You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Nani ataizuia Bayern Munich msimu huu?
Nani ataweza kuizuwia Bayern Munich msimu huu, hilo ni swali ambalo timu nyingine katika Bundesliga zinapaswa kulijibu. Jambo ambalo liko wazi ni kuwa, Guardiola atakuwa na mbinyo
Msimu mpya wa soka Ulaya kung'oa nanga
Msimu mpya wa kabumbu la bara la Ulaya unakaribia kuanza. Nchini Ujerumani dimba limeanza rasmi, kwa mechi za duru ya kwanza ya kombe la Shirikisho.
Serikali mpya ya Italia magazetini
Serikali mpya nchini Italia,mkutano mkuu wa chama cha walinzi wa mazingira na mtindo wa kupendeleana miongoni mwa baadhi ya wanachama wa chama cha CSU ni miongoni mwa mada zilizochambuliwa
Kudorora kwa matokeo kwapandisha joto la Wakenya
Huku Wakenya wakiendelea kusubiri kwa hamu kubwa matokeo ya urais tangu wapige kura siku ya Jumatatu, wasiwasi mkubwa uliojitokeza ni jinsi matokeo hayo yanavyotolewa kwa mwendo wa kinyonga.
Dhoruba ya theluji yaikumba Marekani
Dhoruba kali ya theluji imeshambulia kaskazini-mashariki mwa Marekani siku ya Ijumaa, na kuvuruga usafiri na kupelekea magava watano wa majimbo kutangaza hali ya dharura.
Hatari ya takataka za sumu Kenya
Umuhimu wa suala la usafi wa mazingira unatiliwa mkazo sana kwa ajili ya mwanaadamu kupata eneo salama la kuishi kwenye sayari ya dunia, lakini ongezeko la kemikali na takataka za sumu mashariki ya Afrika linatia shaka.
Mamia wafa kwa baridi Urusi
Idadi ya waliofariki kutokana na baridi kali nchini Urusi imefikia 128 katika siku kumi zilizopita huku taarifa zaidi zikisema watu wengine 900 wamepelekwa hospitali kutibiwa kwa kuathiriwa na baridi hiyo.
Misitu sehemu ya maisha inayotoweka
Kila sehemu ya Tanzania wakulima wanahangaika kuliko ilivyowahi kutokea, wakishindana na mabadiliko ya hali ya hewa ili kulinda riziki zao na usalama wa chakula, lakini huenda wasipate wasifaulu na kuidhibiti hali hiyo.
Matumaini yakoje katika kutano wa tabia nchi mjini Doha?
Mkutano wa 18 wa kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi umefunguliwa mjini Doha, bila ya kuwepo matumaini ya kufikiwa makubaliano ya kupunguza moshi wa viwandani.
Bayern yaonywa kujipiga kifua, msimu bado mbichi
Afisa Mkuu Mtendaji wa klabu ya Bayern Munich, Karl-Heinz Rummenige, ameonya kuwa mwanzo mzuri wa klabu hiyo haufai kuviingia vichwani au wakumbwe na kitisho cha kurudia masihara ya msimu uliopita.
Kitisho cha wanaostaafu kuishi maisha duni
Kitisho cha watu kuangukia katika hali ya umaskini wanapostaafu,Kishindo kinachowakabili walinzi wa mazingira katika kuwateuwa watakaewaongoza katika uchaguzi mkuu mwakani ndizo mada kuu magazetini hii leo
Msimu wa 50 Bundesliga waaza rasmi
Marco Reus alipachika bao wakati akiichezea kwa mara ya kwanza mabingwa Borussia Dortmund katika Bundesliga, wakati msimu wa 50 wa ligi hiyo ulipofunguliwa rasmi kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Werder Bremen.
Msimu wa 50 wa Bundesliga kuanza
Mabingwa Borussia Dortmund na Werder Bremen watafungua msimu wa 50 wa ligi kuu ya Ujerumani Bundeslifa Ijumaa (24.08.20012), ikiwa ni miaka 49 baada ya timu hizo mbili kukutana katika siku hiyo ya Agosti 24 mwaka 1963.
Unyakuzi wa ardhi wajadiliwa Rio + 20
Mkutano wa kimataifa wa mazingira wa Rio + 20 unaendelea mjini Rio de Janeiro, Brazil. Miongoni mwa mada zinazozungumziwa kwa kina na wawakilishi wa nchi za Afrika na mashirika yasiyo ya kiserikali ni unyakuzi wa ardhi.
Mkutano wa Rio+20 waanza
Wanachama wa Umoja wa Mataifa katika mkesha wa Mkutano wa Kilele wa Maendeleo Endelevu unaofanyika Rio de Janeiro nchini Brazil wameunga mkono mpango wa kutunza mazingira na kujenga uchumi utakaozingatia mazingira.
Maisha ya mapambano katika viwanda vya chuma Tanzania
Viwanda vinavyotengeneza bidhaa za chuma nchini Tanzania vinavyoongoza kwa mazingira duni ya kazi, vikiwa havina vifaa vya kujikinga na majanga licha ya mazingira hatari yanayoambatana na shughuli hiyo.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani Röttgen atimuliwa
Kansela Angela Merkel amemwachisha kazi Waziri wake wa mazingira Nobert Röttgen siku chake baada ya Waziri huyo kushindwa katika uchaguzi wa Bunge katika jimbo la Northrhine Westphalia.
Uchumi na mazingira
Unapata taswira kamili jinsi maisha ya kawaida kila siku yanavyoathiri au kuathiriwa na sehemu nyingine za ulimwengu.
Mvua kubwa zanyesha visiwani Comoro
Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha katika visiwa vya Comoro kwa karibu wiki nzima, zimesababisha uharibifu mkubwa ikiwa ni pamoja na miundo mbinu.
Kutumia sheria kuhifadhi mazingira
Sheria ni sehemu muhimu ya ulinzi wa mazingira, maana panapokuwa na tafauti za madaraka, nguvu na ushawishi baina ya matabaka ya kijamii, ni sheria pekee ndiyo inayoweza kusimama kuyatetea mazingira.
Raul kuihama Schalke mwisho wa msimu
Klabu ya Schalke 04 imesema kuwa mshambuliaji wake Raul anatarajiwa kuondoka klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu wakati mkataba wake utakapokamilika.
Uchafu bado kikwazo miji ya Afrika Mashariki
Moja ya changamoto kubwa zinazoikabili miji katika kanda ya Afrika Mashariki, ni uchafuzi wa mazingira, hasa kutokana kushindwa kusimamia kwa ufanisi suala zima la usafi.
Sasa baiolojia-anwai ndiyo njia ya mazingira
Kanuni kubwa ya mazingira ni kwamba pana uhusiano wa kutegemeana kat ya mwanadaamu na viumbe vilivyomzunguka, wakiwamo wanyama na mimea na kwamba ili mwanaadamu aendelee kubakia salama, lazima hivyo navyo viwe salama.
Vijana, mazingira na dunia ya kesho
Uchafuzi wa mazingira unatishia sio tu usalama wa afya kwa wakati tulionao, bali pia mustakabali wa sayari ya dunia kwa miaka ijayo, ambapo kizazi kijacho kitajikuta kimekosa mahala salama pa kuendeshea maisha yao.
Taasisi zisizo za kiserikali zina dhima kubwa
Baridi kali yaua zaidi ya watu 160 Ulaya
Baridi iliyoleta kizaazaa barani Ulaya imekwishaua watu 164, huku watu wanaoishi katika nchi za Ukraine na Italia wakiwa katika shida kubwa ya kukabiliana na viwango vya baridi ambavyo vimevunja rekodi barani Ulaya.
Baada ya Durban, dunia itarajie nini?
Mwaka 2011 utakumbukwa kwa mengi, ukiwemo mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na mabadiliko ya hali ya hewa ulimwenguni uliofanyika mjini Durban, Afrika Kusini, ingawa bado suali linabakia pale pale: nini kinafuatia?
Mafuriko nchini Tanzania baada ya mvua kubwa kunyesha
Jiji la Dar es salaam nchini Tanzania limekumbwa na mafuriko na uharibifu mkubwa kutokana na mvua kubwa inayoendelea kunyesha.
Bayern Munich yaongoza Bundesliga katika nusu ya kwanza ya msimu
Wakati ligi ya Ujerumani ikiingia katika mapumziko ya majira ya baridi kwa michezo ya leo ya wiki ya 17 katika Bundesliga , Bayern Munich yatawazwa mabingwa wa nusu msimu.
Mkutano wa Mazingira mjini Durban wamalizika kwa mafanikio
Mkutano mrefu kabisa wa mabadiliko ya tabia nchi kuwahi kushuhudiwa umemalizika jana mjini Durban kwa kupatikana makubaliano juu ya mkataba mpya kuhusu utoaji gesi chafu zinazoharibu mazingira.
Dalili njema zaibuka kwenye mkutano wa Mazingira wa Durban
Wakati mazungumzo ya Jukwaa la Mataifa 194 juu ya Mabadiliko ya tabia nchi (UNFCC) yakiingia siku yake ya pili mjini Durban, kuna dalili ya hatua za kupunguza athari za gesi chafu kutoka sekta ya usafiri wa baharini.
Msimu wa Karneval wafunguliwa leo
Leo hapa Ujerumani, hususan katika mkoa huu wa North Rhein Westephalia, kunaanza sherehe za Karneval ambazo tuseme ni kama kuikaribisha baridi.
Taa za jua zapunguza makali ya umasikini Kenya
Ingawa tatizo la upatikanaji wa nishati ya kudumu ni sugu barani Afrika, wakaazi wa mitaa ya mabanda jijini Nairobi, Kenya, wamefanikiwa kugundua njia rahisi, nyepesi na ya kudumu ya kujipatia umeme wa kuzalisha mwangaza
Msimu mpya wa ligi ya Ujerumani
Timu bingwa Borussia Dortmund inapania kulitetea taji hilo, huku timu kuu Ujerumani, Bayern Munich baada ya matokeo duni msimu uliokwisha, imeahidi kutolegeza kamba mara hii
Ufisadi wachangia uharibifu wa mazingira duniani
Shirika la Kimataifa la Kupiga Vita Rushwa, Transparency International, limeonya kupitia ripoti yake ya mwaka, kuwa rushwa na ufisadi unazidhoofisha juhudi za dunia za kupambana na mabadiliko ya tabianchi.
"Mazungumzo kuhusiana na mazingira hayafiki popote"
Watalaamu wa masuala ya mazingira wanaohudhuria mkutano katika mji wa Bonn, Ujerumani, wanasema hatima ya makubaliano ya kimataifa juu ya viwango vya kupunguza gesi chafu duniani inakabiliwa na mashaka.
Miripuko kutoka kwenye jua yawatisha watafiti
Wanasayansi wanasema kwamba muangaza mkali ulioonekana kwenye anga hivi karbuni, ni nyota kubwa za zamani ambazo zinaweza kuathiri mawasiliano na nishati katika sayari ya dunia katika siku za karibuni.
Mazingira ya Afrika - Tishio Kwa Pepo Iliyopotea
"Learning by Ear – Noa bongo" inaangalia kwa kina uhusiano baina ya watu na mazingira barani Afrika.
Elimu Jumla – Kipindi 6 – Nishati ya Jua
Katika kipindi hiki tutazungumzia nishati ya jua. Au tuseme nishati inayotokana na mwanga. Jack na Jenny wanataka kufahamu zaidi kuhusu jua na kama jua laweza kutoa umeme. Wanashindana kuona ni nani yuko sahihi.
Elimu Jumla – Kipindi 2 – Mvua na Radi
Jack na Jenny wanasubiri mvua kwa hamu kubwa. Jenny anagundua kwamba Jack anaogopa tufani. Hili linazua swali: Tufani hutokea vipi?
Mazingira Afrika – Kipindi 10 – Vyakula vya baharini
Kwa nini ni muhimu kuwafundisha wavuvi kutumia nyavu ili kuwalinda kaa? Juhudi gani zinaweza kuchukuliwa kuwalinda Papa? Sikiliza na ufahamu zaidi juu ya hilo na mengine.
Mazingira Afrika – Kipindi 9 – Uvuvi wenye madhara
Kipindi hiki kinazungumzia uvuvi wa kutumia baruti unavyoathiri matumbawe ambayo yanahitaji karne kujengeka, lakini yanaweza kuharibiwa kwa sekunde moja tu. Nini kinachowakumba wanyama na mimea ya baharini?
Mazingira Afrika – Kipindi 8 – Jangwa
Majangwa barani Afrika yamekuwa yakiongezeka. Hii ni kutokana na shughuli za kibinaadamu duniani kwa mfano ongezeko la malisho pamoja na ukataji miti. Je, ni jinsi gani wakulima wanawajibika kwa hali hiyo?
Mazingira Afrika – Kipindi 7 – Ukataji miti
Ukataji miti umesababisha madhara makubwa kwa mazingira. Bara la Afrika limepoteza misitu mingi kuliko bara lingine lolote. Fahamu kuhusiana na biashara haramu ya mbao pamoja na madhara yake.
Mazingira Afrika – Kipindi 6 –Nishati Endelevu
Mahitaji ya mafuta, mkaa na gesi bado ni makubwa. Lakini vyanzo vya nishati hii si vya kudumu, kwa hivyo tutapata wapi nishati hii? Tutaangazia nishati nyingine mbadala na inayoweza kutumika tena kama vile upepo na jua.
Mazingira Afrika – Kipindi 5 - Kuni
Afrika inategemea kuni kwa ajili ya kupikia lakini mahitaji ya mkaa yameharibu misitu barani humo. Hebu tuangalie njia mbadala kama vile kupika chakula kwa kutumia joto na mwanga wa jua.
Mazingira Afrika – Kipindi 4 – Magari na Baiskeli
Gari ni chanzo kikuu cha uchafuzi wa hali ya hewa. Hutoa hewa ya kaboni inayochangia ongezeko la ujoto duniani. Gundua faida za usafiri wa umma pamoja na baiskeli.
Mazingira Afrika – Kipindi 3 –Nyama pori
Shughuli za kibinaadamu huwa na madhara kwa maisha ya wanyamapori. Tunajua athari za biashara haramu ya nyamapori ambayo ni ya kawaida Afrika. Ni viumbe gani ambao wako katika hatari ya kutoweka?
Mazingira Afrika – Kipindi 2 – Elimu ya wadudu waharibifu
Elimu ya wadudu waharibifu inaweza kuongeza mazao yetu lakini ina madhara makubwa kwa mazingira. Tutaona jinsi sumu ya kuua wadudu inavyojipenyeza kwenye ardhi na maji. Tutajifunza jinsi ya kufanya kilimo cha zao moja.
Mazingira Afrika – Kipindi 1 - Takataka
Suala la takataka limekuwa ni tatizo sugu. Na kwa serikali za Afrika kulishughulikia suala hilo ni jukumu kubwa. Tutaelezea hatari ya mifuko ya plastiki kwa viumbe wa baharini, jinsi inavyoharibu mazingira ya majini.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 20 wa 27
Ukurasa unaofuatia