You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Mexico
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kauli za Trump zakemewa vikali na viongozi duniani
Kauli ya Trump ya kutishia kisiwa cha Greenland na Canada imekemewa vikali na viongozi wa Canada na nchi za magharibi.
Mexico yapata rais wa kwanza mwanamke
Claudia Sheinbaum ameapishwa kuwa rais wa kwanza mwanamke wa Mexico siku ya Jumanne (Oktoba 1).
Marekani yakiri kutekwa mfanyabiashara wa madawa ya kulevya
Wafanyabiashara hao walisafirishwa mwezi wa Julai hadi Marekani kukabiliana na mashitaka ya ulanguzi wa madawa hayo.
Biden aagiza kufungwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Rais Biden wa Marekani aagiza kufungwa kwa muda kwa mpaka kati ya nchi yake na Mexico
Sheinbaum awa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa rais wa Mexico
Bi. Sheinbaum sasa atachukua nafasi ya rais anayemaliza muda wake Andres Manuel Lopez Obrador, mnamo Oktoba mosi.
Sheinbaum atarajiwa kushinda uchaguzi Mexico
Mgombea wa serikali Claudia Sheinbaum anatarajiwa kushinda uchaguzi wa rais nchini Mexico.
Wamexico wapiga kura katika katika uchaguzi wa kihistoria
Raia wa Mexico wamejitokeza kupiga kura leo kumchagua rais ambaye bila shaka kwa mara ya kwanza atakuwa mwanamke.
José Raúl Mulino achaguliwa rais mteule wa Panama
WaPanama wamemchagua José Raúl Mulino kuwa rais kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi.
Mexico yavunja uhusiano wa kidiplomasia na Ecuador
Waziri wa Mambo ya Nje wa Mexico amesema watawasilisha kesi hii mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Haki, ICJ.
Mexico yawahamisha raia wake 34 kutoka Haiti
Haiti imekumbwa na mapigano tangu mwishoni mwa mwezi Februari.
China yaikosoa Marekani kwa kuyashtaki makampuni yake
China imezikosoa mamlaka za Marekani kwa kuzishtaki kampuni nane na raia wanne wa China kwa tuhuma za kufanya ulanguzi,
Wahamiaji wapambana kuvuka mpaka wa Mexico kuingia Marekani
Mamia ya wahamiaji wanapambana kuvuka mpaka wa Mexico na kuingia Marekani kabla ya kuondolewa kwa vizuizi vya corona
Mexico yashindwa kuchukuwa hatua vifo vya wanafunzi 43
Jeshi pia linalaumiwa kwa kutotowa ushirikiano na taarifa zinazowezesha kupatikana haki ya wahanga wa mauaji hayo.
Biden aunga mkono mazungumzo kati ya Maduro na upinzani
Washauri wakuu wa rais wamesema mkutano huo haujapoteza hadhi licha ya kususiwa
Maduro asema Venezuela haitasalimu amri kutokana na vitisho
Marekani yasema utawala wa Maduro unalazimika kushiriki kwa dhati kwenye mazungumzo na wapinzani.
Mkutano wa baraza la taifa China waanza leo
Mkutano wa baraza la taifa la China unaoanza leo ni tukio kubwa zaidi la kisiasa nchini humo
COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200,000
COVID-19 yauwa zaidi ya Wamarekani 200,000
Kenya, Djibouti kurudia kura kuwania nafasi ya baraza la UN
India, Mexico, Norway na Ireland zachaguliwa kuwa wanachama ambao si wa kudumu katika baraza kuu la Umoja wa Mataifa
OPEC+ wakubaliana kushusha kiwango cha uzalishaji mafuta
Bei ilishuka pia kwa sababu ya vita vya bei kati ya Saudi Arabia na Urusi.
Bolivia yawafukuza mabalozi wa Uhispania, Mexico
Uhispania nayo imewafukuza maafisa watatu wa ubalozi wa Bolivia kujibu hatua hiyo.
Ushuru wa asilimia tano kwa bidhaa za Mexico kuanzia Juni 10
kuongeza msukumo kwa taifa hilo kuzidisha juhudi za kuzuia ongezeko la wahamiaji haramu kuingia nchini Marekani kupitia
Trump atangaza mageuzi ya sera ya uhamiaji Marekani
Uhamiaji
China: Mradi wa ujenzi wa miundombinu wapaswa kuwa bayana
Uingereza yasema mazungumzo ya masuala ya kiuchumi ndiyo msingi wa ushirikiano wa kibiashara kati yake na China.
Mwandishi Habari wa Mexico ashinda tuzo ya DW
Mwandishi habari za uchunguzi kutoka Mexico, Anabel Hernandez ametunikiwa tuzo ya uhuru wa kujieleza ya DW ya mwaka 2019
Majimbo 16 ya Marekani yamfungulia mashtaka Trump
Majimbo 15 yaungana na jimbo la California kumshitaki Trump, kwa kutaka kujenga ukuta katika mpaka wa Mexico.
Trump alihutubia taifa
Trump na Kim kukutana katika mkutano wa pili wa kilele baina yao Februari 27 na 28 nchini Vietnam.
Trump awatuma Wanajeshi 5,200 kuilinda mipaka
Umoja wa Mataifa unakadiria zaidi ya wahamiaji 7,000 wako katika msafara kuelekea nchini Marekani.
Obrador ashinda urais Mexico
Mgombea wa siasa za mrengo wa kushoto nchini Mexico Andres Manuel Lopez Obrador amepata ushindi mkubwa
Trump aachana na sera ya kuzitenganisha familia za wahamiaji
Haijabainika wazi agizo hilo la Rais litaanza kutekelezwa lini na vipi, kutatua mzozo huo wa wahamiaji nchini Marekani.
maoni: Mvutano wa ushuru kati ya Marekani na Umoja wa Ulaya
Maoni juu ya ushuru mpya wa Trump ni kwamba tatizo haliwezi kumalizwa kwa mapambano.
Marekani yajitayarisha tena na kimbunga Nate
Kimbunga Nate kinakaribia kushambulia pwani ya Marekani
Merkel azungumzia biashara na haki za binaadamu Mexico
Merkel amekutana na Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto na kuzungumzia biashara na uhuru wa wanahabari
Siku 100 akiwa rais: Ahadi tano kuu za Trump
Siku 100 akiwa rais: Ahadi tano kuu za Trump
Marekani-Mexico: Majadiliano ya kirafiki nyakati ngumu
Jambo muhimu ni kuchukuwa hatua katika kuelekea mkondo sahihi.
Marekani yajaribu kutuliza wasiwasi Mexico
Uhusiano kati ya Mexico na Marekani umezidi kuwa wa mvutano tangu ulipoingia madarakani utawala wa Trump.
Trump achelewesha amri mpya kuhusu wahamiaji
Ikulu ya Marekani imechelewesha kutangaza amri mpya za rais kuhusu marufuku ya kuwazuia wahamiaji.
Trump atafakari amri mpya ya marufuku dhidi ya wahamiaji
Rais wa Marekani anatarajiwa kuwasilisha amri mpya ya kuwazuwia wahamiaji kuingia nchini humo
Trump aichimbia 'mkwara' Mexico
Trump amesema kuwa iwapo Mexico haitagharamia ujenzi wa ukuta huo, basi ni bora viongozi wa nchi hizo mbili wasikutane.
Trump aagiza ukuta ujengwe kati ya Marekani na Mexico
Ukuta kati ya Marekani na Mexico utagharimu mabilioni ya fedha na utakuwa wa umbali wa zaidi ya kilomita 3,000
Trump awashambulia wahamiaji kwa mara nyengine
Mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican, Donald Trump, akiwa anahutubia katika jimbo la Arizona ameapa kuwa atakapoingia ikulu baada ya uchaguzi ujao, kila aliyeingia Marekani kinyume na sheria atarejeshwa kwao.
Papa Francis aibua mjadala Marekani
Baba Mtakatifu Francis amehoji uhalali wa Donald Trump kujiita Mkiristo
Mexico yaikosoa Misri kwa mauaji ya raia wake
Mexico yaikosoa Misri kwa mauaji ya raia wake watalii na kutaka uchunguzi wa haraka ufanywe
150612 G20 Vorbericht
Mnamo siku ambayo wapiga kura wa Ugiriki wanateremka vituoni kulichagua bunge jipya,viongozi wa taifa na serikali wa mataifa 20 makubwa kiviwanda na yale yanayoinukia,wanakutana katika mji wa pwani wa Los Cabos .
Marekani yaishtaki BP, kwa uvujaji wa mafuta katika Ghuba ya Mexico
Serikali ya Marekani inataka BP na kampuni zingine 8 kuilipa fidia kwa hasara serikali hiyo ilipata kusimamisha uvujaji wa mafuta.
Vipi kuziba bomba la mafuta linalovuja Ghuba la Mexico ?
Rais Obama atembelea enero la msiba leo.
Rais Obama ziarani Mexico
Rais Barack Obama leo anaanza ziara nchini Mexico, ziara ambayo imeelezwa kuonesha mshikamano na jirani zake pamoja na kuthibitisha kuwa Marekani iko makini katika kukomesha biashara haramu ya dawa za kulevya na silaha.
Mkutano wa HIV AIDS waanza mjini Mexico.
Mkutano wa dunia kuhusu ukimwi unaendelea leo Jumatatu baada ya kuelezwa kuwa ushindi dhidi ya ugonjwa huo uko mbali.
Kansela Merkel amalizia ziara yake nchini Mexico
Kansela Merkel asema aridhika na ziara yake ya wiki moja Latin Amerika
Rais Bush awasili Mexico
Akimaliza ziara yake ya siku 6 ya Amerika Kusini,Rais George Bush wa Marekani, anakutana na rais Calderon wa Mexico wakizungumzia zaidi swali la uhamiaji na biashara ya madawa ya kulevya.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 1
Ukurasa unaofuatia