You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
UNICEF
UNICEF ni shirika la Umoja wa Mataifa linalohudumia watoto na wanawake katika mataifa yanayoendelea.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Jeshi la Israel latanua operesheni zake hadi kusini mwa Gaza
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuwahudumia Watoto (UNICEF) limesema linashuhudia "maafa makubwa ya watoto."
UNICEF yasema Gaza ni hatari kwa watoto
UNICEF yasema Gaza ni hatari kwa watoto
Israel yaendesha operesheni ndani ya hospitali Gaza
Madai ya jeshi la Israel kuwasaka Hamas yamekanushwa vikali na daktari wa hospitali ya Al-Shifaa Ahmed El Mokhalalati.
Watoto wa Asia Kusini wanakabiliwa na uhaba mkubwa wa maji
Idadi hiyo ni zaidi ya nusu ya idadi jumla ya watoto wanaoishi kwenye ukanda huo
Israel yasema inaendesha operesheni za angani, ardhini Gaza
Jeshi la Israel linasema askari wake wako wanaendelea kusonga mbele kwenye operesheni yake ya ardhini dhidi ya Hamas.
UNRWA: Bidhaa ya mafuta yahitajika haraka Gaza
Israel inakataa kuruhusu malori ya mafuta kuingia Gaza , ikisema Hamas inaweza kuyatumia katika operesheni za kijeshi.
UNICEF: Mamilioni ya watoto wapoteza makazi
Watoto hao walipoteza makazi kati ya mwaka 2016 hadi 2021
Hali mbaya ya hewa yasababisha watoto kupoteza makazi
Wataalamu watahadharisha kuwa katika miaka 30 ijayo, mafuriko yanaweza kusababisha watoto milioni 96 kuhama makaazi yao.
Taarifa Ya Habari Ya Asubuhi: 06.10.2023
Shambulio la Urusi laua watu 51 Kharkiv. Watu zaidi ya 110 wauawa katika shambulio Syria. Mahakama nchini Burundi yaamuru Waziri Mkuu wa zamani Bunyoni kutoachiwa kwa dhamana.
Mabadiliko ya tabianchi yawahamisha Watoto milioni 43.1
Vimbunga vinakadiriwa kuwa vitawahamisha watoto milioni 10.3.
UN: Watoto 100,000 wameathiriwa na tetemeko la ardhi Morocco
Idadi kubwa ya familia zimekosa makazi na hulazimika kulala nje wakati huu wa baridi kali.
UNICEF: Waasi wawavisha watoto mabomu nchini DRC
Shirika la UNICEF, limesema wanamgambo wa ADF wamekuwa wakiongeza mashambulizi ya mabomu katika eneo hilo.
Watoto milioni 4 wahitaji msaada wa kitu Pakistan - UNICEF
UNICEF inakadiria watoto milioni nne bado wanahitaji msaada wa kiutu baada ya mafuriko makubwa kuikumba Pakistan.
UNICEF yatoa hadhari ya kusambaa Kipindupindu nchini Kongo
Shirika la UNICEF, limetoa tahadhari juu ya kuenea kwa ugonjwa wa kipindupindu Mashariki mwa Kongo.
Wiki ya unyonyeshaji: Elimu yazidi kutolewa kwa jamii?
Wiki ya unyoneshaji maziwa ya mama imeanza, tathmini ya wataalamu wa afya inaonesha uelewa juu ya dhana ya unyonyeshaji inazidi kutamalaki kwenye jamii, huku akina mama na wenza wao wakizingatia unyonyeshaji wenye tija.
Watoto 289 walikufa wakijaribu kuvuka bahari ya Mediterania
UNICEF imeeleza kuwa idadi ya vifo hivyo ni mara mbili zaidi ya iliyorekodiwa katika miezi sita ya kwanza ya mwaka 2022.
UN yarekodi idadi kubwa kabisa ya ukiukaji dhidi ya watoto
Ukiukaji mkubwa ulifanywa dhidi ya Watoto 18,890 katika mwaka wa 2022 na kujumuisha 8,620 waliouawa au kujeruhiwa
Watoto milioni 1 wameachwa bila makao katika mapigano Sudan
Shirika la Watoto UNICEF linasema mzozo wa Sudan umepelekea zaidi ya watoto milioni moja kuachwa bila makao.
Watoto 300 wahamishiwa mahala salama, Sudan
Vita nchini Sudan vimesababisha madhila kwa wakazi na hali ngumu ya kimaisha, huku wengi wakiyakimbia makazi yao.
Watoto wapatao 300 waokolewa Khartoum nchini Sudan
Watoto wapatao 300 waokolewa Khartoum nchini Sudan
UNICEF; Watoto milioni 7 wanakabiliwa na utapiamlo
Watoto milioni saba chini ya miaka mitano Kenya, Somalia na Ethiopia wanakumbwa na utapiamlo.
UN yataka juhudi zaidi kuwatunza watoto njiti
Umoja wa Mataifa umesema takribani mtoto mmoja kati ya 10 huzaliwa kabla ya wakati wake ulimwenguni kote.
Mapigano makali yaendelea Sudan
Huku Umoja wa Mataifa ukionya kuhusu uwezekano wa kutokea madhara makubwa kwa watoto nchini Sudan kufuatia vurugu hizo.
Mataifa zaidi kuwaondoa raia wao Sudan
Khartoum imeshuhudia mapigano ya siku sita na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 400 mjini Khartoum.
Waliouawa Sudan wafikia 400, majeruhi wapindukia 3,500
Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema zaidi ya watu 400 wameuawa na wengine zaidi ya 3,500 kujeruhiwa nchini Sudan.
UNICEF: Watoto milioni 13 Afrika hawakupewa chanjo
UNICEF imeutaja mgogoro huo wa kimataifa katika utoaji chanjo kwa watoto kwa kipindi cha miaka mitatu kuwa mgogoro mbaya
Watoto milioni 67 walikosa chanjo kwa sababu ya UVIKO-19
Umoja wa Mataifa umesema leo kuwa watoto milioni 67 walikosa baadhi ya chanjo au walikosa kabisa chanjo za kawaida kati
UNICEF: Watoto milioni 11 wanategemea misaada Yemen
Shirika la Umoja wa mataifa la kuhuduma watoto duniani UNICEF limesema, takribani watoto milioni 11 wanategemea misaada
UNICEF: Watoto milioni 11 wanategemea misaada ya kiutu Yemen
Yemen kwa muda mrefu imekuwa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe
UNICEF: Watoto 1,000 hufa kila siku kwa kunywa maji machafu
Ukosefu wa maji safi unasababisha vifo vya watoto 1,000 kila siku huku milioni 190 wakiwa hatarini.
Hali ilivyo nchini Malawi baada ya Kimbunga Freddy
Sudi Mnette anazungumza na Daudi Makamba ambaye ni Mtaalamu wa maji, elimu ya afya na usafi wa mazingira kutoka UNICEF.
UN: Watoto 1,000 wanakufa kila siku kwa kunywa maji machafu
Kulingana na utafiti mpya wa UNICEF, jumla ya watoto milioni 190 kwenye nchi 10 za Afrika wako hatarini.
Zaidi ya nusu ya watoto wanakabiliwa na utapiamlo Malawi
Umoja wa Mataifa umeomba kiasi cha dola milioni 50 za kukabiliana na mripuko wa kipindupindu nchini Malawi.
Mjamzito mmoja hufa kila dakika mbili duniani - WHO
Hali ni mbaya zaidi katika mataifa ya Afrika yaliyo kusini mwa jangwa la Sahara ambako kuna 70% ya vifo duniani.
Wafungwa 12 wafa kutokana na kipindupindu Kamituga
Waziri wa Afya katika jimbo la Kivu Kusini amesema juhudi zinafanyika ili kudhibiti kipindupindu katika eneo hilo
Watoto 11,000 wauawa ama kukatwa viungo Yemen - UNICEF
Mapigano yanayovihusisha vikosi vya Wahouthi na muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia yalianza tangu 2014.
Tarifa ya Habari za Asubuhi ya DW Kiswahili: 17.10.2022
Vita vya Ukraine vyapelekea watoto milioni 4 kuishi katika umaskini. Idadi ya vifo kufuatia mafuriko Nigeria yapindukia 600. Moto wasababisha vifo vya watu 4 katika gereza moja nchini Iran.
UNICEF: Mamilioni hawana maji safi Pembe ya Afrika
UNICEF: Mamilioni hawana maji safi Pembe ya Afrika
Zimbabwe: Mripuko wa surua yawaua watoto 80
Mripuko wa ugonjwa wa surua umewaua watoto 80 nchini Zimbabwe tangu mwezi Aprili.
UNICEF: Maelfu ya watoto hawana makaazi mashariki mwa DRC
Mapigano kati ya jeshi la Kongo na waasi wa M23 yamelazimisha maelfu ya watoto kuwa wakimbizi wa ndani mashariki mwa DRC
Ukraine: Urusi inadhibiti asiliamia 70 ya Severodonetsk
Gavana wa jimbo la Luhansk, Serhiy Gaidai amesema vikosi vya Urusi vinadhibiti takribani asilimia 70 ya Severodonetsk.
UNICEF: Mataifa tajiri yahatarisha maisha ya watoto
UNICEF imeyashutumu vikali mataifa tajiri ulimwenguni kwa kuhatarisha maisha ya watoto kote duniani.
Maambukizi ya ini kwa watoto yaiumiza kichwa WHO
Mataifa 20 kutoka kona mbalimbali ulimwenguni yameripoti kuhusu visa hivyo vya maambukizi kwenye ini.
Ukraine yasema Urusi yajiandaa kuushambulia mji wa Mariupol
Mariupol,ni mji wa bandari ulio kusini mashariki mwa Ukraine, una takriban wakazi 400,000 wakumbwa na hofu.
Vita vya Yemen vyasababisha zaidi vifo vya watoto-UNICEF
Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran wameidhibiti sehemu kubwa ya kaskazini mwa Yemen
WHO yazilaumu kampuni za maziwa ya watoto kwa kupotosha
Tuhuma hizo zimetolewa kwenye ripoti ya utafafiti iliyochapishwa siku ya Jumatano.
Museveni abadili msimamo wake kuhusu kufunguliwa shule
Rais Museveni anasema shule zitafunguliwa mwezi Januari mwakani licha ya masharti yaliowekwa na serikali yake.
UN: Wanawake, watoto wako hatarini katika vizuizi vya Libya
UN yaonya wanawake na watoto wako hatarini katika vizuwizi vya Libya
Idadi ya vifo vya corona kuongezeka barani Ulaya
Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO limeonya kuhusu uwezekano wa ongezeko la vifo barani Ulaya kutokana na covid-19.
Ajira kwa watoto yaongezeka ulimwenguni
Ripoti inasema mzozo wa virusi vya corona unatishia kuwashinikiza mamilioni ya watoto kujikuta katika hatima hiyo hiyo
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 4
Ukurasa unaofuatia