You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mkutano wa kilele wa ASEAN wafunguliwa Laos
Mkutano huo wa mwaka utaangazia jinsi ya kukabiliana na vita vya muda mrefu vya Myanmar na mivutano ya Bahari ya China.
Trump aendeleza kampeni zake Butler
Trump arudi eneo alikopigwa risasi mnamo mwezi Julai, kwa kampeni za urais.
Zelensky na Biden kuhudhuria mazungumzo ya ulinzi wa Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky amesema atahudhuria mkutano wa kimataifa kujadili msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Biden aelezea wasiwasi kuhusu machafuko ya baada ya uchaguzi
Rais Joe Biden amesema hafahamu ikiwa uchaguzi wa Novemba utakuwa wa amani, kufuatia kauli za wapinzani wa Republican.
Marekani yashambulia ngome 15 za Wahouthi, Yemen
Jeshi la Marekani linasema vikosi vyake vimefanya mashambulizi katika maeneo 15 yanayodhibitiwa na Wahouthi huko Yemen.
Melania Trump aunga mkono haki ya kutoa mimba
Mke wa Donald Trump, Melania Trump, anaunga mkono haki ya kutoa mimba katika kumbukumbu yake aliyoiandika.
Wagombea umakamu rais Marekani washiriki mdahalo
Tim Walz na JD Vance, wamepambana katika mdahalo wa televisheni uliogubikwa na masuala mazito.
Marekani yahimiza haki za wafanyakazi wa bandarini
Marekani imevitaka vyama vya waajiri wa wafanyakazi wa bandarini kufanya mazungumzo ya kuandaa mikataba ya haki.
Rutte: "Sina hofu na utawala ujao wa Marekani"
Katibu Mkuu wa zamani wa NATO Jens Stoltenberg anakabidhi madaraka baada ya kuongezewa muda kwa mara tatu.
Assange azungumza hadharani kwa mara ya kwanza
Assange azungumza hadharani kwa mara ya kwanza mbele ya Baraza la Umoja wa Ulaya la haki za binadamu.
Marekani yaachana na wazo la jeshi la UM Haiti
Marekani imeachana na wazo la kutaka kikosi cha polisi wa kimataifa nchini Haiti kuwa jeshi rasmi.
Ufilipino na washirika wake wafanya luteka Bahari ya China
Ufilipino na washirika wake wamefanya luteka za pamoja baharini katika eneo la kipekee la kiuchumi la Ufilipino.
China yafanya luteka karibu na Bahari ya China Kusini
Meli na ndege za China zimefanya doria kwenye eneo la Scarborough Shoal katika Bahari ya Kusini ya China.
Meya wa New York akana mashitaka ya ufisadi
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena Jumatano wiki ijayo.
Marekani yatangaza msaada mpya wa dola milioni 160 kwa Haiti
Marekani imetangaza msaada wa dola za Kimarekani milioni 160 kwa Haiti, inayokabiliwa na magenge ya uhalifu.
Israel yakataa kusitisha mapigano na Hezbollah
Waziri Mkuu wa Israel benjamin netanyahu asema vita vya gaza vitaendelea hadi malengo ya Israel yatakapotimia
Biden: Mpango wa kuisaidia zaidi Ukraine kutangazwa Alhamisi
Washington inatarajia kutangaza msaada wa kijeshi wenye thamani ya zaidi ya dola bilioni 8 kwa Ukraine.
Marekani yatangaza msaada mpya wa dola milioni 160 kwa Haiti
Hayo yameelezwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken.
Iran inataka kumuua Trump - Idara ya Ujasusi Marekani
Idara ya Ujasusi ya Marekani inadai kuwa kuna kitisho cha kweli na cha wazi kutoka Iran inayotaka kumuua.
Zelensky: Umakini wa Marekani utaharakisha mwisho wa vita
Zelensky amesema uamuzi makini wa uongozi wa Marekani utaharakisha kukomesha uvamizi wa Urusi kufikia mwakani.
Viongozi wa dunia kuhutubia Baraza Kuu la UN kuanzia Jumanne
Viongozi wa dunia wako jijini New York nchini Marekani kuhudhuria Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.
Urusi yaionya Magharibi kuhusu silaha za Ukraine
Urusi imezitaka nchi za Magharibi kuacha kuipatia Ukraine silaha na kufadhili kile ilichokiita "shughuli za kigaidi".
Viongozi 130 wa dunia kujadili Gaza, Ukraine na Sudan
Viongozi 130 wa dunia kujadili migogoro ya Gaza, Ukraine na Sudan
Blinken asisitiza makubaliano ya usitishaji vita Gaza
Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani amesema kuwa usitishaji wa vita k
18.09.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Kwenye Taarifa ya Habari asubuhi ya leo utasikia juu ya mkasa wa kulipuka vifaa vya mawasiliano huko Lebanon na kusababisha vifo vya watu 9 na maelfu kujeruhiwa. Rais Joe Biden wa Marekani aziomba pande zinazozozana nchini sudan kurejea kwenye mazungumzo ya amani na Venezuela yamkamata raia wa 7 wa kigeni kwa madai ya kula njama za kumuua Rais Nicolas Maduro.
Donald Trump anusurika jaribio la pili la kuuawa
Donald Trump, yuko salama baada ya maafisa wa upelelezi, kuzima kile walichosema lilikuwa jaribio la kumuuwa Jumapili.
FBI yasema Trump alilengwa katika jaribio la mauaji
Mlilio ya risasi iliripotiwa karibu na uwanja wa gofu wa Donald Trump siku ya Jumapili
Raia 6 wa kigeni mbaroni kwa kutaka kumuua Rais wa Venezuela
Watu 6 amekamatwa Venezuela kwa tuhuma za kupanga njama za kumuuwa rais Nicolas Maduro.
Biden na Starmer wakutana Washington kuijadili Ukraine
Urusi imeonya kuwa kuiruhusu Ukraine kutumia silaha za masafa marefu kutaitumbukiza NATO katika vita na Urusi.
Biden, Starmer waahirisha uamuzi wa makombora ya Ukraine
Starmer amesema alikuwa na mjadala mpana kuhusu mkakati na Biden lakini hakukuwa na mkutano kuhusu makombora.
Marekani yaunga mkono viti viwili vya kudumu vya Afrika UN
Marekani yaunga mkono kuanzishwa viti viwili vya kudumu katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa nchi za Afrika.
Marekani kuishinikiza Israel kutoshambulia maeneo ya kiutu
Kauli ya Marekani imetolewa baada ya shambulio la anga la Israel kwenye shule ya Umoja wa Mataifa kuuwa watu 18.
Harris amkaanga Trump kwenye mdahalo wa runinga
Kamala Harris, apambana vikali na mshindani wake Donald Trump kwenye mdahalo wa televisheni usiku wa kuamkia Jumatano.
Trump, Harris wafungana mdahalo wa televisheni
Kura za utafiti wa maoni ya wapiga kura zinaonyesha mchuano ni mkali kati ya Trump na Harris kuelekea Novemba 5.
US, UK kutafakari ombi la Kyiv kulegeza vikwazo vya silaha
Marekani na Uingereza zimeahidi msaada wa dola bilioni 1.5 kwa Ukraine wakati wa ziara ya mawairi wa mambo ya nje Kyiv.
Kwanini Qatar ni mpatanishi bora kuliko Mataifa mengine?
Wachambuzi wanasema Qatar imejiweka katika nafasi hiyo ili kujiimarisha kiusalama katika kanda isiyokuwa tulivu.
Marekani na Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine
Ujumbe wa Marekani waja Ujerumani kujadili misaada kwa Ukraine katika kambi ya Ramstein.
Urusi ina imani ndogo kuwa Trump ataumaliza mzozo wa Ukraine
Urusi ina imani ndogo kuwa Trump ataumaliza mzozo wa Ukraine
Ufilipino, China zashutumiana Kusini mwa Bahari ya China
China na Ufilipino zimeendelea kushutumiana baada ya meli za doria za mataifa hayo kugongana katika eneo la Sabina Shoal
Ujerumani yahitimisha shughui za kijeshi Niger
Wanajeshi wa mwisho wa Ujerumani waliokuwa Niger, wameondoka nchini humo na kurejea nyumbani Ujerumani jana Ijumaa.
Wanamgambo 15 wa kundi la IS wauwawa Iraq
Majeshi ya Marekani na Iraq yawauwa wanamgambo 15 wa kundi linalojiita Dola ya Kiislamu IS katika operesheni ya pamoja.
Huenda Biden akakutana na Xi Jinping
Rais wa Marekani, Joe Biden huenda akakutana tena na rais mwenzake wa China, Xi Jinping, pengine katika mkutano wa kimat
Shambulizi la Urusi lawauwa watu 6 Donetsk, nchini Ukraine
Kremlin imesema uamuzi wa Ukraine wa kukatiza mkataba wake na kampuni ya Urusi ya Gazprom utawaathiri wateja wa Ulaya.
Trump na Harris kushiriki mdahalo wa Septemba 10
Mdahalo huo utafanyika kwenye kituo cha televisheni cha ABC News na utaendeshwa bila ya kuwepo watu jukwaani.
Mashambulizi ya anga ya Israel yawaua watu 18 Gaza
Watu 18 wakiwemo watoto wanane wameuawa kwa mashambulizi ya anga ya Israel huko Gaza usiku wa kiamkia Jumanne.
DNC: Kamala Harris aihimiza Marekani kuchukua mwelekeo mpya
Hotuba ya Harris ilipambwa kwa wasifu wake na maonyo juu ya kurejesha tena kwa Donald Trump katika White House.
Kamala akubali rasmi uteuzi wa kugombea urais
Harris amesema atakuwa rais wa Wamarekani wote bila kujali mitizamo ya kisiasa
Kamala kutoa hotuba ya aina yake kukubali uteuzi
Hotuba hiyo inatazamiwa kutoa muelekeo wa uongozi wake endapo wapigakura watampa idhini ya kuiongoza Marekani.
Walz akubali rasmi uteuzi wa kuwa mgombea mwenza wa Harris
Hii ndio hotuba yake ya kwanza muhimu ya ngazi ya kitaifa, tangu alipoteuliwa na Harris kuwa mgombea mwenza wake.
Uturuki na Marekani zajadili kusitisha mapigano Gaza
Wadiplomasia wa Uturuki na Marekani wajadili juhudi za kusitisha mapigano Gaza
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 4 wa 71
Ukurasa unaofuatia