You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Sauti zetu
Vidio zetu
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Matangazo
Picha: DW
Picha: DW
Vidio zetu
Tazama vidio zetu hapa
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mapambano ya kiuchumi kwa wasichana na wanawake
Kumuandaa mwanamke wa baadae ni kumuwekea mazingira bora msichana katika kila sekta ili kufikia malengo ya kujitegemea kiuchumi kwenye azma ya kuupiga kumbo umasikini inapofika 2030, lakini kutimiza hilo ni muhimu kumjumuisha kila mmoja, wasichana nao hawajabaki nyuma katika mbio hizo. Ungana na Mitchelle Ceasar katika video ya Msichana Jasiri.
Hamasa ya wahudumu katika vyumba vya kuhifadhi maiti
Wengi wamekuwa na mawazo tofauti juu ya watu wanaotoa huduma katika vyumba vya kujifadhi maiti katika hospitali na utakubali kwamba kumekuwa na hadithi nyingi kuwahusu na wakati mwingine hata zikitia hofu, lakini hebu tazama video usikie hadithi zao wenyewe wakisimulia juu ya hamasa inayowafanya kuipenda kazi yao adhim.
Msichana Jasiri yamuangazia Naishooki Gideon, mhamasishaji
Ongezeko la ukatili wa kijinsia ulimsukuma kuwa mhamasishaji na muelimishaji wa vijana katika jamii. Mtangazaji wetu chipukizi Mitchelle Ceaser anaangazia juhudi zake Naishooki Gideon kwenye vidio yetu ya Msichana Jasiri
Mipaka ya ajabu iliyochorwa na Wakoloni barani Afrika
Watawala wa mwisho wa kikoloni wa Kijerumani waliondoka zaidi ya karne moja iliyopita. Lakini mipaka ya Kiafrika iliyochorwa mjini Berlin mwishoni mwa karne ya 19 bado haijabadilika hadi leo - na imekuwa na matokeo mabaya sana.
Tiba ya jino ya Root Canal
Ni lini mara ya mwisho uliumwa jino? Yale maumivu kiasi cha kuona giza wakati ni mchana😆😆😆 Je huwa una utaratibu wa kwenda kwa daktari wa meno kabla hujakumbwa na zahma kama hii? Na je, ulitibiwaje? Hebu msikie kijana huyu ambaye siku moja alikwenda bila ya kusukumwa hospitalini baada ya kuumwa jino na usikie alitibiwaje? Itakusaidia. #kurunziafya
Mary Angel: Sanaa na muziki nyenzo za elimu ya afya ya akili
Sanaa ni nyezo ambayo hutumika katika kufikisha ujumbe kwa hadhira katika njia tofauti ikiwemo muziki, uchoraji na hata ufinyanzi na katika matumizi haya hapa ndipo anajitokeza msichana ambaye anaamua kuitumia sanaa ya muziki pamopja na uchoraji katika kuelimisha juu ya afya ya akili je nikwanini aliamua kutumia sanaa katika kuelimisha na elezea hisia binafsi? Jua mengi kupitia Msichana Jasiri.
Wasichana wachukua mwelekeo mpya wa ngoma za asili
Licha ya kutawala kwa muziki na midundo ya kisasa ambayo inawapagawisha watu wengi, lakini bado ladha ya ngoma za asili zimebaki kuwa pendwa miongoni mwa wengi. Wasichana wa kundi la Shine wanajifua kuunga'arisha muziki huo na kuutegemea kama ajira katika maisha yao ya baadae.
Kivuli cha Ukoloni - Ubaguzi wa rangi kama nyenzo ya ukoloni
Tizama sehemu ya 9 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Urathi wa mashaka kwenye matibabu
Tizama sehemu ya 8 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Mfahamu Mkameruni aliyeupinga Ukoloni
Tizama sehemu ya 7 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Togo kama koloni la mfano la Ujerumani
Tizama sehemu ya 6 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Majina ya Kikoloni kwa ardhi ya wazawa
Tizama sehemu ya 5 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Mauaji ya kwanza ya halaiki ya Namibia
Tizama sehemu ya 4 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni - Utawala kwa geresha ya biashara
Tizama sehemu ya 3 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani - Upinzani wa wenyeji
Tizama sehemu ya 2 ya simulizi ya ´Kivuli cha Ukoloni´ inayomulika historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Kwa nini Afrika bado inapigania mipaka ya wakoloni?
Mipaka ya Afrika iliyochorwa Berlin mwishoni mwa karne ya 19 bado ipo na imekuwa na madhara mabaya sana.
Msichana Jasiri: Rafat Ally, mwandishi chipukizi Tanzania
Msichana Jasiri inamuangazia Rafat Ally, mwandishi chipukizi ambaye amechapisha kitabu cha The First female President.
Ukoloni ulivyochangia ukosefu wa imani kwa dawa za Magharibi
Mateso haya yasiyozungumzwa yanaelezea kwa nini kuna uzito wa kuzikubali chanjo hizo hadi leo.
Uhusiano baina ya ugozi wa zama za ukoloni na unazi
Wasomi walioheshimika walijijengea majina makubwa kwa kuasisi na kuitetea nadharia chafu ya ugozi.
Dibobe: Kutoka maonesho hadi mwanaharakati dhidi ya ukoloni
Quane Martin Dibobe alikuwa mwanaharakati wa haki za binaadamu aliyepinga unyonyaji wa Ujerumani kwa makoloni yake.
Matokeo ya awali DRC yanaonyesha Felix Tshisekedi anaongoza
Wapiga kura milioni 44 walitekeleza haki yao ya kikatiba ya kumchagua rais, wabunge, magavana na madiwani wa manispaa.
Ukoloni ulivyobadilisha mfumo wa utawala wa Togo milele
Togo ilipandishwa hadhi kama "koloni la mfano" kukidhi andasa za watawala wa kikoloni wa Kijerumani.
Msichana Jasiri: Watetezi wachanga wa haki za binadamu
Adeline Adelhard na Adela Adelhard ni dada pacha. Kando na kufanana kwa muonekano pia wanafanana kwenye mitazamo na maono yao. Si ajabu katika umri wa miaka 13, tayari wanatetea haki za watoto nchini Tanzania. Ndio wanatupambia makala ya Msichana Jasiri leo wakiwa Dar es Salaam. Mwenyeji wao ni mtangazaji chipukizi Mitchelle Ceaser
Mauaji ya kwanza ya kimbari katika karne ya 20
Kati ya mwaka 1904 na 1908, wakoloni wa Kijerumani ziliendesha mauaji ya kimbari dhidi ya Waherero na Wanama wa Namibia.
Kutoka Kaiser Wilhelm Spitze hadi Kilele cha Uhuru
Wakoloni wa Ulaya sio tu walizing'owa jamii, bali pia walijaribu kuharibu utambulisho wao.
Pambana! Waafrika Mashariki wakabiliana na ukoloni
Uvamizi na ukoloni wa Kijerumani ulikumbana na upinzani wa kijasiri kutoka kwa wenyeji wa Afrika Mashariki.
Kampuni ya Woermann ilivyousafirisha ukoloni wa Ujerumani
Mfanyabiashara wa Kijerumani alipata faida kubwa kwenye biashara ya zama za ukoloni kwa msaada wa jeshi la Ujerumani.
Uporaji wa ardhi: Kuzaliwa kwa Ukoloni wa Ujerumani
Mikataba tata ya ardhi iliyofanywa na wafayabiashara wa Kijerumani ilisaidia kuhalalisha madai ya kikoloni kwa Afrika
Wanawake wa Goma wanataka nini kwenya uchaguzi huu?
Wanawake wa Goma wanasema hawana haja na kingine kwenye uchaguzi huu zaidi ya kuwaomba watakaochaguliwa kuwaletea amani na utulivu. Hata wagombea nao wana miito kama hii. Ruth Alonga alituandalia video hii.
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani, DW inatoa fursa ya kuelimisha kuhusu historia ya Ujerumani.
DW yazindua makala mpya za "Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani"
Vidio na vipindi hivi vya redio pia vinaangalia jinsi ukoloni wa Ujerumani unavyoendelea kuwepo katika maisha ya sasa
Madhila ya njaa Tigray baada ya vita
Makubaliano ya amani ya Ethiopia yaliyosainiwa mwaka mmoja uliopita yalimaliza vita Tigray na kuleta utulivu katika jimbo hilo. Lakini mamilioni ya watu sasa wanakabiliwa na changamoto nyingine ya njaa. Zaidi ya wakaazi milioni moja wa Tigray wanakumbwa na uhaba mkubwa wa chakula. Hayo ni kulingana na shirika la Chakula Duniani WFP.
Kutana na mbunge kijana wa Tanzania katika bunge la SADC
Makala ya Msichana Jasiri leo inamuangazia kijana mwakilishi wa Tanzania katika bunge la Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika SADC Meseline Raphael. Je alifikaje huko? Milima na mabonde anayokutana nayo ni kama yapi? Je ni vipi amekuwa mfano kwa vijana wenzake, na ndoto yake kuu ni ipi? Mtangazaji wetu chipukizi Mitchelle Ceasar amezungumza naye. Tazama.
Kivuli cha Ukoloni wa Ujerumani - Utwaaji wa ardhi
DW Kiswahili inakuletea mfululizo wa simulizi inayotizama historia ya ukoloni wa Ujerumani barani Afrika.
Unaitumiaje mitandao ya kijamii?
Kabla ya kuchapisha ama kusambaza jambo lolote kwenye mitandao ya kijamii je huwa unafikiria litakuwa na athari gani kwa mtu mmoja ama jamii kwa ujumla? Je unaijua athari ya kuchapisha taarifa zisizo na uhakika? Tizama video hii kwa mengi zaidi.
Leticia Shija msichana jasiri wa Dar es Salaam
Leticia Shija, binti mdogo mwenye faida kubwa kwa vijana na hasa wasichana wenziwe. Mtazame, msikilize katika mazungumzo yake na Mitchelle Ceasar mtangazaji chipukizi wa DW.
Shamrashamra za msimu wa likizo Berlin
Kurunzi Ujerumani leo inauangazia mji mkuu wa Berlin na jinsi ulivyopambwa kuelekea sikukuu ya Krismasi na Mwaka mpya.
Mama apoteza mtoto machoni mwake Manyara
Serikali ya Tanzania inaendelea na kazi ya uokozi huku juhudi zaidi zikiendelea katika kuwahudumia wahanga wa mafuriko.
Tatizo lenye kusumbua mfumo wa uzazi
Si kila shida ya mfumo wa uzazi, inaweza kuwa ugumba. Itazame vyema vidio hii ya Fathiya Omar labda, wewe, ndugu zako na wale wanaokuzunguka wanaweza kupata ufumbuzi katika kutafuta mtoto.
Sanaa ya kuchora na musiki katika kuokoa wasichana
Sanaa ya muziki inapitisha ujumbe kwa namna nyepesi kabisa miongoni mwa vijana, Je wasanii wanawakumbuka shabiki zao?
Athari za mvua na mafuriko Mombasa, Pwani ya Kenya
Wakaazi wanaoishi katika mitaa ya mabanda mjini Mombasa wako hatarini ya kupata magonjwa yatokanayo na maji machafu.
Kurunzi Live
Karibu kwenye Kurunzi Live na leo tunazungumzia siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake. Studioni yupo Lilian Mtono na Sudi Mnette.
Chukua hatua za kupinga ukatili wa kijinsia
Wakati ulimwengu ukiadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia, bado jamii inakabiliwa na visa vya unyanyasaji dhidi ya kundi hili. Nini kifanyike ili hatimaye vitendo hivi viondolewe? Tizama video hii kisha utupe maoni yako
Maoni na matarajio ya Wakenya kwa utawala wa William Ruto
Flora Modesty - Mwanaharakati anayewasaidia watoto viziwi
Flora Modesty - Mwanaharakati anayewasaidia watoto viziwi nchini Tanzania ndiye Msichana Jasiri wetu kwa wiki hii.
Wanawake walioshikwa mkono baada ya maisha magumu
Kurunzi Wanawake inamulika harakati za baadhi ya wasichana na wanawake walioshikwa mkono baada ya maisha magumu.
Bandari ya Assab na kitisho cha kuzuka vita Pembe ya Afrika
Ethiopia na Eritrea, mataifa jirani ya Pembe ya Afrika yanaweza kutumbukia vitani kuwania bandari ya Assab.
Siku ya Kuvumiliana Duniani
Hivi ni kwa nini watu wanashindwa kuvumiliana wanapojikuta katika tofauti? yaani mnabishana hadi kuishia kwenye ugomvi wa kuumizana na pengine kudhuru maisha ya mtu. Kulikoni? Kwa nini uvumilivu unapotea baina ya watu? Veronica Natalis alituandalia video hii, itizame na kisha utupe maoni yako.
Lifahamu tatizo la Anorexia Nervosa
Kwa lugha nyepesi, Anorexia Nervosa ni hali ya kiafya inayomfanya mtu kuogopa kuongeza kilo au kuwa mnene.
Nyota changa inayong'ara katika sanaa ya uigizaji Tanzania
Nyota inang'ara katika sanaa ya uigizaji kwa msichana mdogo Samira, wazazi wamekuwa na mchanga katika safari yake.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 6
Ukurasa unaofuatia