You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Je, wajuwa? Hiki ndicho kipindupindu
Chimbuko la maradhi haya ni Delta ya Ganges iliyo kusini mwa Asia.
Trump yauweka njiapanda mkutano wa mazingira
China yaelezea nia ya dhati kuulinda mkataba wa mazingira wa Paris
Biashara ya Ubani Somalia iko katika tishio
Uvunaji wa ubani wa kupitiliza unasababisha uharibifu wa misitu na mazingira.
Uchafuzi wa Ziwa Naivasha, Kenya
Ziwa Naivasha lipo katika eneo la Bonde la Ufa nchini Kenya. Wakazi wa Naivasha na maeneo yanayozunguka wanalitumia kwa ajili ya uvuvi. Hata hivyo, mazingira ya ziwa hilo yanachafuliwa na shughuli za kibinadamu. Bernard Maranga anaangazia jambo hilo katika Mtu na Mazingira.
Trump na sheria mpya za mabadiliko ya hali ya hewa
Ameapa kulinda sekta ya makaa ya mawe
Miujiza ya mawingu
Wanasayansi wazindua kifaa kipya cha kipimo (atlasi) kufichua siri iliyoko kuhusu mawingu
F1: Vettel auanza msimu kwa ushindi
Mjerumani Vettel wa timu ya Ferrari alishinda mbio hizo za Australia Grand Prix
Ziwa Tanganyika lakumbwa na athari za kimazingira
Shughuli za kibinadamu ni miongoni mwa kitisho chenye kuathiri ziwa hilo la pili kwa ukubwa Afrika.
Jinsi ya kupambana na baridi Ujerumani
Ujerumani na Ulaya kwa ujumla ziko katikati ya msimu wa baridi. Theluji hudondoka na barabara zateleza. Watu wanafanya nini kujikinga na baridi na magonjwa? Elizabeth Shoo anaelezea katika Sura ya Ujerumani.
Baridi kali yaathiri maeneo mengi barani Ulaya
Baridi kali inayoandamana na barafu inatishia maisha ya watu na inavuruga mifumo ya usafiri
Waziri wa mazingira Burundi auawa
Waziri Emmanuel Niyonkuru alishambuliwa na mtu asiyejulikana wakati ambapo alikuwa akielekea nyumbani
Matangazo ya Asubuhi 11.12.2016
Sikiliza makala za Mtu na Mazingira, Utamaduni na Sanaa, Afrika katika magazeti ya Ujerumani na kadhalika.
Trump ahimizwa kulinda mazingira
Viongozi wa siasa na biashara wamemtaka kutoindoa Marekani katika mkataba wa mabadiliko ya hali ya hewa wa Paris.
Watu masikini waathirika zaidi na mabadiliko ya tabia nchi
Serikali zinahitaji kuwekeza zaidi katika kukabiliana na madhara ya mabadiliko ya tabia nchi
Hatutamtegemea Trump ili kubadili mazingira
Viongozi wasema hawatomkubalia rais mteule wa Marekani Donald Trump kuvuruga mkataba wa tabia nchi
Uchaguzi wa Rais wahanikiza Magazetini
Uchaguzi wa rais wa Marekani,na mjadala wa rais Ujerumani Magazetini
Makubaliano kudhibiti gesi zenye kuchafuwa sana mazingira
Gesi zinazochafuwa sana mazingira kudhibitiwa
Wavuvi wanufaika kwa nishati ya jua
Kijiji cha wavuvi nchini Cape Verde ambacho hakiwezi kumudu gharama za barafu za kuhifadhia samaki, wamewkeza katika jokofu la nishati ya jua kukabiliana na tatizo lao.
Kuchomwa kwa misitu Indonesia
Ukataji na uunguzaji wa misitu Indonesia umesababisha vifo vya watu 100,000 na kuwatia maradhi wengine 500,000.
Waziri wa mazingira wa Ujerumani azuru Kenya
Waziri wa mazingira Ujerumani ziarani Afrika
Barbara Hendricks amesema Ujerumani inaichukulia Rwanda kama mshiriki muhimu kwenye suala la hifadhi ya mazingira.
Maisha katika eneo lililochafuliwa na mafuta
Nigeria ina hazina kubwa ya mafuta katika bara la Afrika ambayo husafirishwa duniani kote. Hata hivyo nchi hiyo haijaweza kuwaletea wakaazi wake hali bora ya maisha.
Bundesliga yatifua vumbi
Bundesliga yatifua vumbi
Bundesliga yatifua vumbi
Umeme wa Jua, nishati mbadala Barani Afrika
Umeme wa Jua, nishati mbadala Barani Afrika
Kilimo asilia chaimarika
Licha ya ukame unaosababishwa na mabadiliko ya tabia nchi, wakulima wa Makuweni nchini Kenya wana njia za kukabiliana na hali hiyo na kujizalishia chakula cha kutosha. Katika vidio hii, mkulima anazungumzia jitihada za kuchanganya mbinu za kale na sasa katika kilimo, zikiwemo za uhifadhi wa maji ya mvua, upandikizaji miche na udhibiti wa wadudu wanaoharibu mazao, bila kutumia kemikali za sumu.
Mwandishi Chipukizi wa Mazingira nchini Tanzania
Katika mji wa Mwanza nchini Tanzania, Getrude Clement na wenzake wanacho kipindi cha redio cha Kila wiki, ambamo wanahamasisha vijana wenzao na jamii kwa ujumla kuwa rafiki wa mazingira, kwa kuyatunza na kuyasafisha. Vijana hao wana matumaini ya kubadilisha fikra za jamii kuhusu mazingira yao.
Uturuki yaelekea kwenye udikteta
Kamata kamata yatanda nchini Uturuki
Matayarisho kwa msimu mpya yapamba moto
Timu zinazoshiriki katika ligi ya Ujerumani Bundesliga zimeanza rasmi matayarisho ya msimu ujao
Tuchel aelezea matumaini katika msimu mpya
Borussia Dortmund imewauza wachezaji watatu nyota ambao walikuwa nguzo ya timu hiyo
Rangi nyeupe yapunguza joto mijini?
Unayo habari kwamba kupaka rangi nyeupe kuta na paa za nyumba kunaweza kupunguza viwango vya joto mijini? Kwa zaidi ungana na, John Juma, katika makala yake ya Mtu na Mazingira.
Mataifa yaombwa kutekeleza mkataba wa Paris
Wanamazingira wakutana Bonn kuimarisha makubaliano ya Paris
Kwaheri msimu wa 2015/16 wa Bundesliga
Bayern waliibuka kidedea, Stuttgart na Hanover wakashuhswa daraja
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua
Jitihada za kupunguza joto ulimwenguni
Kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
Afrika Mashariki yapambana na joto kali
Jua kalilimewaghadhabisha wakazi wengi wa Afrika Mashariki. Daktari anashauri nini cha kufanya kulinda ngozi.
Wanaharakati wa mazingira watunza fukwe za Msumbiji
Kama ilivyo kwa nchi nyingi za kiafrika, uchafuzi wa mazingira ni tatizo sugu kwa Msumbiji. Athari za kukosekana mfumo mzuri wa ukusanyaji taka zinadhihirika kwenye pwani ya Mashariki ambako kuna mlundikano wa taka, nyingi zikiwa zile zilizotupwa na waliokuja kutembea. Mtaalamu wa sheria na mazingira Carlos Serra Junior ameamua kuchukua hatua.
Watoto Syria wanaishi katika mazingira magumu
Save the children linasema huenda watoto wakakumbwa na madhara ya muda mrefu kutokana na vita vinavyoendelea
Besigye azidi kuonja joto la jiwe Uganda
Polisi yamkata tena Besigye wakati Museveni akiongoza
Medvedev: Vita Baridi vipya vimeanza
Urusi inasema dunia inatumbukizwa katika vita baridi kutokana na mizozo ya Ukraine na Syria
Joto la uchaguzi lapanda Uganda
Huku siku zikisonga mbele, raia nchini Uganda wanazidi kupatwa na wasiwasi wa namna uchaguzi utakavyokuwa.
Athari za mvua za El Nino Afrika Mashariki
Eneo la Afrika Mashariki lilishuhudia mvua za El Nino. Mamilioni ya watu wameathirika kutokana na mvua hizo, zinazoendelea tangu mwisho wa mwaka jana hadi leo. Mtu na Mazingira inamurika hatari ya mvua za El Nino kwa mazingira.
Ongezeko la joto kupunguzwa hadi chini ya asilimia 2
Mswada kamili wa makubaliano juu ya kupunguza ongezeko la joto duniani umetolewa leo mjini Paris.
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia nchi Paris
Mawaziri wa mataifa 195 wanawazisha misimamo ya nchi za kusini na za kaskazini ili kufikia makubaliano
Lazima kukomesha udhalimu
Lazima kukomesha adhabu ya kifo
Fabius kuwasilisha mswada mpya wa mazingira
Ufaransa itawasilisha leo rasimu ya mswada mpya wa mkataba wa kupunguza joto duniani
Mkutano wa mazingira Paris waingia wiki muhimu ya mwisho
Mazungumzo ya Umoja wa Mataifa ya mabadiliko ya tabia nchi yanaingia katika wiki yake ya mwishomuhimu kupata makubaliano
Misitu ihifadhiwe
Ukikata mti otesha mwengine-ndio kauli mbiu ya kuhifadhi mazingira
Rasimu ya Mpango wa Kuyalinda Mazingira Yapatikana Paris
Wataalamu waafiki rasimu ya mpango wa kudhibiti ongezeko la joto duniani
Mivutano yachomoza Mkutanoni
Mapendekezo kukabidhiwa Laurent Fabius hadi disemba 5
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 18 wa 27
Ukurasa unaofuatia