You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Tugutuke: Vijana watumia sanaa kutunza mazingira Mtwara
Salma Mkalibala anazungumza na vijana wa Mtwara kusini mwa Tanzania ambao wameunda mtandao wa kuhamasisha utunzaji wa mazingira kupitia sanaa ya muziki na matamasha ya rika
Maporomoko ya ardhi kaskazini mwa Pakistan yafukia malori 20
Hali hiyo ilitokea baada ya barabara kuu inayopitia katika eneo la Khyber kukumbwa na mvua kubwa zilizosababisha dhoruba
Mawaziri wa G7 waahidi kuachana na mafuta ya visukuku
Aidha limeahidi kwa mara ya kwanza kumaliza uchafuzi mpya wa mazingira utokanao na taka la pastiki ifikapo mwaka 2040.
UN: Zaidi ya Wasomali 140,000 wakimbia mafuriko
Maeneo ya mikoa ya Kusini ya Gedo na Bay yameathirika zaidi huku kukiwa na hatari ya kusambaa kipindupindu
Burundi: Maelfu waachwa bila makazi kufuatia mafuriko
Eneo hilo hukumbwa na hasara sawa na hiyo katika kila msimu wa mvua.
Tanzania: Ripoti ya CAG yazusha joto bungeni
Baadhi ya wabunge waeleza kushangazwa na mamlaka husika kushindwa kuwachukulia hatua wale wote wanaotuhumiwa kwa ufisadi
Ujerumani yapiga jeki miradi ya nishati Kenya
Serikali ya Ujerumani imeipa Kenya shilingi bilioni 6 kwa ajili ya mradi wa nishati ya mvuke.
Dhoruba kali yapiga maeneo ya Marekani
Watu 22 wamekufa mpaka sasa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika dhoruba kali Marekani
UN:yapitisha azimio muhimu kuhusu Tabianchi
Azimio hilo limepitishwa baada ya vuguvugu lililoendeshwa na Jamhuri ya Vanuati kisiwa kidogo katika bahari ya Pasifiki.
Viongozi wa Umoja wa Ulaya wakutana na wamualika Guterres
Viongozi hao wa Umoja wa Ulaya walitarajiwa pia kuidhinisha mpango wa kuipatia Ukraine silaha na makombora zaidi.
Tofali zitokanazo na plastiki
Akiwa na umri wa miaka thelasini, Elie Mapenzi Matabaro ni mmoja kati ya vijana walioanziasha kampuni ndogo inayoitwa Full Development Agency Group, kwakifupi FDA Group, iliyobobea katika ukusanyaji na usindikaji wa taka na kuzigeuza kuwa matofali ya kupamba ua na barabara za miji ya Bukavu na Goma nahivyo kuchangia katika ulinzi wa mazingira.
Blue Earth inavyotunza mazingira Mombasa
Wasiwasi wao kuhusu mabadiliko ya Tabianchi uliwasukuma kuchukua hatua ili kutoa mchango kupambana na changamoto hiyo, hivi sasa shirika la Blue Earth lililoasisiwa na wanawake watatu mjini Mombasa, linafanya zaidi ya kupanda mikoko katika harakati zake za uhifadhi wa mazingira. Ni #kurunziwanawake iliyoandaliwa na Ripota wetu wa Mombasa Fathiya Omar.
Afrika kufikiria kuwekeza katika mipango ya mazingira
Hatua hiyo itazifanya nchi masikini kupunguziwa madeni yake
WHO: Watu 43,000 walikufa kwa ukame Somalia mwaka jana
Watu wapatao 18,000 wanatabiriwa kufa katika miezi sita ya mwanzo ya mwaka huu.
Idadi ya waliokufa Malawi yafikia 326
Idadi ya waliokufa Malawi yafikia watu 326
Ujerumani itashirikiana na Tanzania kutunza mazingira.
Ujerumani: Itashirikiana na Tanzania katika utunzaji wa mazingira.
Idadi ya waliofariki kutokana na kimbunga Freddy yafika 100
Dhoruba hiyo inaweza kuathiri zaidi ya watu milioni 3.3 nchini Msumbiji, Madagascar na Zimbabwe.
Jasiri anaeamini juu ya elimu ya mazingira kwa jamii
Si kila mmoja anaweza kuthubutu kuhusu kuyatunza mazingira lakini kwa jasiri Upendo amethubutu zaidi kwa kuamini elimu pekee ndio suluhisho la kudumu katika kuyatunza mazingira na si elimu tu, bali kuwaelimisha watoto na wanawake kuhusu mazingira bora na ustawi wake.
Mtu na mazingira: UN wataka mtama uwe mbadala wa nafaka zengine
Changamoto za usalama na kimazingira zimechangia pakubwa kwa ukosefu wa chakula katika baadhi ya sehemu duniani. Shirika la Chakula la Umoja wa Mataifa limeutaja mwaka huu kuwa mwaka wa mtama kutokana na kuwa ni mmea unaoweza kuvumilia ukame. Sikiliza makala ya Mtu na Mazingira iliyoandaliwa na Saumu Njama.
Kesi dhidi ya kampuni ya Total Energies yatupiliwa mbali
Mahakama ya Ufaransa imepuulizia mbali kesi dhidi ya kampuni ya mafuta TotalEnergies baada ya kesi dhidi yake
Msimu wa Kimpembe wafikia mwisho baada ya jeraha
Msimu wa beki wa Paris Saint Germain, Presnel Kimpembe umemalizika mapema baada ya beki huyo wa kati raia wa Ufaransa ku
Pembe ya Afrika ipo hatarini kufuatia uhaba wa mvua
ICPAC inahofia kuwa hali itakuwa mbaya zaidi kuliko miaka 10 iliopita, ambapo watu 260,000 walikufa nchini Somalia pekee
Mtu na Mazingira: Mapambano ya Wakulima na Wanyamapori
Alex Mchomvu anamulika jinsi jamii mbalimbali nchini Tanzania zinavyopambana na wanyama pori wanaoharibu mazao.
Ukame wasababisha wafugaji Marsabit kupata hasara
Wafugaji wa Marsabit, Kenya wanakadiria hasara ya mamilioni ya pesa kutokana na makali ya kiangazi kwenye eneo hilo.
Ubunifu wa kupambana na uchafuzi wa mazingira
Baadhi ya vijana kutoka Tanzania wanabuni njia mbadala ya kuhifadhi mazingira kwa ujenzi wa nyumba kupitia mabaki ya chupa za plastiki. #Kurunzi.
Mvua kubwa yasababisha vifo vya watu 36 nchini Brazil
Mvua kubwa imesababisha mafuriko na maporomoko ya udongo ambayo yamewauwa watu 36 nchini Brazil
Korea Kusini yaaita Korea Kaskazini "adui" baada ya miaka 6
Korea Kusini yaaita Korea Kaskazini "adui" baada ya miaka sita
Nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki Kenya
Shirika la Changing Markets Foundation la Uholanzi limesema nguo za msaada zinazidisha uchafuzi wa plastiki nchini Kenya
India na Pakistan kwanini zinazozana juu ya mkataba wa IWT?
Kwanini India inazozana na Pakistan juu ya mkataba wa kihistoria?
Maelfu ya watu waathiriwa na mafuriko Msumbiji
Mafuriko hayo yamesababisha pia uharibifu mkubwa.
RSF yakosoa mazingira ya kifo cha mwanahabari Rwanda
RSF imesema kuwa mchakato huo wa kisheria pamoja na sababu za kifo chake havikuwa wazi.
Rais Lula wa Brazil ziarani nchini Marekani
Hata hivyo Lula na Biden wanatofautiana katika masuala kadhaa ikiwa ni pamoja na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine.
Urusi yaongeza hujuma nchini Ukraine msimu huu wa baridi
Wanajeshi wa Urusi wameimarisha mashambulizi, msimu huu wa baridi kali mashariki mwa Ukraine.
Uganda yaondoa mchoro wa upinde wa mvua bustani ya watoto
Wazazi wanalalamika kuwa mchoro huo ni wa "kishetani" na unakuza vitendo vya ushoga katika taifa hilo.
Kimbunga cha kitropiki kimesababisha mafuriko na maporomoko
Kimbunga cha kitropiki kimesababisha mafuriko na maporomoko ya ardhi
Watu 78 wamefariki dunia katika msimu wa baridi
Maafisa wa Taliban lwasema watu 78 wamefariki dunia katika msimu wa baridi
Mifugo yaathirika na Plastiki mjini Marsabit
Makali ya kiangazi yameendelea kuwaathiri wafugaji katika eneo la Marsabit nchini Kenya wanaolazimika kulisha mifugo mifuko ya plastiki na makaratasi kutokana na kukosekana kwa majani. Mwandishi wa DW Michael Kwena ameandaa vidio hii fupi.
Makabiliano yatokea Lüzerath, Ujerumani
Makabiliano yametokea katika kijiji cha Lüzerath wakati maafisa wa polisi wa Ujerumani walipoingia kuwaondoa wanaharakat
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Kobe wapo katika hatari ya kuwa kitoweo
Lützerath: Wanaharakati wa mazingira wapambana na polisi
Wanaharakati wa mazingira wapambana polisi kwenye kijiji cha Lüzerath wakipinga kupanuliwa mgodi wa makaa ya mawe.
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Geneva: Ujerumani yaahidi kuipa Pakistan Euro milioni 84
Kijana wa Togo aliyevumbua gari la umeme wa jua.
Ni kijana mvumbuzi ambaye hajawahi hata kufika shule ya ufundi. Lakini sasa anaunda gari hili linaloweza kutumia hata nishati ya jua. Tizama zaidi kwenye video hii. #Kurunzi
Marco Rose tumbo joto na safu yake ya ulinzi
Ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga inatarajiwa kurejea viwanjani Ijumaa Janauri 20 kwa pambano kati ya RB Leipzig na mabingwa watetezi Bayern Munich. Grace Kabogo na Josephat Charo wazungumzia duru ya pili ya Bundesliga na mengineyo katika michezo.
Umuhimu wa Popobawa visiwani Pemba
Wataalamu humwita Popo bawa wa Pemba. Hii ni aina ya popo ambao wamekuwa na umuhimu mkubwa katika uboreshaji wa mazingira kwa kula matunda na kuhamisha mbegu za miti mbalimbali ambayo imekua na msaada mkubwa kwa ustawi wa binadamu visiwani Pemba.
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Makampuni ya Ujerumani yalenga kuwekeza zaidi Afrika
Biden aidhinisha msaada wa dharura New York
Mamakala nchini humo zimeonya kwamba hali mbaya zaidi huenda ikashuhudiwa kwa mujibu wa vipimo vya hali ya hewa
Steinmeier kusisitiza 'amani na haki' nchini Ukraine.
Steinmeier amesisitiza kwamba amani ikipatikana basi ni lazima iwanufaishe watu wa Ukraine na sio Urusi.
Asubuhi ya Disemba 24, 2022: Taarifa ya Habari
Zaidi ya watu milioni 200 watahadharishwa kuhusu baridi kali nchini Marekani.// Watu watatu wauawa kwenye shambulizi la risasi mjini Paris Ufaransa na wengine kadhaa wajeruhiwa.// Waasi wa M23 waondoka katika mji walioukamata wa Kibumba mashariki mwa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo
Onyo la baridi kali latolewa kwa watu milioni 200 Marekani
Zaidi ya watu milioni 200 nchini Marekani wametahadharishwa kufuatia baridi kali.
Marekani yakumbwa na dhoruba kali zaidi ya baridi
Zaidi ya watu milioni 200, karibu asilimia 60 ya idadi ya watu wa Marekani wanakabiliwa na hali ya baridi kali.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 27
Ukurasa unaofuatia