You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Hali ya hewa
Iwe mvua au jua - ni suala la mazingira
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mkaa uliotengenezwa kwa kinyesi Nakuru
Mkaa huo unaotumiwa kupikia majumbani na kwenye shughuli za viwanda umetajwa kuwa uvumbuzi wa kipekee.
Mbinu za kuokoa mazingira zatafutwa Afrika
Zaidi ya wajumbe 800 wanafanya mkutano jijini Nairobi kwa lengo la kujadili uhifadhi wa misitu na mazingira.
Bayern yaanza msimu mpya kwa ushindi
Bayern Munich walipata shindi wa mabao matatu kwa moja dhidi ya TSG Hoffenheim uwanjani Allianz Arena
Unaona nini, yavuyavu ama mfuko wa plastiki?
Mifuko ya plastiki inaharibu mazingira ya baharini. Viumbe hai vinashindwa kutafautisha kati ya yavuyavu na mifuko ya plastiki. Je wewe unaweza kuiona tofauti kati ya vitu hiyo viwili haraka haraka?
Madhara ya Mabadiliko ya Tabianchi Magazetini
Madhara ya Mabadiliko ya Tabia Nchi Magazetini
Watetezi wa mazingira zaidi ya 200 waliuawa mwaka 2017
Brazil ndiyo nchi hatari kwa wanaharakati
Mjasiriamali anayetumia vitu chakavu kutunza mazingira
Matumizi ya karatasi chakavu ni miongoni mwa vyanzo vya ajira ambavo huajiri kundi kubwa la watu. Katika kuhamasisha utunzaji wa mazingira,kijana mlemavu wa ngozi Jijini Dar es Salaam Sadiq Bakari ameanzisha utengenezaji wa vifungashio rafiki wa mazingira.
Kenya: Masomo yaanza tena Solai baada ya watoto 14 kufa
Wanafunzi wangali wamekumbwa na majonzi kufuatia vifo vya wenzao
Schalke yamaliza msimu katika nafasi ya pili
Wolfsburg na Hamburg zipo katika hali tete wakati Schalke ikimaliza msimu katika nafasi ya pili
Nchi zenye mazingira magumu kwa waandishi wa habari
Ghana ndio kinara
Makala zetu 22.04.2018
Arsene Wenger kuachia ngazi mwishoni mwa msimu
Arsene Wenger ataachia ngazi mwishoni mwa msimu huu Arsenal
Mvua yaua watu 9 Dar es Salaam
Mvua zinazoendelea kunyesha nchini Tanzania zimesababisha vifo, kusimama shughuli za kiuchumi na kuharibu miundombinu.
Meya Mstahiki azungumzia mafuriko ya Dar es Salaam
Mafuriko yaikumba Tanzania kutokana na mvua kubwa maeneo mengi jijini Dar es Salaam. Juhudi gani zinachukuliwa?
Lango la Brandenburg
Ni eneo la kihistoria mjini Berlin. Wajerumani wenyewe na hata wageni wengi hupenda kuzuru eneo hili kutokana na utajiri wake kihistoria. Ni eneo lililoko lango la Brabndenburg. John Juma naye alizuru eneo hilo na anakudokezea japo kwa kiduchu kuhusu lango la Brandenburg.
Msitu Kazimzumbwi kurejeshwa hali yake ya zamani
Msitu huo ni muhimu jijini Dar es Salaam, Tanzania kwani unahitajika kuvuta hewa chafu inayotokana na viwanda.
Muda unayoyoma kuokoa mimea na wanyama wa dunia
Ripoti zilozinduliwa katika mkutano wa viumbe hai zinatahadharisha dhidi ya vitisho vinvyavikabili viumbe hai duniani
Bayern yapata kipigo cha pili msimu huu dhidi ya Leipzig
Bayern yapata kipigo dhidi ya RB Leipzig
Jinsi kalunguyeye, ndege na panya wanavyoishi kwenye majira ya baridi
Iwapo wanadamu tunakufa ganzi majira ya baridi ilhali tumevalia majaketi ya baridi. Vipi kuhusu wanyama wadogo na dhaifu
Mlima wa takataka waua 17 Msumbiji
Mvua yasababisha maporomoko ya takataka na kuua watu 17 Msumbiji.
Ziwa Ol Bolossat hatarini kutoweka
Wataalmu wa mazingira wanaonya kiasi cha maji katika Ziwa Ol Bolossat lililopo nchini Kenya kinapungua maji kwa kasi.
Uhaba wa madini joto mwilini
Uhaba wa madini joto ama "iodine" hufanya vigumu mwanamke kushika mimba, utafiti wa masuala ya afya umeonyesha.
Afya Yako: Uhaba wa madini joto mwilini
Utafiti wa hivi karibuni wa masuala ya afya unaonyesha kuwa wanawake walio na ukosefu wa madini joto mwilini yaani "iodine" na ambao wanajaribu kubeba ujauzito wana nafasi ndogo ya kutunga ujauzito ukilinganisha na wanawake walio na kiwango kikubwa cha madini joto. Sylvia Mwehozi anafafanua zaidi katika makala ya Afya Yako.
Mkutano wa Paris kukusanya fedha za mazingira
Mkutano wa Paris kukusanya fedha kuhifadhi mazingira
Uvurugaji wa mazingira asilia na athari zake
Iwe ni kuwezesha ujenzi, kilimo au shughuli yoyote ile, uvurugaji wa hali asilia ya mazingira husababisha madhara mengi. John Juma anaelezea zaidi kwenye makala ya Mtu na Mazingira
Mradi mkubwa wa kusafisha fukwe za bahari waanzishwa India
Mtu mmoja ameanzisha mradi mkubwa zaidi wa kusafisha fukwe za bahari duniani.
COP23: Hatua za dharura zahitajika kuyaokoa mazingira
Viongozi wa nchi wameahidi kuzipiga jeki juhudi za kupambana na athari za mabadiliko ya tabia nchi.
COP23: Viongozi wasema wakati wa kuyaokoa mazingira ni sasa
Viongozi wa nchi takriban 30 wanahudhuria mkutano wa kimataifa wa mazingira mjini Bonn, Ujerumani.
COP23: Merkel na Macron mstari wa mbele kuyalinda mazingira
Ulimwnegu unaelekeza dira kwa Ujerumani na Ufaransa baada ya Marekani kujiondoa makubaliano ya Paris
Syria yajiunga na makubaliano ya mazingira ya Paris
Rais wa Marekani Donald Trump mwezi Juni aliiondoa nchi yake kutoka makubaliano hayo ya kihistoria ya mazingira.
Upandaji misitu kwa ajili ya maendeleo Afrika Mashariki
Katika Makala ya Mtu na Mazingira Hawa Bihoga anaangazia janga la ukataji miti kwa kanda ya Afrika Mashariki, akijikita zaidi kwa nchi za Tanzania na Kenya, na mikakati ya kiserikali katika kukabailiana na ukataji holela wa misitu.
ACT-Wazalendo na joto la utawala wa Magufuli
Kwenye Kinagaubaga wiki hii, kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, anazungumza na Mohammed Khelef juu ya hali ya kisiasa nchini Tanzania na nafasi ya chama chake kudumu kwenye ulingo wa siasa za vyama vingi katika nyakati kama hizi.
Mkutano wa kimataifa wa mazingira waanza Bonn
Mkutano wa mazingira wa Bonn unatarajiwa kuhudhuriwa na watu 25,000 kutoka zaidi ya nchi 195 kwa wiki mbili zijazo
Wanaharakati wa kulinda mazingira waandamana Bonn
Waandamanaji wanashinikiza serikali ya Ujerumani kuachana na utumiaji wa makaa ya mawe kama chanzo cha nishati.
Mataifa yajiandaa kwa COP23
Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kujadili tabia ya nchi utafanyika Bonn, Ujerumani. Huu ni mkutano wa 23 wa aina hii.
Uchafuzi wa mazingira ni hatari kuliko vita, maafa na njaa
Uchafuzi wa mazingira unaua watu wengi zaidi kila mwaka kuliko hata vita, maafa na baa la njaa.
RB Leipzig kuonja joto la Champions League
Michuano minane ya Champions League kufanyika Jumatano
Magazetini: Mjadala wa vyama vidogo vya kisiasa wafanyika
Pia mkutano wa kilele wa Berlin uliojadili athari zilizosabishwa na gesi chafu ya magari yanayotumia mafuta ya diseli.
Plastiki nchini Kenya: Kutoka biwi la takataka hadi tumboni
Takataka za mifuko ya plastiki zinaweza kujipenyeza katika vyakula bila kutarajiwa
Uhusiano wa wakimbizi na waturkana waimarika nchini Kenya
Mradi huu unalenga kuimarisha hali ya maisha ya wakimbizi katika kaunti ya Turkana kaskazini mwa Kenya
Uharibifu wa mazingira huenda ukaongezeka Brazil
Rais wa Brazil alaumiwa kwa kushinikiza sheria itakayowanufaisha wafanyibiashara na wapokonyaji ardhi msituni Amazon.
Mazishi ya pamoja yafanywa Sierra Leone kwa mamia ya maiti
Hofu ya mvua inayotarajiwa kunyesha huenda ikalemaza juhudi za uokozi wakati ambapo watu 600 bado hawajulikani waliko
Vilabu vya Bundesliga vitafanya vipi katika msimu wa 2017-18?
Ufuatao ni ubashiri wa DW wa jinsi timu 18 za Bundesliga zitakavyomenyana msimu wa 2017-18.
Bayern yanyakua taji la kwanza la msimu
Bayern Munich yanyakua taji la kwanza la msimu, Super Cup dhidi ya mahasimu wao wakubwa Borussia Dortmund. Arsenal yajaribu mitambo yake kwa mafanikio katika Ngao ya hisani dhidi ya mabingwa Chelsea. Ligi ya Ufaransa yaanza kutimua vumbi, Paris St. Germain yashinda bila Neymar aliyejiunga nayo hivi karibuni.
Uchafuzi wa Ziwa Tanganyika Burundi
Ziwa Tanganyika lililoko Afrika Mashariki ni ziwa lenye kina kirefu barani Afrika. Tanzania, Burundi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Zambia zinapakana na ziwa hilo. Katika Mtu na Mazingira Amida Issa anaangazia uchafuzi wa maji ya Ziwa Tanganyika nchini Burundi na juhudi za kusafisha.
Maandalizi ya kabla ya kuanza Bundesliga
Vilabu 18 vya ligi kuu ya Ujerumani - Bundesliga vimeanza rasmi maandalizi ya msimu wa mwaka 2017 - 18
G20: Marekani haitaki muafaka wa mazingira
muafaka katika G20 , bado Marekani yatengana na wengine
G20:Ghasia mitaani joto la kisiasa kwa Merkel
G20:Ghasia mitaani joto la kisiasa kwa Merkel
Mazingira mada tete mkutano wa G20
Mazingira yatarajiwa kupewa nafasi kubwa katika mkutano wa mataifa yenye nguvu ya kiuchumi G20 utakaofanyika Hamburg.
Siku ya kulinda mbuga Ulaya
Hifadhi za mbuga na maeneo asilia ya mazingira
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 27
Ukurasa unaofuatia