You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Abu Bakar al-Baghdadi
Abu Bakar al-Baghdadi ni kiongozi wa kundi la kigaidi linalojiita “Dola la Kiislamu” (IS).
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Volker Turk wa UN atoa mwito wa haki kuzingatiwa Syria
Turk ametowa mwito huo katika mkutano na waandishi habari mjini Damascus.
Waziri wa Maendeleo wa Ujerumani Schulze, aitembelea Syria
Waziri huyo wa maendeleo wa Ujerumani amesema Syria hivi sasa inayo fursa ya kuwa na amani na maendeleo baada ya Assad.
Mazungumzo kati ya Uingereza na Iraq kuashiria 'enzi mpya'
Mazungumzo hayo yametajwa na Iraq kuwa hatua ya kuashiria enzi mpya ya uhusiano kati ya nchi hizo mbili.
Ulaya, Arabuni wakutana kuijadili Syria
Mkutano huu unafungua mlango wa ujenzi mpya kwa taifa hilo muhimu kimkakati katika eneo la Mashariki ya Kati.
Mawaziri wa EU wajadili kulegeza vikwazo dhidi ya Syria
Kulegezwa kwa vikwazo kutategemea viongozi wapya wa Syria kutekeleza mchakato wa mpito wa kisiasa.
Israel yashambulia njia za kusafirisha silaha kwa Hezbollah
Jeshi la Israel limeeleza kwamba limezilenga ngome za kundi la wanamgambo la Hezbollah.
Mkutano wa kuisaidia Syria wafanyika Saudi Arabia
Mazungumzo hayo yanalenga kuiondolea vikwazo serikali ya sasa ya Syria baada ya kuanguka utawala wa Assad.
Wanadiplomasia wa Kiarabu na Ulaya wakutana kuisaidia Syria
Mataifa yenye nguvu duniani yanashinikiza kuwepo kwa utulivu baada ya kuanguka kwa utawala wa Bashar al-Assad.
Ujerumani kuhudhuria mkutano wa kimataifa juu ya Syria
Watu watatu wameuawa katika mkanyagano nje ya msikiti mmoja mjini Damascus
Uturuki yasema haina nia ya kuchukua eneo lolote la Syria
Uturuki imesema haina nia ya kulichukua eneo lolote la Syria kufuatia kuondolewa madarakani Bashar al-Assad.
UN: Wasyria wapate haki baada ya Assad kuanguka
Mjumbe Maalum wa Umoja wa Mataifa kwa Syria, Geir Pedersen amesema Wasyria wanapaswa kupata haki katika wakati huu.
Lebanon yamchagua rais katikati mwa mizozo ya kikanda
Uchaguzi huo wa Lebanon pia unafanyika baada ya kuangushwa kwa aliyekuwa rais wa nchi jirani Syria Bashar al-Assad.
Assad ameondoka: Je, Syria bado inastahili vikwazo?
Wataalamu na wajuzi wanasema vikwazo vya kurithi vinahatarisha kipindi cha mpito cha amani kwa serikali mpya ya Syria.
Waziri wa mambo ya nje wa Syria aitembelea UAE
Umoja wa Falme za Kiarabu una wasiwasi na watawala wapya wa Syria wenye misimamo ya itikadi kali za kiislamu.
Waziri mpya wa nje wa Syria aanza ziara ya kwanza UAE
Waziri mpya wa mambo ya nje wa Syria aanza ziara ya kwanza katika Umoja wa Falme za Kiarabu
Watu zaidi ya 100 wauawa kaskazini mwa Syria
Mapigano makali yameripotiwa kati ya vikosi vya Kikurdi na vikosi vinavyoungwa mkono na Uturuki kaskazini mwa Syria.
Mali: Tumemkata kiongozi wa tawi la IS Sahel
"Abu Hash" anashutumiwa kwa ukatili dhidi ya watu katika maeneo yaliyopo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.
Syria: Safari za ndege za kimataifa Damascus kuanza tena
Safari za kibiashara zilikuwa zimesitishwa kufuatia kuondolewa madarakani kwa rais Bashar al-Assad mwezi uliopita.
Baerbock: EU inaendelea kufuatilia mchakato wa kisiasa Syria
Baerbock ameyasema hayo mjini Damascus Syria ambako yeye na waziri mwenzake wa Ufaransa Jean-Noël Barrot, walizuru.
Ulaya kuisaidia Syria ya baada ya Assad
Ujerumani na Ufaransa zimeahidi kuendelea kuisaidia Syria wakati ikianza ujenzi mpya wa taifa baada ya Assad.
Baerbock na mwenzie wa Ufaransa wakutana na viongozi Syria
Annalena Baerbock na mwenzake wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot wamekutana Damascus na kiongozi wa Syria Ahmad al-Sharaa.
Syria: Wafungwa chini ya utawala wa Assad waachiwa huru
Maelfu walitoweka katika magereza ya Syria chini ya Bashar al-Assad, lakini sasa baadhi wanarejea na kuungana na familia
Mawaziri wa Kigeni wa Ujerumani, Ufaransa waizuru Syria
Juhudi za mataifa ya Magharibi kuhakikisha usalama wa maslahi yao baada ya kuondoshwa madarakani Bashar al-Assad.
Watawala wapya wa Syria wafanya mazungumzo nchini Saudia
Saudi Arabia ilikata uhusiano na serikali ya Assad 2012 na kuwaunga mkono waasi wa Syria waliotaka kumpindua Assad.
Vikosi vya Syria vyaanzisha operesheni Homs
Wakazi wa maeneo ya Wadi al-Dhahab na Akrama wameombwa kubaki ndani ya nyumba zao wakati wa operesheni hiyo.
Papa asikitishwa na mauaji ya New Orleans
Papa anaombea uponyaji kwa waliojeruhiwa na utulivu wa moyo kwa waliofikwa na msiba.
Ujumbe wa Syria wazuru Saudia, waandamanaji Douma wadai haki
Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria Assaad al-Shibani, alisema wanataraji kufungua ukurasa mpya wenye mwanga na Saudia.
Mashambulizi ya ADF yasababisha vifo vya watu 12 Kongo
Mashambulizi hayo yanatokea baada ya mkururo wa mashambulizi mengine ya ADF wakati wa Krismasi.
Viongozi waandamizi wa Syria wafanya ziara ya kwanza Saudia
Ujumbe huo umeongozwa na waziri wa mambo ya nje, waziri wa ulinzi na mkuu wa idara ya ujasusi.
Biden: Mshambuliaji wa New Orleans alichochewa na IS
Saa chache kabla ya shambulio, mshambuliaji huyo alichapisha video mitandaoni zinazoashiria kuchochochewa na IS.
Saudi Arabia yaanza kampeni ya kupeleka misaada Syria
Umoja wa Mataifa umeeleza kwamba watu saba kati ya kumi wanahitaji msaada nchini Syria.
Syria yamteua kamanda wa HTS kuwa waziri wa ulinzi
Abu Qasra, mwenye umri wa miaka 41, analenga kuimarisha jeshi la Syria huku akikabiliana na vitisho vya usalama.
2024 ulikuwa mwaka wa damu na mauti Mashariki ya Kati
Mwaka 2024 ulikuwa mwaka wa umwagaji damu, mauaji, na mabadiliko ya utawala kwenye eneo la Mashariki ya Kati.
Meza ya Duara: Mapitio ya matukio ya 2024
Meza ya Duara inayatathmini matukio makubwa ya 2024 na athari yake kwa mwaka 2025 katika siasa za kilimwengu.
Waasi nchini Kongo waua watu 21 wiki ya Krismasi
Mashambulizi hayo yalifanywa karibu na mji mdogo wa Manguredjipa unaofahamika kwa utajiri wake mkubwa madini.
Wanajeshi wa Israel wavamia na kuchoma hospitali Gaza
Tukio hili lilitokea baada ya wanajeshi hao kuwafukuza kwa nguvu wafanyakazi wa hospitali na wagonjwa waliokuwepo.
Israel na Wahouthi washambuliana kwa makombora
Israel iliupiga uwanja wa ndege wa kimataifa wa Sanaa unaodhibitiwa na waasi na maeneo mengine nchini Yemen.
Watawala wapya wa Syria waanza kuwasaka masalia wa Assad
Mamlaka ya Syria pia imepiga marufuku ripoti za habari zenye mwelekeo wa kuchochea tofauti za kimadhehebu.
Watawala wa Syria waanzisha operesheni kwenye ngome ya Assad
Wapiganaji watatu wanaohusishwa na serikali iliyoangushwa ya Bashar al-Assad waliuawa kwenye operesheni hiyo.
Watawala wa Syria waanzisha operesheni kwenye ngome za Assad
Serikali ya mpito ya Syria imeanzisha leo operesheni kwenye ngome ya rais aliyeondolewa madarakani Bashar al-Assad.
Polisi 14 wa Syria wauawa katika shambulio ka kuvizia Tartus
Wizara ya mambo ya ndani ya Syria imesema askari polisi 14 wameuawa katika shambulio la kuvisia Tartus.
Polisi 14 wa Syria wauawa shambulio la kuvisia Tartus
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Syria amesema askari 14 wameuawa na 10 kujeruhiwa mapigano na vikosi vya utawala uliyopita.
Al-Shibani aiambia Iran isieneze machafuko nchini Syria
Kuondolewa madarakani kwa Assad kunachukuliwa kama pigo kwa muungano wa kisiasa na kijeshi unaoongozwa na Iran.
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka chini silaha
Makundi ya waasi Syria yakubali kuweka silaha chini na kuwa chini ya wizara ya Ulinzi
Jeshi la Marekani lawaua wapiganaji wawili wa IS, Syria
Kundi la IS liliangamizwa mwaka 2019 lakini mizizi yake bado ipo nchini Syria
Kiongozi mpya wa Syria asema serikali itadhibiti silaha zote
Ahmed al-Sharaa amesema silaha zote, zikiwemo zile zinazoshikiliwa na Wakurdi, zitakuwa chini ya udhibiti wa serikali.
Al-Sharaa: Raia wa Syria wanapaswa kujiamulia wenyewe
Hayat Tahrir al-Sham iliunda serikali ya mpito Syria baada ya kuondolewa madarakani Bashar al-Assad mapema mwezi huu.
Mchunguzi UN asema uthibitisho wa mashtaka Syria unawezekana
Robert Petit amesema uwezekano wa kupata uthibitisho wa uhalifu ni mkubwa, lakini vituo vinahitaji kulindwa visifikiwe.
Kiongozi wa Syria asema serikali kudhibiti silaha zote
Ahmed Al-Sharaa alisema haya wakati wa mkutano wa habari na waziri wa mambo ya nje wa Uturuki Hakan Fidan.
Kiongozi mpya Syria aahidi kuheshimu mamlaka ya Lebanon
Ahmed Al-Sharaa amesema Syria haitajihusisha tena kwa njia hasi nchini Lebanon baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 74
Ukurasa unaofuatia