You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Biden amualika Trump katika Ikulu ya White House
Trump akubali mualiko wa Biden katika Ikulu ya White House.
Harris akubali kushindwa, ampongeza Donald Trump
Donald Trump amemshinda Kamala Harris katika kinyang'anyiro cha urais. Wafuasi wake wanasherehekea, wapinzani wachukizwa
Upi mtazamo wa Trump kuelekea Afrika?
Kurejea kwa Donald Trump katika Ikulu ya White House kunaashiria mwanzo wa mtikisiko mkubwa kimataifa.
Pongezi zaendelea kumiminika kwa Trump
Pongezi zikiwemo kutoka Afrika zimeendelea kumiminika kwa Donald Trump baada ya ushindi wake dhidi ya Kamala Harris.
Trump ajitangaza mshindi wa urais Marekani
Trump ametangaza kushinda urais akisema ni ushindi wa kihistoria ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa.
Nini kinatokea ikiwa mgombea atatangaza ushindi mapema?
Donald Trump alipinga matokeo ya uchaguzi wa rais 2020. Nini kitatokea ikiwa itathibitishwa kuwa ameshindwa tena 2024?
Viongozi wa dunia wampongeza Donald Trump
Viongozi mbalimbali wa dunia wamejitokeza kumpongeza Donald Trump kwa ushidi wake dhidi ya Kamala Harris.
Trump arejea White House kwa kishindo
Vyombo vya habari nchini Marekani vimemtangaza Donald Trump mshindi wa kiti cha urais baada ya kupata kura zaidi 277.
Donald Trump: Wamarekani mmefanikisha ushindi
Trump atangaza kushinda urais wa Marekani ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa bado
Kura za uchaguzi wa urais Marekani zaendelea kuhesabiwa
Kura za uchaguzi wa urais zinaendelea kuhesabiwa Marekani, baada ya vituo vya kupigia kura kufungwa.
Marekani yaisamehe Somalia deni la zaidi ya dola bilioni 1
Mwaka huu Marekani imetoa msaada wa dola bilioni 1.2 wa kimaendeleo, kiuchumi, kiusalama na kibinadamu kwa Somalia .
Marekani yaamua kati ya Donald Trump na Kamala Harris
Wapigakura wanakabiliwa na chaguo gumu kati ya Donald Trump wa Republican na Kamala Harris wa Democratic.
Washington DC yasalia tulivu kabla ya kivumbi
Washington DC haijashuhudia hekaheka zake za kawaida siku ambayo Wamarekani wanateremka vituoni kumchagua rais mpya.
Nini kinatokea siku ya uchaguzi Marekani na baada yake?
Vituo vya kura Marekani vimefunguliwa. Wapiga kura waamua kati ya Kamala Harris na Donald Trump. Uchaguzi unafanyikaje?
Harris na Trump katika kampeni za mwisho
Kamala Harris na Donald Trump katika kampeni za lala salama kabla ya vituo vya kura kufunguliwa Novemba 5, 2024.
Khamenei aapa kuishambulia tena Israel, Marekani yaonya
Tangazola Khamenei limekuja wakati maafisa wa Iran wakizidi kutishia shambulio jengine dhidi ya Israel.
Victor Orban ataka Trump kushinda urais Marekani
Raia wa Marekani wanapiga kura siku ya Jumanne kumchagua rais mpya.
Mahakama ya juu Marekani yatupilia mbali kesi ya Republican
Uamuzi wa Mahakama ya Juu katika kura hiyo kwa jimbo la Pennsylvania unatajwa kuwa ni hatua muhimu hasa wakati huu.
Lebabon: Israel haitaki kusitisha vita
Mashambulio 10 yalivikumba vitongoji vya kusini kabla ya kuchwa ikiwa ni baada ya jeshi la Israel kutoa onyo la kuhama.
Korea Kaskazini yarusha kombora la kisasa zaidi la nyuklia
Wachambuzi wanasema jaribio hilo linalenga kuondoa nadhari kwenye hatua ya Pyongyang kupelekea jeshi Urusi.
Harris na Trump warushiana vijembe kwenye kampeni Wisconsin
Wagombea urais wa vyama vya Democratic Republican nchini Marekani wameendelea na kampeni siku 6 kabla ya uchaguzi.
Marekani: Korea Kaskazini imetuma maelfu ya wanajeshi Urusi
Waziri wa Mambo ya Nje wa Korea Kaskazini, Choe Son Hui, amewasili nchini Urusi Jumanne.
Trump amshambulia Harris katika mkutano wa New York
Mgombea huyo wa Republican alisema mpinzani wake wa Democratic katika uchaguzi wa Nivemba 5 anaiangamiza Marekani.
Beyonce ampigia debe Harris huko Texas
Mwanamuziki nyota wa Marekani Beyoncé alipanda jukwaani katika mkutano wa kampeni wa Kamala Harris mjini Houston, Texas.
Marekani yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Taiwan
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeidhinisha kitita cha mauzo ya silaha cha dola bilioni mbili kwa Taiwan.
Putin asema Marekani itaamua yenyewe uhusiano baina yao
Uholanzi yasema imebaini kuwa wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaisadia Urusi huko Ukraine.
Marekani yalaani mauaji ya wapinzani nchini Msumbuji
Marekani yalaani mauaji ya wapinzani nchini Msumbuji
Marekani yalaani mauaji ya wanachama 2 wa upinzani Msumbiji
Marekani ndio mfadhili mkubwa zaidi wa Msumbiji, kwa kutoa msaada wa zaidi ya dola milioni 560 kila mwaka.
Marekani yatangaza msaada wa dola milioni 400 kwa Ukraine
Rais wa UAE Sheikh Mohammed bin Zayed Al Nahyan amwambia rais Putin kwamba yuko tayari kuunga mkono juhudi za amani .
US yachunguza kuvuja nyaraka za shambulio la dhidi ya Iran
Marekani inafanya uchunguzi kuhusu kuvuja kwa nyaraka za siri zinazohusu mpango wa shambulio la Israel dhidi ya Iran.
Korea Kaskazini: Jopo la ufuatiliaji wa vikwazo ni batili
Korea Kaskazini yasema timu mpya ya kufuatilia vikwazo ilivyowekewa ni batili na ni kinyume cha sheria.
Je, Google itasalimu amri kwa shinikizo la sheria Marekani?
Google inapambana na juhudi za kudhibiti nguvu zake, huku sheria za ushindani za Marekani zikizidi kuliandama.
Putin : Juhudi za Marekani kuidhoofisha China zimeshindwa
Putin amesemea juhudi za Marekani za kuzuia maendeleo ya China hazijafanya kazi na zinairudisha nyuma Marekani yenyewe.
Mashambulizi ya anga ya Iraq yamuua mmoja wa viongozi wa IS
Jeshi la Marekani ladai kuwa mashambulizi ya anga ya Iraq yamemuua kiongozi mkuu wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu.
Je, Marekani itaendeleza ushirika na Ulaya baada ya Biden?
Rais Joe Biden atakuwa rais wa kwanza wa Marekani tangu George H. W. Bush kutunukiwa Tuzo ya Federal Cross of Merit.
Biden kukutana na viongozi wa Ulaya Ijumaa
Rais wa Marekani Joe Biden atafanya ziara nchini Ujerumani Ijumaa ambapo atakutana na Kansela Olaf Scholz mjini Berlin.
Iran yalaani vikwazo vipya dhidi yake
Umoja wa Mataifa wasema hali mbaya sana inawakabili watoto katika Ukanda wa Gaza
Israel yasema 'maslahi ya taifa' kwanza katika kuijibu Iran
Huko Gaza watu zaidi ya elfu 41 wameuawa katika vita kati ya Israel na wanamgambo wa Kipalestina.
Marekani kupeleka askari wake Israel
Hayo yanajiri wakati Iran ikiendeleza harakati za kidiplomasia katika kanda ya Mashariki ya Kati.
Harris na Trump waendelea kujipigia debe kampeni za urais
Kamala Harris na mpinzani wake Donald Trump waliendeleza kampeni zao katika kinyanganyiro cha urais.
Marekani yashambulia ngome za IS Syria
Vikosi vya Marekani vimefanya mashambulizi ya anga kwenye maeneo yanayodaiwa kuwa ni ngome za kundi la IS.
Marekani yafunguwa kesi kupinga kufutwa wapigakura Virginia
Wizara ya Sheria Marekani imewashitaki maafisa wa uchaguzi wa Virginia kwa kufuta majina ya wapiga kura kwenye daftari.
Wakaazi Florida washughulikia uharibifu wa kimbunga Milton
Wakaazi wa Florida wameendelea kushughulikia uharibifu uliosababishwa na kimbunga Milton huku wakitafakari cha kufanya b
Zelensky awasilisha ''mpango wa ushindi'' kwa washirika
Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewasilisha ''mpango wake wa ushindi'' kwa Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer.
Marekani kuimarisha ushirikiano na washirika
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken ameelezea matumaini ya kuimarisha ushirikiano na mshirika, waziri mkuu
Kimbunga Milton chaacha uharibifu mkubwa Florida
Kimbunga Milton kimetuwa jimboni Florida na kusahabisha uharibifu mkubwa na kuacha takriban nyumba na maakazi milioni 3
Marekani yaionya Israel kuhusu uharibifu Lebanon
Marekani imeitaka Israeli kujiepusha na operesheni za kijeshi kama za Gaza nchini Lebanon, baada ya.
Kimbunga Milton chatuwa Florida
Biden amemshambulia Trump kwa 'kusambaza uongo' juu ya jinsi serikali yake inavyolishughulikia suala la Kimbunga Helene.
Mkutano wa kilele kuhusu Ukraine huko Ramstein waahirishwa
Mkutano wa ngazi ya juu kuhusu Ukraine uliopangwa kufanyika katika mji wa Ramstein nchini Ujerumani waahirishwa.
Mkutano wa kuujadili usalama wa Ukraine waahirishwa
Mkutano wa usalama wa Ukraine uliopangwa kufanyika katika kambi ya jeshi ya Ramstein nchini Ujerumani umeahirishwa
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 3 wa 71
Ukurasa unaofuatia