You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Smartphone
Smartphone ni simu ya mkononi inayojumlisha sifa za simu ya kawaida na computer.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mwanafunzi ashikiliwa kwa kumuuwa mwalimu Kenya
Mwanafunzi wa kidato cha nne akamatwa kwa kumuuwa mwalimu nchini Kenya
Mjadala kuhusu kodi ya utumaji fedha kwa njia ya simu Uganda
Kutokana na hatua hiyo, wananchi wameweza kufahamu ni mbunge gani asiyesikia kilio chao
DW moja kwa moja kwenye simu yako kupitia WhatsApp
Unaweza kupokea habari, picha, vidio na sauti zenye ujumbe wa kukuchangamsha moja kwa moja kwenye simu yako.
Kutumiana ujumbe wenye maudhui ya ngono imekuwa janga
Kutumiana ujumbe wa kingono kwenye simu imekuwa ndio mtindo wa vijana siku hizi. Lakini unazitambua athari zake?
Vijana na simu za mkononi
Kivutio kikubwa cha vijana katika simu za mkononi ni michezo tofauti iliyomo. Hapa ni mjini Paris Ufaransa katika bustani ya umma ya Luxembourg ambayo inajulikana sana kwa vijana kukongamana ili kucheza tu mchezo maarufu wa Pokemon Go.
Waijua tofauti ya 2G, 3G na 4G?
Katika sekta ya mawasiliano ni kawaida sana kusikia wataalamu wakitaja teknolojia ya 2G, 3G, 4G na pengine 5G. Watumiaji wa simu aina ya smartphones wanatumia simu zenye uwezo wa teknolojia hizo pasipo kufahamu maana yake, ndio maana Sylvia Mwehozi anakuletea makala ya Sema Uvume ili ufahamu mengi zaidi kuhusu hilo.
Bei ghali ya data ni kikwazo cha maendeleo kwa vijana Afrika Kusini
Mtandao huweza kufungua milango. Lakini wakati data ni ghali, sehemu ya jamii hasa vijana huachwa nyuma. Nchini Afrika Kusini kampeni kama #DataMustFall zinataka kampuni za data kupunguza bei.
TotoHealth kuhakikisha afya ya mama na mtoto
Ifahamu huduma ya simu ya mkononi inayoitwa TotoHealth inayotaka kuhakikisha hakuna mama anaepoteza maisha akijifungua.
Tahadhari! 'Smombies' wapo kila mahali
Huku wakiwa wamezama ndani kabisa ya ulimwengu wao wenyewe, wakiwa na headphones zao kwenye maskio, wakibofyabofya au kusoma ujumbe, wakicheza magemu wakitembea – kitu ambacho wataalamu wanakiita “Smombie”, yaani "smartphone zombies" kwa Kiingereza. Ni kitu kinachoonekana kila siku barabarani na watu hawa wanahatarisha maisha yao na maisha ya wengine.
App ya walemavu wa kusikia
Watu wenye ulemavu wa kusikia mara nyingi hupitwa na maelezo yanayowasilishwa kisauti kupitia simu za mikononi au hata vyombo vingine vya mawasiliano. Sasa kuna app iliyozinduliwa ya kuwawezesha kupata ujumbe. Jacob Safari anaeleza mengi kwenye makala- Sema Uvume
Ethiopia yaendelea kuzima mitandao
Waziri wa Mawasiliano anasema hatua hiyo ni kuwawezesha wanafunzi kujikita katika masomo wakati mtihani ukikaribia.
Gabriel hakupokea simu yangu-Netanyahu
Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema alijaribu kumpigia simu waziri wa mambo ya nchi za nje wa Ujerumani.
Mambo ya kufanya ukiwa saluni
Tunatumia muda mwingi tukiwa saluni kwa kinyozi ama kwa msusi. Mbali na kupiga stori na kuchat, ni mambo gani unayoweza kufanya kutumia muda huo vizuri? Bruce Amani ana majibu katika Vijana Mchakamchaka.
Je, unaweza kuacha simu kwa muda?
Ukiamka asubuhi kitu cha kwanza unafanya nini? Wengi tunaangalia simu ya mkononi. Na tunajua hatupo peke yetu. Tukiamka tu tunaangalia nani katutumia ujumbe mfupi katika Whatsapp, wakati tulipokuwa tumelala. Simu za mkononi zimekuwa sehemu kubwa sana ya maisha yetu, jambo linaloipa wasiwasi jamii. Kuna programu za kusaidia kupunguza matumizi ya simu..
Fahamu kuhusu simu zisizoingia maji
Kuna tofauti za istihali mbili za kiufundi zinazotumika kuelezea uwezo wa simu kuzuia kupenyeza maji, ambazo kwa lugha ya kigeni ni "water proof" na "water resistance." Moja inamaanisha kuzuwia maji kupenya kikamilifu na ya pili ni kuzuwia maji kupenya kwa kiasi tu. Utasikia pia jinsi ya kupunguza matumizi ya umeme ya computer.
Simu ya mwisho ya Obama kwa Merkel
Simu hiyo ni ya mwisho kwa Obama kuifanya na kiongozi wa kigeni wakati akijiandaa kuondoka madarakani.
Njia za kuongeza kasi ya kompyuta
Katika ulimwengu wa leo wengi wetu tunategemea sana vifaa vya kidijitali kurahisisha maisha yetu. Na pale vinapogoma kufanya kazi, tunabaki kubabaika. Sema Uvume imekuandalia njia za kuifanya compyuta yako ifanye kazi kwa kasi na namna ya kuiwezesha betri ya simu iwe na maisha marefu.
Trump avunja itifaki kwa kumpigia simu rais wa Taiwan
Kulingana na timu ya mpito ya Trump, viongozi hao wawili walizungumzia uchumi, siasa pamoja na masuala ya kiusalama
Wasiwasi waendelea kuhusu simu hatari ya Galaxy note 7
Samsung kuwatumia wateja wake walioko Marekani makasha yanayoweza kustahimili moto, kuweka Note 7 wanazorejesha
Faida za simu ya Smartphone
Watu wajenga uhusiano kupitia Smartphone
Upande mchafu wa simu yako ya mkononi
Makampuni ya kuunda simu za mkononi yaandaa tamasha la simu bora zaidi maarufu kama Crème de la Crème.
Ukosefu wa maadili katika kampuni za kutengeneza simu
wanaharakati wanailaumu sekta hiyo kwa kupuuzia ukiukaji wa haki za kibinadamu unaofanywa katika makampuni ya simu
Upinzani wapinga kuzuiwa simu za mkononi
Tume Huru ya Uchaguzi ilipiga marufuku ya matumizi ya simu za mkononi umbali wa mita 100 kutoka kituo cha kura.
Upinzani wapinga marufuku ya simu za mikononi vituoni
Siku moja kabla ya uchaguzi mkuu, wapinzani wanapinga marufuku ya Tume ya Uchaguzi kwa simu za mkononi.
Rwanda: huduma za benki kwenye simu za mikononi
Barani Afrika idadi kubwa ya watu wanatumia simu za mikononi kupata huduma za benki, na hivyo kuanza kuwa tishio kwa wamiliki wa benki. Ungana na Sylivanus Karemera kujua ukweli wa suala hili.
"App" ya DW kwenye simu yako
Sasa unaweza kupokea taarifa, habari, makala na mengi mengineyo moja kwa moja na tena bila malipo kutoka DW Kiswahili.
Wafanyabiashara wadogo wanufaika na mikopo kwa njia ya simu
Wakenya wengi hutumia Mpesa na thuluthi mbili ya watumiaji wa Mpesa wamekuwa watumiaji wa Mshwari
Wafanyabiashara wadogowadogo Kenya wanufaika na mikopo kwa njia ya simu
Kitu pekee kinachowazuia watumiaji wa Mpesa, ni viwango vya riba ya mikopo. Miaka mitatu tangu kuanzishwa kwa huduma ya Mshwari, idadi ya watumiaji imeongezeka kutoka 0 hadi milioni 10.
HUDUMA MPYA YA UJUMBE WA SIMU YA MKONONI
Huduma hii ni kwa wateja wa Tanzania kwa ushirikiano wa Vodacom
Ujerumani ilisikiliza simu ya Erdogan
Uhusiano kati ya Ujerumani na Uturuki unaonekana kuyumbishwa baada ya uchunguzi kubaini kuwa shirika la kijasusi la Ujerumani limekuwa likisikiliza mazungumzo ya simu ya baadhi ya wanasiasa wa Uturuki.
DW kwenye simu yako ya mkononi
m-dw.de - Anwani yetu ni rahisi kuikumbuka na kuitumia. Soma taarifa za DW za kimataifa na uchambuzi zilizotayarishwa kwa ajili yako ukiwa kwenye mwendo.
Rais Poroshenko, kuzungumza kwa simu na Vladimir Putin
Rais mpya wa Ukraine amepata uungwaji mkono na viongozi wa Ujerumani na Ufaransa kuhusiana na mpango wa mazungumzo ya simu leo(29.06.2014) na rais wa Urusi Putin wakati muda wa mwisho wa kusitisha mapigano unakaribia.
Ujerumani yachukizwa na udukuzi wa simu ya Merkel
Ujerumani hii leo imemuita balozi wa Marekani nchini humo John B. Emerson kuzungumzia madai kwamba Idara ya usalama wa kitaifa ya Marekani imekuwa ikiyafuatilia mawasiliano ya simu ya mkononi ya kansela Angela Merkel.
Ufaransa yataka Marekani iache udukuzi wa simu
Ufaransa imeitaka rasmi Marekani iache kudukiza mazungumzo ya simu ya raia wa Ufaransa lakini wakati huo huo imeashiria kutaka kuutuliza mzozo juu ya suala hilo.
Obama azungumza na Rouhani kwa njia ya simu
Rais wa Marekani Barack Obama na Rais Hassan Rouhani wa Iran wamezungumza kwa njia ya simu, ikiwa ni mara ya kwanza viongozi wa nchi hizo kuzungumza moja kwa moja tangu mwaka wa 1979
Maoni ya wahariri juu ya kudakizwa mawasiliano ya simu na mtandao nchini Marekani
Wahariri wanatoa maoni juu ya kashfa inayohusu kudakizwa mawasiliano ya simu na ya mitandao nchini Marekani na duniani kote Pia wanazungumzia juu ya mkutano wa Obama na Xi Jinping .
Vidio: Kupata fedha kwa kutumia 'Smartphone'
Mwenye simu aina ya 'Smartphone' ana uwezekano wa kujipatia fedha huku akiwa njiani. Iwe bustani ya mapumziko iliyo safi, piga tu picha na itume. Muajiriwa hapa anatuma habari akiwa mpitanjia.
Wanafunzi wa Uganda wavumbua "Mafuta-Go"
Huduma za simu za mkononi zinazofahamika kama "Apps" zinapata watumiaji wengi Afrika, ambapo wanafunzi wawili wa teknolojia ya habari wa Uganda wamebuni App inayoonyesha mahali pa kununua mafuta ya gari.
M-PESA: Simu ya mkononi inapokuwa benki
Mambo mengi yamebadilika nchini Kenya tangu pale kampuni ya simu za mkononi, Safaricom, kuanzisha huduma ya M-Pesa ambayo wateja huitumia kutuma fedha kupitia ujumbe mfupi wa maandishi kwa simu ya mkononi.
Wizi wa nyaya za umeme, simu waongezeka Ujerumani
Leo magazeti ya Ujerumani yanazungumzia kuogezeka kwa uhalifu wa wizi wa nyaya za umeme, mgogoro wa ndani wa kisiasa linapohusika suala la muelekeo wa serikali kwenye sarafu ya euro na sera ya nishati ya Ujerumani.
Afrika na matumizi ya simu za mkononi
Matumizi ya simu za mkononi yamerahisisha mambo mengi barani Afrika. Takriban kila mtu wa pili barani humo anasimu ya mkononi na idadi inaongezeka kwa kasi.
Wahariri wa magazeti walizungumzia sakata la kashfa ya unasaji wa simu za faragha
Uingereza bado yasakamwa na kashfa ya magazeti.
Kashfa ya kunasa mawasiliano ya simu yamuathiri Cameron
Waziri mkuu David Cameron huenda akasalimika katika kashfa ya kunasa mazungumzo ya simu katika himaya ya vyombo vya habari ya Rupert Murdoch, lakini hadhi yake imeathirika.
Kashfa ya simu yamuangusha mkuu wa polisi Uingereza
Kashfa ya kunasa mazungumzo ya simu ya kampuni News Corporation imemgharimu wadhifa wake mkuu wa polisi nchini Uingereza na kuzusha hofu Waziri Mkuu David Cameron, anavyolishughulikia suala hilo.
Waislamu Ulaya: Msaada wa huduma ya simu kwa vijana wa Kiislam Uingereza
Vijana wa Kiislam wa nchini Uingereza wanasita kuomba msaada kutoka vyombo vya serikali wakihofia kutokueleweka na katika kukabiliana na tatizo hilo, imetengenezwa huduma mpya ya simu inayoitwa The Muslim Youth Helpline
Mgogoro wazuka kuhusu Kampuni ya Simu ya Safaricom nchini Kenya
Mgogoro mpya umezuka nchini Kenya kati ya serikali na chama cha ODM kuhusu uamuzi wa serikali kuuza hisa zake kwenye kampuni ya simu ya Safaricom.
Kansela Merkel afanya mazungumzo ya simu na Wen Jiabao
China yarudisha uhusiano mzuri na Ujerumani
Kiwanda cha simu za Nokia Ujerumani kufungwa
Sheria ya uchunguzi katika internet na simu yatiwa saini.
WASHINGTON: Mazungumzo ya simu na barua pepe kudakwa Marekani
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 2 wa 3
Ukurasa unaofuatia