You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
UNICEF
UNICEF ni shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto na wanawake katika mataifa yanayoendelea.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Covid huenda ikasababisha mamilioni ya ndoa zaidi za utotoni
Covid-19 imeifanya hali ambayo tayari ni ngumu kwa mamilioni ya wasichana kuwa mbaya zaidi.
Serikali ya Tanzania yaonya kuhusu kutoa taarifa za COVID
Madhehebu ya kidini yamekuwa yakitoa taarifa za maambukizi ya corona na kutaka uwazi kuhusiana na janga hilo.
UNICEF: Uhaba wa maji safi waathiri Wasudan Kusini milioni 5
UNICEF yasema Sudan Kusini yaathiriwa na ukosefu wa maji safi
UNICEF yaonya juu ya kizazi kilichopotea kutokana na corona
UNICEF yaonya juu ya kizazi kilichopotea kutokana na corona
UNICEF yaionya Afrika dhidi ya kufunga skuli kwa corona
UNICEF imezionya nchi za mashariki na kusini mwa Afrika kuwa ziko katika hatari ya kupoteza kizazi zisipofunguwa skuli.
COVID-19 yawaingiza watoto milioni 150 kwenye umasikini
Janga la virusi vya corona limewatumbukiza watoto milioni 150 zaidi kwenye umasikini.
UNICEF: mamilioni ya watoto kukabiliwa njaa Yemen
UNICEF: mamilioni ya watoto kukabiliwa njaa Yemen
Congo na vita visivyokwisha dhidi ya Ebola
Congo inakabiliwa na ugonjwa mpya wa Ebola huko kaskazini magharibi mwa nchi,licha ya huo ulioko Kivu ya Kaskazini.
Watoto katika ukanda wa Afrika Magharibi wako hatarini
Mashambulizi ya makundi ya wapiganaji yanatajwa kuathiri pakubwa elimu ya watoto
Kila mtoto yumo katika kitisho cha athari za kimazingira
Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema ulimwengu umeshindwa kumlinda mtoto na athari za mabadiliko ya tabia nchi na
Miaka 30 baada ya azimio la haki za mtoto
Hata hivyo unaonya kuhusu hatua za dharura ili mafanikio hayo yaweza kuwafikia na watoto masikini.
Watoto milioni mbili wa Yemen hawaendi shule, UN
UNICEF yasema watoto milioni 2 wa Yemen hawapati elimu
Watoto milioni 20 hawapati chanjo ya magonjwa hatar
Umoja wa Mataifa umesema zaidi ya mtoto mmoja kati ya watoto 10 au watoto milioni 20 duniani kote, hawajapata chanjo.
Wavulana milioni 115 duniani kote waliingia ndoa za utotoni
Jumla ya watoto milioni 756 duniani kote wavulana kwa wasiichana walioingia katika ndoa za umri mdogo.
Mamilioni wamewachwa na ulemavu tangu kuanza kwa vita hivyo
Zaidi ya watu laki tatu na elfu sabini wamefariki huku mamilioni wakiwachwa na ulemavu miaka minane sasa tangu kuanza kw
Matumaini ya kuangamiza ufukara Afrika yachomoza
Utafiti huo ulifanywa na shirika la kuwahudumia watoto la Umoja wa Mataifa UNICEF na shirika la ajira ILO.
Ukeketaji ni nini na unafanyika wapi?
Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu watoto UNICEF linasema wasichana na wanawake wanakeketwa katika nchi karibu 30.
UNICEF: Kizazi kijacho cha Yemen kimashakani
Mashirika ya kimataifa ya kutoa misaada yanaonya kuwa kizazi kijacho cha Yemen kitapotea iwapo mapigano hayatakoma.
UNICEF: Watoto wa Jamhuri ya Afrika ya kati wanateseka
Zaidi ya watoto 43,000 wa chini ya umri wa miaka mitano wanakabiliwa na kitisho kikubwa cha kufariki dunia
Watoto milioni 303 hawaendi shule kote duniani
Umoja wa Mataifa wasema jumla ya watoto 303 milioni kote duniani hawaendi shule,
Uhaba wa maji shuleni na vyoo ni changamoto kwa wanafunzi
Hali hiyo inawafanya watoto kuwa hatarini kiafya
Robo ya watoto duniani wanaishi katikati ya vita
Ripoti ya UNICEF, imesema robo ya idadi ya watoto duniani wanaishi kwenye mataifa yaliyoathiriwa na mizozo.
Watoto wa mitaani, hadi lini?
Bado kuna ongezeko la watoto wa mitaani na wanaofanya kazi nchini Tanzania na kukabiliwa na hatari kutokana na mazingira hatarishi wanayoishi. Miji mikubwa ndio hasa ina idadi kubwa ya watoto hawa. Pamoja na hatua kadhaa za kukabili tatizo hilo, bado hakuna dalili ya kupungua. Kulikoni? Sikiliza makala haya ya Mbiu ya Mnyonge.
Imani potofu, changamoto katika kuudhibiti ugonjwa wa ebola
Baadhi ya wakaazi wanakataa huduma za kiafya na badala yake wanawageukia wahubiri na maombi ili kuondoa kitisho hicho.
Wataalamu kutumwa DRC kudhibiti Ebola
Ugonjwa wa Ebola unaoshukiwa kuwaathiri zaidi ya watu 30 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
UNICEF yasema watoto zaidi ya 1,000 wametekwa nyara
UNICEF yasema watoto zaidi ya 1,000 wametekwa nyara na makundi ya itikadi kali
Unicef: Ndoa za utotoni zimepungua duniani
Mafanikio zaidi ni Kusini mwa Asia, wakati Afrika ikibaki nyuma
Watoto wanaozaliwa nchi maskini wakabiliwa na hatari ya kifo
UNICEF, inasema watoto wanaozaliwa katika nchi maskini zaidi duniani wengi kutoka Afrika wanakabiliwa na hatari ya kifo
UNICEF: Watoto walishambuliwa mno 2017
Watoto waliuawa, kujeruhiwa, kutumika kama ngao vitani, kubakwa na washambuliaji wa kujitoa muhanga.
Wasichana Uganda waozwa wanapokosa uwezo wa kununua Sodo
Hali hii pia inaathiri masomo ya wasichana wengi wanaouvunja ungo kutokana na ukosefu wa vyoo dhabiti katika shule zao.
Haki za watoto ziingizwe kwenye sheria Ujerumani
Makundi ya utetezi Ujerumani yataka serikali ijayo kuingiza haki ya watoto na vijana kwenye sheria ya msingi
UNICEF: Zaidi ya watoto 40,000 wako hatarini Raqqa
UNICEF yaonya mapigano ya kuukomboa mji wa Raqqa yanatishia kugharimu maisha ya zaidi ya watoto 40,000
Zaidi ya watoto laki tatu wahamiaji wanasafiri wenyewe
Watoto wanaosafiri bila ya kuandamana na watu wazima wanakumbwa na kitisho cha kutumika kama watumwa au makahaba
Boko Haram wapanga kuzishambulia Marekani, Uingereza
Watoto wamefanya mashambulizi 27 ndani ya miezi mitatu ya mwaka huu,walifanya mashambulizi kama hayo mara 30 mwaka jana.
Kwanini watanzania wengi hawana vyeti vya kuzaliwa?
Makala yetu leo
UNICEF yasema mamia ya watoto wameuawa Syria
UNICEF yasema mamia ya watoto wameuawa nchini Syria
Ripoti ya UNICEF: Wanawake na watoto wakimbizi wateseka
Wanawake na watoto wanapigwa, wananyimwa chakula na wanabakwa ikiwa ni baadhi ya mateso yanayowakabili
Ukweli kuhusu baa la njaa
Shirika la Chakula Duniani linasema watu zaidi ya milioni 20 wako hatarini ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo.
UNICEF: Njaa yatishia maisha ya watoto milioni 1.4
Nchini Sudan Kusini, zaidi ya watoto 270,000 wanakumbwa na utapiamlo
Waasi Syria wakabiliana vikali na serikali
Mji huo wa Aleppo bado unakabiliwa na mashambulizi makali dhidi ya jeshi na wapiganaji
Vikosi vya kulinda amani vyashambuliwa Afrika ya Kati
Vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa vyashambuliwa na waasi wa kundi la Seleka Afrika ya Kati.
WFP yasema idadi inaweza ongezeka hadi 700,000 mwakani
Watu 600,000 wanakabiliwa na uhaba wa chakula Burundi
Watoto 876 waachiwa huru kutoka kambi ya jeshi ya Giwa
Miongoni mwa watoto waliokuwa wakizuiliwa jela ni pamoja na wa umri wa miaka 5 na chini ya umri huo
Watoto robo milioni wakabiliwa na utapiamlo Nigeria
Watoto Nchini Nigeria wanakabilia na Utapiamlo
Watoto milioni 28 hawana makazi duniani sababu ya vita
UNICEF yatoa ripoti inayosema watoto milioni 28 hawana makazi duniani kutoka na mizozo ya vita. Ndege za kivita za Syria zashutumiwa kuangusha mabomu yaliyo na gesi ya Chlorine. Na mamlaka za Uturuki zimeuchukua kwa nguvu mkanda wa mahojiano ya DW na waziri wa michezo na vijana wa Uturuki.
Watoto milioni 28 wang'olewa makwao na vita
UNICEF yasema watoto takriban milioni 50 duniani ni wakimbizi na wahamiaji kutokana na mizozo
Kishindo cha Brexit chapiga Afrika
Apps Yasaidia Maendeleo Afrika
Papo kwa Papo 28.06.2016
Viongozi wa Ujerumani, Ufaransa na Italia wataka ushirikiano kwenye Umoja wa Ulaya, UNICEF yasema watoto milioni 69 wako hatarini kufa na katika michuano ya Euro 2016, bingwa mtetezi Uhispania yafungasha virago.
UNICEF: Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Ripoti ya mwaka inaonyesha Watoto 167 milioni wataishi katika umaskini 2030
Papo kwa Papo 21.06.2016
Aliyekuwa makamu wa rais wa DRC, Jean-Pierre Bemba ahukumiwa kifungo cha miaka 18 jela na Mahakama ya ICC, Baraza la Seneti Marekani lapinga mapendekezo ya kudhibiti silaha, na katika michuano ya Euro 2016 Wales na England zafuzu hatua ya mchujo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 4
Ukurasa unaofuatia