You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ahadi za kupunguza uzalishaji wa hewa chafu hazitekelezeki
Ripoti mpya imetolewa huku kukiwa na majadiliano yenye utata katika mazungumzo ya hali ya hewa ya COP28 huko Dubai.
Muungano wa utafiti wa msitu wa mvua wa Kongo wazinduliwa
Msitu wa mvua wa Kongo ni wa pili kwa ukubwa duniani.
Theluji yakatisha safari za ndege Munich
Theluji yakatisha safari za ndege Munich
Marekani yatoa ahadi ya dola bilioni 3 kwa mazingira
Marekani yaahidi dola bilioni 3
Marekani yaahidi dola bilioni tatu kwa mfuko wa mazingira
Marekani itachangia dola bilioni 3 kwa mfuko wa mabadiliko ya tabia nchi duniani, ikiwa ahadi yake ya kwanza tangu 2014.
Theluji yaukumba mji wa kusini mwa Ujerumani wa Munich
Usafiri wa ndege mjini Munich huko kusini mwa Ujerumani unatarajiwa kusitishwa hadi taarifa nyininge itakapotolewa.
Viongozi wa Afrika wataka mataifa yaliondelea yawajibike
Marais wa Afrika wapigia chapuo maliasili zao wenyewe ambazo zinasaidia katika kupungua hewa ya kaboni inayoongeza joto.
Kuna haja gani kuandaa mikutano ya COP kila mwaka?
Ni kwa nini UN huandaa mikutano 28 ya COP kuhusu tabia nchi, mwaka huu ukiwa mara ya 28? Mikutano hiyo ina tija gani?
Mfalme Charles ahimiza ukarabati wa haraka wa mazingira
Mfalme Charles III wa Uingereza amesema dunia iko mbali sana katika kushughulikia mabadiliko ya tabianchi.
COP28 yazindua mfuko wa hasara na uharibifu wa tabianchi
Mkutano wa UN wa COP28 umezindua mfuko wa fidia kwa mataifa yanayokumbwa na hasara ya mabadiliko ya tabianchi.
Mkutano wa COP28 wafunguliwa huko Dubai
Guterres ameonya juu ya kushuhudiwa maafa kamili kwenye mwelekeo wa sasa wa wanadamu ikiwa hatua hazitochukuliwa haraka.
Rais wa COP28 akanusha UAE haitafuti mikataba ya mafuta
Rais wa mkutano wa mazingira wa COP28 akanusha ripoti kuwa UAE inataka kutafuta mikataba ya mafuta.
Vijana wa Afrika wataka hatua zaidi kulinda mazingira
Afrika iko hatarini zaidi kukumbwa na athari za mabadiliko ya tabianchi. Vijana wanataka hatua za haraka za ufadhili.
UN: Tuongeze juhudi kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Wito huo unajiri kabla ya kuanza kwa mkutano wa kilele wa hali ya hewa utakaofanyika huko Dubai.
Manusura 41 wa maporomoko mbioni kuokolewa India
Watu 41 walionasa ardhini kwa waki mbili India wako mbioni kuokolewa
Guterrs: Tuongezeni juhudi kukabili mabadiliko ya tabia nchi
Guterres atoa wito kwa COP28 "kuvunja mzunguko hatari" wa ongezeko la joto duniani.
Watu 10 wamekufa baada ya kimbunga kupiga Ukraine
Watu 10 wamekufa na wengine 23 wamejeruhiwa kutokana na kimbunga na kuanguka kwa theluji nchini Ukraine.
Rais Joe Biden hatohudhuria mkutano wa COP28 Dubai
Rais wa Marekani Joe Biden hatohudhuria mkutano wa kilele wa Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira utakaofanyika Dubai
Ukraine yaonya kuwa Urusi inajaribu kuuteka mji wa Kupyansk
Jeshi la Ukraine limeyazuia mashambulizi manne ya Urusi katika eneo la Kupyansk
Uchafuzi wa hewa uliuwa mamia ya maelfu ya watu katika EU
Watu 250,000 walikufa katika mwaka wa 2021 kutokana tu na uchafuzi uliosababishwa na chembe chembe laini.
Nchi za Ghuba zimejiandaaje baada ya biashara ya mafuta?
Nchi za Ghuba zina mpango kabambe wa nishati endelevu lakini mataifa hayo yamejipangaje baada ya biashara ya mafuta?
Idadi ya vifo kutokakana na mafuriko Somalia yakaribia 100
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko yaliyoikumba Somalia inakaribia 100.
Mataifa ya Afrika na vita dhidi ya taka za plastiki
Baadhi ya mataifa ya Afrika yameibuka kinara duniani katika kupambana na taka za plastiki.
Zelenskiy: Baridi inafanya mapigano kuwa magumu kwa Ukraine
Zelenskiy asema baridi inafanya mazingira ya mapigano kuwa magumu kwa majeshi yake
Kenya: Mafuriko yasababisha hali mbaya ya kiutu Dadaab
Mashirika yaonya juu ya hali mbaya ya kiutu ikiwemo mripuko wa magonjwa baada ya mafuriko kuikumba kambi ya Daadab.
Mafuriko yamesababisha vifo vya watu 50 Somalia.
Mafuriko yauwa 50 Somalia
Mvua yaathiri kaya elfu 80 kote nchini Kenya
Mvua yaathiri kaya elfu 80 kote nchini Kenya
Mahojiano ya Kinagaubaga 21.11.2023
Kinagaubaga kinajikita katika athari za mvua huko Mombasa, Kenya ambapo Rashid Chilumba anazungumza na Daniel Manyala ambae ni waziri wa miundombinu wa kaunti hiyo.
UN: Wakimbizi wa Kipalestina wanaishi katika mazingira duni
OCHA imesema wakimbizi hao wamekuwa wakilala nje na kuishi katika mazingira duni ambapo watu 150 hutumia choo kimoja.
Wanamazingira wataka mradi wa gesi Msumbiji kusitishwa
Wanamazingira duniani wameandika barua kwa wafadhili wa mradi wa gesi asilia Msumbiji wakitaka kusitishwa ufadhili.
Watu 21 wafariki kufuatia mvua kubwa Jamhuri ya Dominica
Takriban watu 13,000 wamehamishwa huku mikoa mengi kati ya 32 ya taifa hilo yakiwekwa chini ya tahadhari.
Mvua kubwa zavuruga usafirishaji mizigo, bandari ya Mombasa
Pembe ya Afrika imekumbwa na mvua kubwa na mafuriko yanayohusishwa na hali ya hewa ya El Nino hivi karibuni.
Mkutano wa Biden na Xi, Je! Ujerumani iko mahala gani?
Mwanazuoni Hanns Maull amesema hakuna uhakika iwapo mazungumzo hayo yataleta ufumbuzi.
Baerbock aonya kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi
Baerbock asema athari za mabadiliko ya tabianchi zinaathiri kila mtu
Joto kali kusababisha vifo zaidi kufikia 2050
Watafiti hao wameonya kwamba mamilioni ya watu watakabiliwa na Ukame zaidi utakaosababisha baa kubwa la njaa.
Umoja wa Mataifa waonya ongezeko la joto duniani
Umoja wa Mataifa waonya óngezeko la joto duniani
APEC kuzingatia zaidi masuala ya mazingira na usawa
Viongozi wa mataifa ya jumuiya ya uchumi ya Asia na Pasifiki wanataka kuboresha ushirikiano katika mazingira na usawa.
Leverkusen yaweka rekodi ya mwanzo bora wa msimu
Bayer Leverkusen chini ya kocha Xabi Alonso inaendeleza mwanzo bora zaidi wa msimu wa Bundesliga.
Uchimbaji wa madini ya Kinywe, rafiki kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira inaangazia uchafuzi wa mazingira unaotokana na vyombo vya usafiri na hatua ya Tanzania, kuanza kuchimba madini ya kinywe unavyoweza kuchochea uwepo wa magari ya umeme, yanayotajwa kuwa rafiki wa mazingira.
Zelensky ahofia mashambulizi ya Urusi ya msimu wa baridi
Zelensky ametoa tahadhari hiyo wakati Kyiv ikisema kwamba inaimarisha ulinzi wake haswa wa mifumo ya anga.
EU yaridhia kuhusu sheria ya kurekebisha mazingira asilia
Asilimia 80 ya makaazi asili ya viumbe hai katika umoja huo, yapo kwenye hali mbaya.
FAO: Zaidi ya watu milioni 23 walikabiliwa na njaa, 2022
FAO limesema mmoja kati ya watu watano kwenye ukanda huo hapati mlo kamili na kuibua kitisho cha aina zote za utapiamlo.
Msimu Mpya wa Noa Bongo Jenga Maisha Yako
Huu ni msimu mwingine wa kuandaa michezo yetu ya kuigiza,awamu hii tukiangalia "Uraibu wa matumizi ya teknolojia."
Athari za mvua katika jiji la Dar es salaam
Hali ya mvuka katika maeneo ya Afrika Mashariki imeleta madhara ikiwemo maji kuvamia makaazi ya watu na kuleta madhara.
Kenya yatangaza sikukuu ya kupanda miti
Serikali ya Kenya imewashangaza wengi kwa kutangaza sikukuu ya umma ifikapo Novemba 13 kama siku maalum ya upandaji miti
Mtu na Mzingira: Uchimbaji wa madini ya Kinywe rafiki kwa mazingira
Makala ya Mtu na Mazingira leo hii inaangazia uchimbwaji wa madini ya Kinywe au Graphite nchini Tanzania na namna unavyosaidia kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kutokana na malighafi ya madini hayo kutengeneza betri za magari ya umeme ambayo ni rafiki wa mazingira. Msikilize Anuary Mkama.
Mafuriko yaua watu 14 Kenya, familia elfu 15 zaathirika
Mvua zinazoendelea kunyesha katika baadhi ya maeneo kusini mwa Afrika zimesababisha madhara ikiwemo vifo nchini Kenya.
Mkutano wa mabadiliko ya tabianchi wamalizika Abu Dhabi
Mkutano huo ulijadili kuhusu hazina ya hasara na uharibifu unaohusiana na mabadiliko ya hali ya hewa.
Dhoruba Ciaran yaua watu 7 magharibi mwa Ulaya
Watu wasiopungua 10 wamekufa na wengine wamejeruhiwa, baada ya dhoruba "Ciaran" kupiga Ulaya Magharibi.
Nguo zilizotengenezwa kwa rangi za taka za chakula, Kenya
Kampuni ya nchini Kenya inayotengeneza nguo za wanawake pekee, inafafanua upya mtindo kwa kuunda mavazi kutumia rangi za matunda na mboga zinazotokana na taka za chakula.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 6 wa 27
Ukurasa unaofuatia