You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mapigano yaendelea kati ya jeshi la Sudan na RSF
Mapigano makali yameendelea katika mji wa El Geneina, jimbo la Darfur kati ya jeshi na wanamgambo wa RSF.
Bunge la Marekani lagawika kuipa msaada Israel na Ukraine
Kura inafanyika wakati bunge la Marekani Congress likiwa linavutana kuhusu msaada mpya kwa Israel na Ukraine.
Guterres: Kuna hatari ya kutanuka mzozo wa Gaza
Hadi sasa, wizara ya afya huko Gaza imesema watu 8,525 wameuawa Gaza huku 3,500 miongoni mwa hao wakiwa ni watoto.
Sudan: RSF yadai kuchukua udhibiti wa uwanja wa ndege
Katika kipindi cha miezi mitatu sasa RSF imelidhibiti eneo la mpakani la Om Dafouq.
Vikao vya kusikiliza kesi za kumzuia Trump asigombee vyaanza
Kampeni ya kujaribu kumzuia rais wa zamani Donald Trump kugombea urais kwa mara nyengine, inaingia awamu mpya wiki hii.
Iran yasema Marekani yashambuliwa kufuatia sera zake mbaya
Iran imesema mashambulizi dhidi ya vikosi vya Marekani nchini Iran na kwengineko ni kufuatia sera mbaya za nchi hiyo.
Mapigano yaendelea Sudan licha ya kurejea kwa mazungumzo
Wakuu wa kijeshi wanaohasimiana nchini Sudan wameanza tena kufanya mazungumzo nchini Saudi Arabia.
China na Urusi waikosoa Marekani katika mkutano wa kijeshi
Wakuu wa jeshi wa China na Urusi wameikosoa Marekani siku ya Jumatatu katika mkutano wa usalama mjini Beijing.
Wakuu wa kijeshi wa China na Urusi wakutana Beijing
Wawakilishi wa kijeshi wa nchi kadhaa ikiwemo Marekani na Urusi wanahudhuria jukwaa la kijeshi la China la Xiangshan.
Marekani: Netanyahu apaswa kuwadhibiti walowezi
Hamas, zaidi ya Wapalestina 8,000 wameuawa tangu kuanza kwa vita hivyo Oktoba 7 mwaka huu.
Mshukiwa wa shambulizi la bunduki Marekani akutwa amekufa
Robert Card anayetuhumiwa kuwauwa watu 18 kwa bunduki katika jimbo la Maine nchini Marekani amekutwa amekufa.
Marekani yavishambulia vituo vya silaha Syria
Marekani imevishambulia vituo vya silaha nchini Syria kwa kile kinacholezwa kuwa ni hatua ya kuyajibu mashambulizi.
UN: Israel na Hamas wanatenda uhalifu wa kivita
Ofisi hiyo imeamuru uhalifu huo wa kivita wa pande zote mbili kukomeshwa mara moja.
Mike Johnson Spika mpya wa Baraza la Wawakilishi la Marekani
Baada ya mkwamo wa muda mrefu, baraza la wawakilishi la Marekani limemchagua Mike Johnson kuwa spika mpya.
Waziri wa mambo ya nje wa Iran ziarani Marekani
Ziara za maafisa wa ngazi ya juu wa Iran nchini Marekani ni nadra mno kwa kuwa nchi mbili hizi zinauhasama mkubwa.
Korea Kusini, Marekani na Japan wailaani Korea Kaskazini
Nchi hizo zinasema hatua ya Korea Kaskazini kuipa silaha Urusi inahatarisha maisha ya raia nchini Ukraine.
Bunge la Marekani laidhinisha azimio la mshikamano na Israel
Hatua hiyo ilipata uungwaji mkono wa karibu wabunge wote wa Republican na Democrats.
Republican wamteuwa Johnson kuwania uspika wa Wawakilishi
Msuguano mkali unaoendelea umelifanya Baraza hilo kushindwa kufanya kazi zake kwa zaidi ya wiki tatu sasa.
Marekani yasimamisha msaada kwa Gabon kufuatia mapinduzi
Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Marekani Mathew Miller, amesema Marekani ilikuwa tayari imesitisha misaada Gabon.
Wang Yi kuzuru Washington kuanzia Alhamisi
Ziara ya rais Xi Jinping inayolenga kupunguza msuguano kati ya dola hizo mbili zenye nguvu kubwa duniani.
Korea Kusini, Marekani, Japan wafanya luteka la pamoja
Korea Kusini, Marekani na Japan zimefanya luteka ya pamoja ya kijeshi leo Jumapili, kwa mujibu wa jeshi la Seoul.
Iran yafunga waandishi wawili miaka 7 jela
Mahakama ya Iran imewahukumu kifungo cha miaka saba jela waandishi habari wawili wa kike kwa kushirikiana na Marekani.
Israel yathibitisha mateka walioachiliwa na Hamas
Hamas ilisema kuwa mateka hao, wote raia wa Marekani, wameachiwa kwa sababu za kibinadamu na kutuma ujumbe kwa Biden.
Urusi yalaani Putin kufananishwa na Hamas
Kremlin imesema kauli ya Rais Joe Biden wa Marekani ya kumlinganisha Rais Vladimir Putin na kundi la Hamas haikubaliki.
Ushindi wa Ukraine na Israel ni muhimu kwa Marekani
Biden anajiandaa kuomba msaada wa kijeshi wa mabilioni ya dola kwa mataifa hayo mawili
Biden aifananisha Hamas na Putin katika hotuba yake
Katika hotoba yake, Biden ameifananisha Hamas na Putin akisema kuwa wanawakilisha vitisho tofauti lakini wana azma moja.
Israel, Misri zaafiki misaada ya kiutu kuingia Gaza
Ofisi ya misaada ya Umoja wa Mataifa inadhamiria kupeleka hadi malori 100 kwa siku ya misaada huko Gaza.
Marekani yatowa dola $5M kumpata kiongozi wa al-Shabaab
Marekani imetoa ahadi ya zawadi ya dola milioni 5 kwa taarifa kuhusu kiongozi wa kundi la Al Shabaab nchini Somalia.
Marekani, Korea Kusini, Japan kufanya mazoezi ya kijeshi
Korea Kusini, Marekani na Japan zitafanya luteka za pamoja za kijeshi Jumapili ijayo.
Baraza la Usalama kupiga kura juu ya mzozo wa Israel-Gaza
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litapiga kura Jumatano juu ya Azimio lililoandaliwa na Brazil .
Rais Biden kuzuru Israel kwa mazungumzo na Netanyahu
Rais Joe Biden anatarajiwa kuzuru Israel Jumatano kuthibitisha "kujitolea kwa Marekani" kwa usalama wa Israel.
Steve Scalise atoka kwenye kinyang'anyiro cha Spika wa Bunge
Ni siku ya kumi sasa kiti cha Spika wa Bunge la Wawakilishi kimekaa wazi nchini Marekani.
Netanyahu: Hamas inatakiwa kuangamizwa kama ISIS
Netanyahu: Hamas wanatakiwa kuchukuliwa hatua sawasawa kama ISIS ilivyochukuliwa.
Warepublican wamteua Steve Scalise kuwania uspika
Chama cha Republican kinachokabiliwa na mgawanyiko mkubwa kimemteua Steve Scalise kuchukua nafasi ya spika.
Ajenda ya mahusiano kati ya Israel na mataifa ya kiarabu
"Vitendo vya Hamas vinatoa ukumbusho uliyo wazi kwa Saudia kwamba suala la Palestina lisichukuliwe kama mada rahisi tu"
Ujerumani kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amesema nchi yake itaanza kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025.
Hunter Biden afutiwa kesi ya kumiliki silaha
Jaji wa kesi dhidi ya Hunter Biden amelikataa ombi la waendesha mashitaka na hivyo kufuta shitaka hilo dhidi yake.
Mashambulizi Israel, Gaza yaingia siku ya sita
Idadi ya watu waliokwishauawa pande zote mbili za mzozo huu sasa imepindukia 2,300.
Marekani yatangaza msaada mpya wa kijeshi kwa Ukraine
Ubelgiji nayo imetangaza kuwa itapeleka ndege za kivita chapa F-16 kwa Ukraine kuanzia mwaka 2025 ikiwemo mafunzo.
Marekani yasitisha msaada wa dola milioni 500 kwa Niger
Marekani imesitisha msaada huo kwa Niger kufuatia mapinduzi yaliyomuondoa madarakani Mohamed Bazoum.
Wanajeshi wa Ufaransa wameanza kuondoka nchini Niger
Haya yanajiri wakati Marekani ikikatiza msaada kwa Niger
Rwanda yakosolewa kwa vitisho na mauaji ya wakosiaji ugenini
Shirika la Human Rights Watch limesema Rwanda imewaua, kuwashambulia na kuwapoteza wakosoaji wake nje ya mipaka ya nchi.
Blinken azungumza na Bazoum kwa njia ya simu
Antony Blinken amezungumza kwa njia ya simu na rais wa Niger aliyeondolewa mamlakani Mohamed Bazoum.
Biden: Kuna uwezekano wa kukutana na Rais wa China
Uhusiano kati ya nchi hizo mbili zenye uchumi mkubwa zaidi duniani umekabiliwa na mivutano ya kisiasa na kichumi.
Rais wa Ujerumani Steimeier akutana na Biden wa Marekani
Viongozi hao wanatarajiwa kusisitiza mshikamano baina ya nchi zao na pia katika kuinga mkono Ukraine.
EU kuiunga mkono Ukraine lakini kutoziba pengo la Marekani
Zelensky amesema ana imani bado anaungwa mkono na pande zote nchini Marekani.
Marekani yaonya kuhusu kampeni ya upotoshaji wa China
Marekani imetahadharisha dhidi ya kampeni ya kueneza taarifa potoshi za China zinazoweza kudhoofisha amani ulimwenguni.
Spika wa bunge la Marekani McCarthy aondelewa madarakani
Kevi McCarthy ndiye spika wa kwanza wa Baraza la Wawakilishi katika historia ya Marekani kupigiwa kura ya kuondolewa.
Tishio la Marekani kusimamisha msaada wa kijeshi kwa Ukraine
Wabunge wa Republican wanashikilia kwamba uungwaji mkono unaoendelea wa Marekani kwa Ukraine hauna uhakika.
Kevin McCarthy aondolewa kama Spika wa Bunge la Marekani
Wabunge wa mrengo wa kulia kutoka chama cha Republican wamemtimua spika wa bunge la Marekani katika kura ya kihistoria.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 12 wa 71
Ukurasa unaofuatia