You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Meli iliyosheheni misaada ya chakula yaelekea Gaza
Meli iliyosheheni tani 200 za misaada ya chakula imeanza safari kutoka Cyprus kuelekea katika Ukanda wa Gaza.
Marekani yashambulia maeneo ya Wahotuhi wa Yemen
Waasi wa Houthi walitishia Jumanne kuimarisha mashambulizi yao katika bahari ya Shamu wakati wa mfungo wa Ramadhani.
Biden kuhakikishia Poland msaada huku hofu ikiongezeka Kyiv
Poland mshirika muhimu wa jumuiya ya kujihami NATO yataka msaada wa Marekani kufuatia hatua ya Urusi kuivamia Ukraine.
Mshauri wa zamani wa Trump Navarro aamriwa kuripoti gerezani
Mshauri wa zamani wa Donald Trump Peter Navarro ameagizwa kuripoti gerezani.
Urusi yaionya Marekani dhidi ya kuingilia uchaguzi wake
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky, amepongeza ushindi wa tuzo ya kwanza ya Oscar kwa nchi yake.
Marekani imepeleka vikosi kunusuru maafisa wake Haiti
Marekani imepeleka vikosi kunusuru maafisa wake Haiti
Marekani na washirika wake zadungua droni 15 za Yemen
Waasi wa Houthi wanasema lengo la mashambulizi ni kuishinikiza Israel kusitisha mashambulizi Gaza.
Matumaini ya kupata msaada kwa watu wa Gaza yapata nguvu
Jeshi la Marekani latarajiwa kuongoza shughuli ya ujenzi wa bandari ya dharura pwani ya Gaza.
Biden: Marekani haitoitenga Ukraine katika vita na Urusi
Rais Biden anamwambia Putin Marekani haitoitenga Ukraine
Hamas yasema itaendelea na mazungumzo ya usitishaji vita
Hamas lamesema litaendelea na mazungumzo kupitia wapatanishi hadi watakapofikia makubaliano ya kusitisha vita na Israel.
Juhudi za kusitisha mapigano Ukanda wa Gaza zaendelea
Juhudi za kusitisha vita vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza kabla ya kuanza kwa mfungo wa Ramadhani zinaendelea Kairo.
Hamas yaahidi kuendelea na mazungumzo hadi makubaliano
Kauli ya Hamas inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden wa Marekani kulitolea wito kundi hilo kukubali muafaka haraka.
Majimbo zaidi ya 15 ya Marekani yanapiga kura za mchujo
Uchaguzi wa Marekani
Jumanne Kuu: Majimbo 15 ya Marekani kufanya uchaguzi
Wajumbe wa Democratic na Republican nchini Marekani kuwachagua wagombea wa vyama vyao katika uchaguzi wa Novemba.
Marekani yaonyesha wasiwasi kuhusu hali ya kiutu Gaza
Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris ameelezea wasiwasi wake kuhusu hali ya kiutu katika Ukanda wa Gaza,
Trump na Biden: Wagombea 2 wazee wawania wapigakura vijana
Je, umri wa Biden na Trump una jukumu katika uchaguzi wa raiswa Marekani, na wanaweza kuwavutia kwao wapigakura vijana?
Biden na Trump waendelea kujipigia debe
Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump watafanya ziara kwenye mpaka wa Marekani.
Gaza: Mashirika ya misaada yatahadharisha juu ya baa la njaa
Mashirika ya misaada yametahadharisha juu ya kuzuka baa la njaa katika eneo la kaskazini mwa Ukanda wa Gaza
Korti kusikiliza kesi ya Trump ya kinga ya kushtakiwa Aprili
Mahakama ya juu ya Marekani imekubali kusikiliza madai ya Donald Trump kwamba kama rais wa zamani, ana kinga ya kushtaki
Hizbullah yakabiliana kijeshi na Israel
Hizbullah imekabiliana kijeshi na Israel huku Qatar ikirejelea kauli ya Marekani kuhusu usitishaji wa mapigano ya Gaza.
Marekani: Hatuna mpango wa kupeleka wanajeshi nchini Ukraine
Rais Joe Biden anaamini "njia ya ushindi" ni kwa Marekani kutoa msaada wa kijeshi kwa vikosi vya Ukraine ili kujilinda.
Biden asema usitishaji mapigano Gaza unakaribia
Watu wanaokaribia 30,000 wamekwishauawa na zaidi ya 70,000 kujeruhiwa tangu Israel ianze kuushambulia Ukanda wa Gaza.
Zelensky: Wanajeshi 31,000 wa Ukraine wameuawa vitani
Ukraine ilikuwa haijafichua idadi rasmi ya wanajeshi wake waliopoteza maisha katika vita dhidi ya Urusi hadi sasa.
Marekani yatangaza vikwazo vipya 500 dhidi ya Urusi
Biden ameapa kuendeleza shinikizo kuzuia vita vya rais wa Urusi Vladimir Putin.
Vita Ukraine: Uchumi wa Urusi wasalia imara licha ya vikwazo
Miaka miwili iliyopita Urusi iliwekewa vikwazo vikali baada ya kuivamia Ukraine. Lakini uchumi wake umesalia imara.
Marekani, Uingereza zamuunga mkono Mark Rutte kuiongoza NATO
Hatua ya Marekani na Uingereza kumuunga mkono Rutte inaongeza nafasi yake ya kuwa Katibu Mkuu ajaye wa NATO.
Marekani yaitaka ICJ kutoiamuru Israel kukomesha ukaliaji
Marekani imesema ICJ haipaswi kuilaazimisha Israel kuondoka kwenye ardhi za Wapalestina bila uhakikisho wa usalama.
Israel yaishambulia Gaza baada ya turufu ya Marekani UM
Mataifa yenye nguvu yameshindwa kufikia lengo la kusitisha vita na juhudi za upatanishi pia zimeshindwa kufua dafu.
Wakaazi mashariki mwa Congo wakabiliwa na uhaba wa chakula
Mzozo wa kiusalama mashariki mwa Kongo, umesababisha maelfu ya wakaazi kung'ania chakula.
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Marekani inalaani ghasia mashariki mwa DR Kongo
Israel yakabiliwa na shinikizo dhidi ya kuishambulia Rafah
Rais Biden amefanya mazungumzo na Waziri Mkuu Netanyahu na kutahadharisha dhidi ya kuushambulia mji wa Rafah.
Zelensky azitembelea Berlin, Paris kusaka msaada zaidi
Zelensky anafanya ziara nchini Ujerumani na Ufaransa ambako anatarajiwa kutia saini mikataba ya usalama.
Urusi na China zatofautiana na Marekani na Uingereza
Urusi na China zimeishutumu Marekani na Uingereza kwa kuyashambulia maeneo yanayotumiwa na waasi wa Kihouthi wa Yemen.
IAEA: Iran haiko wazi katika mpango wake wa nyuklia
IAEA: Iran haiko wazi katika mpango wake wa nyuklia
Blinken: Uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Blinken: Uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Korea Kaskazini imefanya jaribio la makombora mengi
Korea Kaskazini imefanya jaribio la makombora mengi
Marekani: Ni vigumu Ukraine kujiunga na NATO Julai
Marekani: hakuna mwaliko wa NATO kwa Ukraine katika mkutano wa kilele wa Julai
Marekani yataka uchaguzi ufanyike kama ulivyopangwa Senegal
Blinken ahimiza uchaguzi wa haraka Senegal
Jeshi la Ethiopia lalaumiwa kuwauwa raia wasiopungua 45
Shirika la Habari la AFP limesema halikufanikiwa kupata maoni kutoka kwa serikali kuu mjini Addis Ababa
Baraza la Seneti Marekani lapitisha msaada kwa Ukraine
Baraza la Seneti la Bunge la Marekani limepitisha muswada wenye kitita cha dola bilioni 95.3 unaojumuisha msaada zai
Israel yashinikizwa kusitisha vita na Hamas
Israel inakabiliwa na shinikizo la kimataifa linaloitaka ikubali kusitisha vita vyake na kundi la Hamas, katika wakati t
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa
Waziri wa Ulinzi Austin asitisha safari baada ya kulazwa hospitalini
Scholz: Kauli ya Trump kuhusu NATO ni ya kutowajibika
Scholz: Kauli ya Trump kuhusu NATO ni ya kutowajibika na hatari
Umoja wa Ulaya walaani kitisho cha Trump kwa NATO
Umoja wa Ulaya walaani vitisho vya Trump kwa NATO
NATO yaonya kauli za kuvuruga umoja wake
NATO yalaani kitisho cha Trump dhidi ya wanachama wake
Mkutano wa Munich: Harris kuongoza ujumbe wa Marekani
Kulingana na Ikulu ya White House, Harris atatoa hotuba muhimu ya sera ya nje
US, UK, EU wataka uchunguzi kuhusu uchaguzi wa Pakistan
Taarifa ya Umoja wa Ulaya imesema hakukua na usawa katika uchaguzi huo
Biden, Scholz kujadiliana msaada kwa Ukraine
Scholz atajadiliana na Biden juu ya kuendeleza msaada wa kijeshi kwa Ukraine.
Israel yaushambulia mji wa Rafah
Israel imeushambulia mji wa Rafah ulioko kusini mwa Gaza leo huku Marekani ikisema hatua za Israel zimechupa mipaka.
Mahakama ya rufaa: Trump hana kinga ya kutoshtakiwa
Trump "hakubaliani kabisa na uamuzi huo na atakata rufaa katika Mahakama ya Juu ya Marekani.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 9 wa 71
Ukurasa unaofuatia