana wa Kibra kuusafisha Mto Nairobi
Mto wa Nairobi umechafuka. Hata hivyo vijana wa eneo la Kibra ambako mto huo unapitia wameamua kuusafisha ili kuunusuru. Juhudi zao zimetambulika baada ya mmoja wao kwa ushirikiano na wenzake kutunukiwa tuzo ya mwanamuziki bora zaidi. Makala ya mazingira inaangazia juhudi za vijana wa Kibra kuusafisha Mto Nairobi.
KURUNZI AFYA: Ukosefu wa usalama kazini
Afya ya Ali Ramadhani imepuuziwa sana na waajiri wake baada ya kupata ajali akiwa kazini.
Uharibifu wa msitu wa mvua wa Kongo
Kwenye makala ya Mtu na Mazingira tunaangazia uharibifu wa msitu wa mvua wa Kongo na tuhuma dhidi ya makampuni ya kimataifa. Kupitia DW anayekukaribisha ni mimi Saleh Mwanamilongo.
Maandamano Berlin dhidi ya magari binafsi mjini na mitaani
Wanaharakati waandamana mjini Berlin kupinga kile wanachosema kuwa uwepo wa magari mengi mitaani na hivyo huchukua nafasi kubwa yanapoegeshwa na kuwanyima watoto maeneo ya kucheza na shughuli nyinginezo za kijamii. Mengi zaidi ni katika video hii ya Kurunzi Ujerumani
Uhuishwaji wa Ikolojia katika mto Rufiji nchini Tanzania
Jitihada za kulinda na kutunza baianowai inayopatikana katika mto Rufiji huku shughuli za kiuchumi zikiendelea kama vile kilimo cha umwagiliaji zinaufanya mto huu kuwa wa kipekee kwa kuwa na miradi mbalimbali ya kutunza mazingira ikiwemo ile ya upandaji miti kando ya mto.
Cologne yajinoa kwa msimu mpya
Mchezaji wa timu ya taifa ya Ubelgiji Kevin De Bruyne huenda akakosa mashindano ya EURO 2020 yanayoanza mwezi ujao.
Mtu na Mazingira: Ongezeko la kina cha maji Ziwa Tanganyika
Makala ya Mtu na Mazingira inamulika athari za kuongezeka kwa kina cha maji cha Ziwa Tanganyika huko Tanzania.
Makala zetu 23.05.2021
Sikiliza makala kemkem tulizokuandalia
Yajue mambo ya kushangaza kuhusu miti
Miti ni muhimu kwa maisha – inatunza mfumo wa ikolojia na kusafisha hewa. Lakini unajuwa kuwa inaweza pia ‘kuwasiliana’?
Didavi kubaki Stuttgart msimu ujao
Didavi amekulia katika mfumo wa kandanda wa Stuttgart tangu akiwa mdogo kupitia timu ya vijana
Mkenya akamatwa baada ya kuikosoa Qatar
Qatar yadai uchunguzi unafanyika kubaini tuhuma zinazomuhusisha na ukiukaji sheria za usalama za nchi
Ukuzaji wa miti na mazao mengine kaunti ya Trans-Nzoia
Ungana na Bernard Maranga katika makala ya Mtu na Mazingira kuangazia umuhimu wa ukuzaji miti pamoja na mazao mengine.
Atletico waguchia kuelekea mwishoni mwa msimu
Atletico Madrid wanazidi kuteteleka katika azma yao ya kutaka kuwa mabingwa wa La Liga. miamba hao walifungwa na Athleti
Kimbunga "Jobo" kupiga Pwani ya Tanzania na Zanzibar
Dar es Salaam, Tanga na Zanzibar ni miongoni mwa sehemu zinazotarajiwa kupata athari za kimbunga Jobo
Schalke kuamua iwapo itamaliza mechi za msimu huu
Wachezaji wa Schalke 04 wanaweza kujiamulia ikiwa bado wanataka kucheza katika mechi za mwisho za Bundesliga
Biden aupokea mwito wa mazingira wa Putin
Rais Joe Biden ameitisha mkutano wa kilele wa siku mbili ili kutangaza kwamba Marekani imerejea kwenye mkataba wa Paris.
Marekani kupunguza kwa nusu kiwango cha gesi chafu
Rais wa Marekani Joe Biden ameahidi kupunguza hadi nusu, kiwango cha gesi chafu kinachozalishwa na nchi yake ifikiapo mw
Macho yote kwenye mkutano wa kilele wa mazingira duniani
Rais wa Marekani Joe Biden ataihutubia dunia kuhusu mazingira Alhamis wakati atakapo zindua dhamira ya Marekani katika m
Umoja wa Ulaya wafikia makubaliano muhimu juu ya tabia nchi
Marekani na China zakusudia kutangaza malengo yao mapya juu ya hatua za kupunguza gesi zinazoharibu mazingira.
Juhudi za utunzaji wa bwawa la Kilombero
Juhudi mbalimbali zimekuwa zikifanyika katika kulitunza bwawa la Kilombero huko nchini Tanzania. Kwenye makala hii ya Mtu na mazingira utasikia mengi kuhusu juhudi hizo. Sikiliza hapa.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 13 wa 27
Ukurasa unaofuatia