You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Martin Schulz
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kansela Scholz afanya mazungumzo na Rais wa China Xi Jinping
Rais wa Urusi Vladimir Putin ameiondoa nchi yake katika makubaliano yanayopiga marufuku majaribio ya silaha za nyuklia,
Ziara ya Scholz Afrika kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Ziara ya Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz nchini Ghana na Nigeria ililenga kuimarisha uhusiano wa kimkakati na kiuchumi.
Ujerumani yawaomba radhi Watanzania kwa madhila ya Ukoloni
Rais Steinmeier ameahidi kuitanabahisha jamii ya Wajerumani kuhusu madhila hayo ili historia hiyo isisahaulike
Steinmeier aondoka Ujerumani kuelekea Tanzania
Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier ameondoka Ujerumani Jumatatu kuelekea Afrika kwa ziara ya siku nne.
Scholz asema Ujerumani iko tayari kuekeza Nigeria
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema nchi yake iko tayari kuekeza katika gesi na madini muhimu nchini Nigeria.
Scholz: Ujerumani kukuza mahusiano ya kibiashara na Nigeria
Scholz ambaye ataitembelea pia Ghana, amesema Ujerumani inatarajia pia kuagiza gesi asilia kutoka Nigeria.
Magazeti ya Ujerumani kuhusu Afrika
Ziara ya Rais wa Ujerumani Frank- Walter Steinmeier inayotarajiwa Tanzania wiki ijayo.
Republican wamteuwa Johnson kuwania uspika wa Wawakilishi
Msuguano mkali unaoendelea umelifanya Baraza hilo kushindwa kufanya kazi zake kwa zaidi ya wiki tatu sasa.
Kesi dhidi ya mshukiwa wa mauaji Ujerumani yaanza
Mshukuwa wa mauwaji ya watu wawili katika mji wa Duisburg nchini Ujerumani amepandishwa kizimbani.
Mawaziri wa EU kujadili ufadhili wa Ukraine na mzozo wa Gaza
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wanakutana nchini Luxembourg kujadili mzozo wa Mashariki ya Kati.
Maandamano ya kuunga mkono, kupinga Israel yazagaa duniani
Maelfu wamekusanyika London a Berlin kupinga chuki dhidi ya Wayahudi, huku maandamano ya mshikamano na Gaza yakisambaa.
Urusi yazidi kuishambulia Ukraine kwa makombora
Jeshi la anga la Ukraine limedungua ndege tatu za Urusi zisizo na rubani ambazo zililenga maeneo muhimu ya Ukraine.
Biden kuizuru Israel wakati ikijiandaa kuivamia Gaza
Maelfu ya wakazi wa Gaza wamekusanyika kivuko cha Rafah wakisubiri ruhusa ya kutoka na kuingia Misri kuepuka maafa.
Scholz kwenda Israel kuonesha mshikamano
Scholz wa Ujerumani anakwenda Israel kuonyesha mshikamano kufuatia shambulzi baya kabisa la kigaidi la Hamas.
Faeser: Wafuasi wa Hamas wanapaswa kufurushwa Ujerumani
Faeser asema watatumia njia zote za kisheria kuwafurusha wafuasi wa Hamas
Scalise hajathibitisha uungwaji mkono unaohitajika
Mkutano wa chama cha Republican wagawanyika
Scholz: Ujerumani kupiga marufuku shughuli za Hamas
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema shughuli za kundi la Hamas zitapigwa marufuku nchini mwake.
Ujerumani kupiga marufuku shughuli zote za Hamas
Kansela wa Ujerumani Olaf Scholz amesema shughuli zote za kundi la Hamas nchini Ujerumani zitapigwa marufuku.
Ujerumani kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025
Waziri wa ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amesema nchi yake itaanza kuipa NATO wanajeshi 35,000 kuanzia 2025.
Polisi ya Ujerumani yawasaka wanachama wa Reichbürger
Misako imefanyika Bavaria, Baden-Württemberg, Hesse, North Rhine Westphalia, Rhineland-Palatinate na Thuringia.
Vyama ndugu vya kihafidhina vyashinda chaguzi za kijimbo
Matokeo hayo ni ishara kwamba raia wa Ujerumani wanataka sera mpya za wahamiaji
NATO:Ujerumani yakubali kutuma mifuno ya ulinzi anga Ukraine
NATO yaipongeza Ujerumani kukubali kutuma mifumo ya ulinzi wa anga Ukraine.
Rais wa Ujerumani Steimeier akutana na Biden wa Marekani
Viongozi hao wanatarajiwa kusisitiza mshikamano baina ya nchi zao na pia katika kuinga mkono Ukraine.
Steinmeier aahidi kuisaidia Cape Verde
Steinmeier yuko kwenye ziara ya kiserikali ya siku mbili nchini Cape Verde.
Ujerumani yaadhimisha miaka 33 ya kuungana tena
Ujerumani yaadhimisha miaka 33 tangu kuungana tena kwa pande mbili za iliyokuwa Ujerumani mashariki na ile ya magharibi.
Nchi za EU zaafikiana kuhusu mkataba wa wahamiaji
Mataifa wanachama wa Umoja wa Ulaya yamekubaliana kuhusu marekebisho ya jinsi ya kuwashughulikia wahamiaji.
Kevin McCarthy aondolewa kama Spika wa Bunge la Marekani
Wabunge wa mrengo wa kulia kutoka chama cha Republican wamemtimua spika wa bunge la Marekani katika kura ya kihistoria.
Mataifa ya EU yajaribu kupata makubaliano kuhusu wahamiaji
Wajumbe wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Brussels wakitaraji kupata suluhisho la mkwamo kati ya Ujerumani na Italia
Viongozi wa Ujerumani wajumuika kwa miaka 33 ya muungano
Viongozi wa Ujerumani wajumuika kwa miaka 33 ya muungano.
Ujerumani: NATO yapaswa kujiimarisha kufuatia vita Ukraine
Breuer: Uvamizi huo haramu unasisitiza umuhimu wa kuwepo vikosi vya jeshi vilivyo tayari kwa mapambano.
Ujerumani kulegeza msimamo kuhusu mageuzi ya uombaji hifadhi
Serikali ya Ujerumani imesema ipo tayari kukubali pendekezo jipya kuhusu udhibiti wa uhamiaji kuingia Umoja wa Ulaya.
Israel na Ujerumani kusaini mkataba wa kununua silaha
Makubaliano ya kuiuzia Ujerumani mfumo wa ulinzi wa makombora aina ya Arrow 3 yanatarajiwa kutiwa saini mjini Berlin.
Mahakama yamtia hatiani Trump kwa udanganyifu
Trump anaongoza kwenye kinyang'anyiro cha kuwania urais kwa chama chake cha Republican na anaendelea na kampeni zake.
Ujerumani yapinga pendekezo la ukomo wa wakimbizi
Mzozo wa wakimbizi barani Ulaya unazidi kuongezeka haswa baada ya wimbi kubwa la wakimbizi kuingia katika Italia.
Waziri wa Ulinzi Ujerumani aanza ziara, Mataifa ya Baltic
Waziri wa Ulinzi wa Ujerumani Boris Pistorius amewasili Jumatatu katika mji mkuu wa Latvia, Riga kwa ziara ya siku tatu.
Poland yaishtumu Ujerumani kwa kuingilia mambo yake ya ndani
Hii ni baada ya Kansela Olaf Scholz kusema nchi hiyo inahitaji kutoa ufafanuzi huo
Ulaya yaonywa juu ya ongezeko la wapinga demokrasia
Ulaya yaonywa juu ya ongezeko la wapinga demokrasia
Nchi 4 zataka mageuzi ya Baraza la Usalama la UN
Ujerumani, Brazil, Japan na India zajadiliana namna ya kulifanyia mageuzi Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
Maelfu ya wahamiaji wawasili tena Lampedusa, Italia
Maelfu ya wahamiaji wamewasili tena kwenye kisiwa cha Lampedusa kinachomilikiwa na Italia katika Bahari ya Mediterenia.
EU, Ujerumani zaitaka Poland kujieleza kuhusu rushwa ya visa
Upinzani wa Poland unadai kuwa idadi halisi huenda ni watu 250,000 waliopewa visa kwa njia ya udanganyifu na rushwa.
Steinmeier: Ujerumani imefikia ukomo wa kupokea wahamiaji
Rais wa Ujerumani Frank-walter Steinmeier amekiri taifa hilo lakabiliwa na changamoto ya kupokea wahamiaji zaidi.
EU, Ujerumani zataka Poland kujieleza kuhusu rushwa ya visa
EU na Ujerumani zimeiongezea Poland shinikizo kufafanua kashfa ya utoaji viza inayoweza kuathi uhusiano na majirani.
Ujerumani: Watu kadhaa wajeruhiwa kwenye mkutano wa Eritrea
Vurugu zilitokea kati ya wanaounga mkono na wanaipinga serikali ya Eritreaya rais Isaias Afwerki.
Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kuendeleza vikwazo kwa Iran
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zitaendelea kuiwekea vikwazo Iran kutokana na kuendelea kuzalisha silaha za nyuklia.
Ujerumani kubana matumizi katika bajeti yake mpya
Makato hayo ni tata kwenye serikali ya shirikisho ambayo muungano wake unahusisha chama cha kansela Olaf Scholz.
G7 inahitaji kuongeza wanachama
Mkuu wa Kongamano la Usalama la Munich, anaunga mkono kuongeza wanachama wa G7.
Scholz atoa mwito kwa Ujerumani kuungana kunusuru taifa
Scholz pia amekishambulia chama cha siasa kali za mrengo wa kulia chama mbadala kwa Ujerumani AfD, kutaka kuibomoa nchi.
Ujerumani yaonya dhidi ya uvumi wa kifo cha Prighozhin
Waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Annalena Baerbock ameonya juu uvumi unaosambaa kuhusiana na ajali ya ndege ambayo ma
Viongozi wa neo-Nazi kufikishwa mahakamani Jena.
Viongozi wa neo-Nazi kufikishwa mahakamani Jena.
Ujerumani haitoweka sheria kwa lengo la NATO kijeshi
Serikali ya Ujerumani haitaki kuweka sheria kwa ajili ya kufikia lengo la matumizi ya kijeshi la Jumuiya ya NATO.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 7 wa 47
Ukurasa unaofuatia