You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Hifadhi misitu, hifadhi wanyama pori nchini Uganda
Uhifadhi wa wanyamapori unazidi kuwa changamoto kubwa nchini Uganda hasa pale shughuli za binadamu zinavyozidi kusababisha kutoweka kwa pori na misitu ambayo ni maskani ya aina mbalimbali za wanyama.
Boateng kuondoka Bayern mwishoni mwa msimu
David Alaba pia anaondoka Bayern Munich mwishoni mwa msimu huu
Rais Samia: Tuweke mazingira mazuri kwa wawekezaji
Rais Samia ataka watendaji kuhakikisha wanaondoa urasimu katika mchakato wa kutolewa kwa vibali vya kazi kwa wawekezaji
Samani na mapambo kutokana na matairi makuukuu
Kwa kutumia taka mbalimbali ambazo zingedhuru mazingira, Josephine na kundi lake la wanawake bila shaka wanatoa mchango mwingine katika kuboresha mazingira. Kutokana na matairi makuukuu na taka nyinginezo wanatengeneza mapambo, samani na vitu vingine. Lubega Emmanuel anasimulia zaidi kwenye #Kurunzi
Juhudi za kuhifadhi vyanzo vya maji Morogoro
Mkoa wa Morogoro hutegemea mito kama vyanzo vikuu vya maji lakini mara nyingi kumekuwa kukiripotiwa uharibifu wa vyanzo hivyo.
Kampeni ya upandaji miti mkoani Dodoma
Kampeni ya upandaji miti inayolenga kukabiliana na tatizo la uchafuzi wa Mazingira na mabadiliko ya tabia ya nchi katika vijiji kadhaa mkoani Dodoma.
Shaban: Serikali inajitolea kuboresha mazingira ya biashara
Waziri wa biashara na viwanda Zanzibar Omar Said Shaban anasema amechukua mikoba ya wizara hiyo katika wakati ambapo utawala umeonyesha maono makubwa ya biashara. Katika mahojiano na Mohammed Khelef, waziri Shaban anaeleza faraja yake ya kuongoza wizara hiyo na kuahidi kujitolea kwake kuhakikisha ufanisi wa wizara hiyo muhimu.
Wahanga wa radi Nakuru, Kenya
Visa vya watu kupigwa na radi na kufariki eneo la Bonde la Ufa huko Kenya, vimekuwa vikiongezeka kwa muda sasa. Mwandishi wa DW Wakio Mbogho amelivalia njuga suala hilo na hapa anawaangazia wahanga wa mikasa hiyo ya kupigwa na radi katika makala ya Mbiu ya Mnyonge.
Joto la kiasa linaendelea kughubika Warepublican
Warepublican watalazimika kwenda kwenye rekodi, kumtetea au kumkemea Mwakilishi Marjorie Taylor Greene.
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Dunia inahitaji hatua thabiti za kulinda mazingira
Xi Jinping aonya dhidi ya kuanzisha Vita vipya Baridi
Rais wa China, Xi Jinping ametahadharisha kuhusu kile alichokiita kuwa ni mwanzo wa vita vipya baridi.
Biden ayafuta maagizo ya Trump juu ya mazingira na uhamiaji
Rais Biden ameyasaini maagizo ya kiutendaji yanayopinduwa yaliyokuwa yamewekwa na mtangulizi wake Donald Trump.
Ajali ya ndege Indonesia: Sehemu za miili zaopolewa baharini
Ndege hiyo ilitoka kwenye uwanja wa ndege wa Jakarta kuelekea Pontianak mji ulio katika kisiwa cha Borneo.
Kunusuru mazingira kutumia kipande cha sabuni
Mwekezaji na mwanaharakati wa mazingira kutoka Cape Verde Carlos Silva anataka kusaidia katika utunzaji wa mazingira kwa kutengeneza bidhaa za mapambo zisizokuwa na kemikali wala vihifadhi visivyo vya asilia
Bei ya unga wa chapati yapanda Kenya msimu wa Krismasi
Mwaka huu wakenya watalazimika kutumia hela nyingi zaidi kununua unga wa ngano ambao umepanda bei. Kwa nini bei imepanda? Thelma mWadzaya anajibu hilo pamoja na mengine mengi.
Mitizamo ya vijana kuhusu sherehe za Krismasi na Mwaka Mpya?
Msimu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya umewadia na maswali tunayokuuliza ewe kijana je wewe umejipanga vipi kwenye sherehe kwa manufaa yako na ya wengine? Wapo wanaotumia fedha nyingi katika sherehe wakasahau kuwa baadaye watahitajika kugharamia mambo mengine kama karo ya shule kwa wanafunzi. Wengine hujiingiza katika anasa. Lakini wapo wengi wanaosherehekea kwa ustaarabu.
Wauzaji wa miche wanavyochangia kutunza mazingira
Mtu na Mazingira inaangazia mchango wa wauza miche katika suala la kuhifadhi mazingira nchini Kenya.
Guterres aonya kuhusu ongezeko la joto duniani
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameikosoa jamii kwa kushindwa kupambana na ongezeko la joto duniani.
Makala zetu 29.11.2020
Sikiliza baadhi ya makala tuliyokuandalia
Uokozi wa rasilmali ya maji katika ziwa Nakuru
Maziwa na mito mbalimbali inaendelea kuathirika kutokana na uchafuzi na changamoto nyinginezo za kimazingira. Katika makala ya Mtu na Mazingira, Wakio Mbogo anaangazia juhudi za kuokoa pwani ya za maziwa ya Baringo, Bogoria, 94, Nakuru, Elementaita na Naivasha ambazo zinapoteza taswira zao nzuri, kutokana na changamoto ya kimazingira inayotishia makaazi pamoja na mazingira.
KiulizoTime: Mawazo ya vijana wakati wa mvua ni yapi?
Je wakati wa misimu ya mvua, vijana mjini Dar Es Salaam huwaza kuhusu nini? Ndilo swali la Masanja Mkandamizaji leo kwenye DW Kiulizo Time. Hebu tazama
Magari yaliotumika yanaathiri mazingira Afrika
Magari yaliotumika yanachafua hali ya hewa katika mataifa yanayoendelea
Ripoti: Vichanga nusu milioni wafa kwa uchafuzi wa hewa 2019
Kiini cha uchafuzi huo kwa kiasi kikubwa kinatokana na moshi wenye sumu wa aina fulani ya mafuta ya kupikia.
Wahudumu wa afya Nakuru walalamikia mazingira duni ya kazi
Wahudumu wanalalamikia wagonjwa wa COVID 19 kuchanganywa na wagonjwa wengine na kutozingatiwa maslahi yao.
Schalke na FC Kolon zapata pointi mara ya kwanza msimu huu
Bayern na Borussia Dortmund zafukuzana
Mvua kubwa zatatiza shughuli nyingi jijini Dar es salaam
Watu wakwama barabarani kwa saa saba
Tamasha la teknolojia za kijani mjini Berlin
Makala ya Sura ya Ujerumani safari hii inaangazia tamasha la teknolojia za kijani ambapo bidhaa mbalimbali zinazozingatia utunzaji wa mazingira huonyeshwa mjini Berlin. Harrison Mwilima anakujuza mengi zaidi. Sikiliza
Vijana washiriki maadamano siku ya mazingira duniani
Maandamano hayo ''Ijumaa kwa ajili ya mustakabali'' ni ya kwanza kufanyika tangu ulimengu kukumbwa na COVID-19
Real Madrid yaanza msimu na sare tasa
Vijana hao wa kocha Zinedine Zidane walitoka sare ya 0 - 0 na Real Sociedad katika mechi ya ufunguzi wa msimu
Oxfam: Matajiri wachache wanachafua mazingira
Oxfam: Matajiri wachache wanaathiri masikini kwa uchafuzi wa hali ya hewa
Bayern yaikaanga Schalke 8 - 0 katika ufunguzi wa msimu
Serge Gnabry alifunga hat trick wakati Leroy Sane akifunga bao katika mechi yake ya kwanza ndani ya jezi ya Bayern
Joto la uchaguzi Marekani lashika kasi
Rais wa Marekani Donald Trump anaendelea kukabiliwa na shutuma za kutoyashughilikia masuala kadhaa ya taifa hilo.
Bayern Munich yafungua msimu bila mashabiki
Bayern wanakaribisha Schalke leo Ijumaa Septemba 18 dimbani Allianz Arena bila mashabiki uwanjani
Bayern yajiandaa kwa msimu mgumu Bundesliga
Katika siku kumi kocha wa timu hiyo Hansi Flick lazima awe na kikosi imara
Messi kubaki Barcelona kwa msimu mwingine
Nani ndiye mshindi katika sakata hilo la Lionel Messi na klabu yake ya Barcelona? Sikiliza mahojiano na Josephat Charo
Msimu mpya wa ligi ya Bundesliga Septemba 18
Katika ligi ya kombe la Ulaya, Europa league, Klabu ya Ujerumani ya Bayer Leverkusen imetinga robo fainali.
Mpango wa Kazi Mtaani nchini Kenya kunadhifisha miji
Idadi kubwa ya watu barani Afrika, imechangia uchafuzi wa Mazingira kutokana na utupaji wa taka kiholela mijini na hata vijiijini. Lakini nchini Kenya, yapo matumaini kuwa hali hiyo itabadilika. Hii ni kutokana na hatua ya serikali ya Kenya kutangaza mpango uitwao KAZI MTAANI, wa ajira kwa vijana kunadhifisha mazingira ya miji. Mengi zaidi na Michael Kwena kwenye makala ya Mtu na Mazingira.
Maoni: Trump aongeza joto kwa kupendekeza kusogeza uchaguzi
Lakini kama anavyosema mwandishi wa DW Ines Pohl, pendekezo la Trump kuchelewesha uchaguzi ni mkakati hatari.
Afungwa miaka 11 kwa kumuua sokwe Uganda
Sokwe huyo aliyeitwa Rafiki na aliyekuwa kiongozi, alitoweka na siku tatu baadaye mzoga wake ulipatikana.
Mazingira ya siasa yabuni nafasi za ajira Tanzania
Wanamitindo, wabunifu na washonaji nguo ni miongoni tu mwa wale wanaonufaika kutokana na mazingira ya siasa nchini Tanzania kwa kushona sare za kisiasa. Kwenye Kurunzi, Ahmad Juma anaangazia juhudi za washonaji nguo na namna ambavyo soko la bidhaa zao limetanuka kutokana na mazingira ya siasa.
Man city sasa kushiriki Champions League msimu ujao
Mahakama ya usuluhishi wa mizozo ya michezo imeikubali rufaa ya Manchester City dhidi ya marufuku ya UEFA
Joto la siasa lazidi Tanzania
Joto la kisiasa katika mikoa ya kanda ya kaskazini mwa Tanzania linaendelea kupamba moto wakati ambapo wanasiasa wanaota
Hertha, yapania kurejea kwa kishindo msimu ujao
Klabu ya kandanda ya Hertha Berlin inalenga kurejea katika kandanda la Ulaya kwa kufanya vyema katika ligi kuu ya soka y
Joto la Uchaguzi Mkuu lapanda nchini Tanzania
Mbio za kuwania urais katika uchaguzi mkuu nchini Tanzania zimeshika kasi baada ya makada zaidi wa CHADEMA kuchukua fomu
Msimu wa kushangaza na mabingwa wa kawai
Kinyang'anyiro cha kuwania Champions League na vita vya kuepuka kushushwa ngazi viliuchangamsha msimu wa Bunsdesliga
Dortmund wamaliza msimu katika nafasi ya pili
Borussia Dortmund walipata ushndi wa 2 - 0 dhidi ya RB Leipzig ambao wapo katika nafasi ya tatu
UEFA kuamua kuhusu mashindano ya msimu huu
Fainali ya Champions League awali ilipangwa kuchezwa mjini Instabul, Uturuki na Europa League kuchezwa Gdansk, Poland
Ufugaji vipepeo Tanzania
Zaidi ya kaya kumi zimeachana na ukataji miti na kilimo hatarishi kwa mazingiara na kuingia katika ufugaji wa vipepeo na kusafirisha nje ya nchi ambako soko lipo kwa wingi
Ethiopia yadhamiria kupanda idadi kubwa ya miti
Waziri Mkuu Abiy Ahmed bado amedhamiria kufikia lengo la mwaka huu la kupanda miti bilioni 5.
Tanzania: Kitisho cha maambukizi Ilala kutokana na uchafuzi wa mazingira
Wakaazi wa mtaa wa Mji Mpya wilaya ya Ilala nchini Tanzania wameelezea wasiwasi wao wa uwezekano wa kuambukizwa maradhi mbalimbali kutokana na maji taka kutapakaa katika mtaa wao. Wanataka hatua zichukuliwe ili kuwaepusha na tatizo hilo. Ahmad Juma anasimulia zaidi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 27
Ukurasa unaofuatia