You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Uchaguzi Mkuu Kenya 2017
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Hatimaye Ruto aahidi kukomesha utekaji raia
Ruto ameahidi kukomesha matukio ya utekaji nyara kufuatia shinikizo la umma baada ya watu kadhaa kutoweka.
Mamlaka Kenya zakanusha kuwateka wakosoaji wa serikali
Haya yanajiri baada ya vijana 4 kutoweka siku chache zilizopita katika mazingira ya kutatanisha nchini Kenya.
Mpango tata wa kutoa chango kwa mifugo Kenya kuanza Januari
Hata hivyo, mjadala kuhusu utekelezaji wa zoezi hilo umeibua hisia kali, huku baadhi wakipendekeza usitishwe.
Korti kuu Kenya yakataa kuzuia mjadala wa kumng'oa Gachagua
Rigathi Gachagua anakabiliwa na mashtaka 11 yakiwemo rushwa, matumizi mabaya ya ofisi na kujilimbikizia mali.
IMF yapokea maombi ya kuitathmini Kenya
Hayo yanatokana na shinikizo kutoka mataifa ya Magharibi.
Wabunge waridhia mjadala wa kumuondoa makamu rais Kenya
Wabunge nchini Kenya wameridhia kuanza mjadala kuhusu kumuondoa madarakani naibu wa rais Righathi Gachagua.
Bunge la Kenya lapokea hoja ya kumuondosha makamu wa rais
Uhusiano kati ya Rais William Ruto na makamu wake huyo umeonekana kuvurugika kwa muda na sasa bunge limeingilia kati.
Bunge la Kenya lapokea hoja ya kuuzuliwa makamu wa rais
Bunge la Kenya limepokea hoja ya kumuondowa madarakani Naibu wa Rais Rigathi Gachagua kwa madai ya kukiuka katiba.
Amenya asema maisha yako hatarini
Nelson Amenya amesema anakhofia uhai wake na kwamba maisha yake yako hatarini.
Bima ya afya ya umma yaanza Kenya
Wakenya wanafungua ukurasa mpya baada ya bima mpya ya afya kuanza kutumika leo.
Wafugaji wa samaki Kenya wapata hasara ya mamilioni
Wafugaji samaki kwenye Ziwa Viktoria upande wa Kenya wamepatwa na hasara kubwa baada ya samaki wao kufa ghafla.
Wakenya watatu waliotoweka wakati wa maandamano waachiwa
Watatu hao wanadaiwa kutekwa na wanaume waliojitambulisha kuwa askari polisi mnamo Agosti 19 katika eneo la Kitengela.
Raia watatu waliotekwa maandamano ya Gen-Z Kenya waachiliwa
Raia watatu waliotekwa wakati wa maandamano ya vijana wa Gen-Z nchini Kenya wameachiliwa huru.
Mwanariadha wa olimpiki Mganda afariki baada ya kuunguzwa
Rebecca Cheptegei alimuagiwa petroli na mpenzi na kisha kumuasha moto, kutokana na mzozo juu ya kipande cha ardhi.
Mchungaji Paul Mackenzie ashtakiwa kwa mauaji Kenya
Mchungaji Mackenzie aliwahimiza waumini wake kufunga hadi kufa ili wakutane na bwana Yesu Kristo mbinguni.
Utulivu warejea Kenya baada ya siku ya maadamano
Zimepita wiki 4 tangu maandamano ya kupinga mswada wa fedha wa 2024 uliotupiliwa mbali na kudai uongozi bora kuanza.
Shinikizo laiandama serikali ya Kenya kutuliza maandamano
Rais William Ruto amejizuwia kufafanua mabadiliko atakayoyafanya lakini amesisitiza ipo haja ya kuwepo mageuzi.
Haiti yaisifia kazi ya polisi kutoka Kenya
Cornille alisema polisi wa Kenya waliotumwa hivi karibuni nchini kwake watasaidia kuyadhibiti magenge yenye silaha.
Mabomu ya machozi, mawe, moto Wakenya wakimkaidi Ruto
Maandamano ya nchi nzime yameashiria Rais Ruto ameshindwa kuwashawishi vijana licha ya kufuta muswada wa fedha wa 2024.
Blinken akaribisha hatua za rais wa Kenya kutuliza mvutano
Rais wa Kenya William Ruto amesema leo kuwa hatoutia saini mswada tata wa fedha na kuuondoa kabisa.
Mtu mmoja auawa, zaidi ya 200 wajeruhiwa maandamano ya Kenya
Polisi walikuwa wakijaribu kuzima maandamano ya kitaifa dhidi ya mipango ya serikali ya kuongeza kodi.
Watu 200 wakamatwa maandamano ya ongezeko la kodi Kenya
Zaidi ya waandamanaji 200 wamekamatwa katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi, katika maandamano dhidi ya ongezeko la kodi.
Nira Ismail: Makutano ya ukimbizi na uandishi wa habari
Liicha ya changamoto za ukimbizi, Nira amegeukia uandishi wa habari kwa njia ya kutatatua matatizo ya wakimbizi wenzake.
Marekani, Kenya kuimarisha ushirikiano wa biashara, uchumi
Marekani na Kenya zimesema zitafanya duru mpya ya mazungumzo ya biashara mjini Mombasa, Kenya.
Kenya na Somalia zafungua ukurasa mpya wa ushirikiano
Waziri mkuu wa Somalia Hamza Abdi Barre amefanya ziara rasmi na kupokelewa na naibu wa rais wa Kenya Rigathi Gachagua.
Umeme wakatika Tanzania wakati Kimbunga Hidaya kikikaribia
Sehemu kubwa ya Tanzania ilikosa umeme siku ya Jumamosi wakati mvua kubwa na pepo kali za Kimbunga Hidaya kikikaribia.
Mgomo wa madaktari waumiza wagonjwa Kenya
Baadhi ya familia zinaomboleza vifo vya wapendwa wao kutokana na kukosa huduma za matibabu katika hospitali za umma.
Ruto aamuru jeshi kuwaokowa waliokumbwa na mafuriko
Ruto ameliagiza jeshi kuwahamisha wananchi ambao wamekumbwa na mafuriko baada ya watu 171 kufariki dunia.
Waliokufa kwa mafuriko, maporomoko Kenya wapindukia 160
Serikali imesema kuwa mtu yeyote atakayepatikana akivuuka maji ya mafuriko atashtakiwa kwa jaribio la kujiuwa.
Ruto aitisha kikao maalum kujadili athari za mafuriko
Ruto ameitisha kikao maalum kujadili hatua za kukabiliana na mafuriko yaliyosababisha vifo vya zaidi ya watu 170.
Mafuriko, maporomoko yasomba nyumba kadhaa Kenya
Kenya inasema mafuriko na maporomoko ya ardhi yamesomba nyumba na kukatiza shughuli katika eneo la Mahi-Mahiu.
Wakenya waomboleza kifo cha mkuu wa majeshi
Kenya maombolezo baada ya mkuu wa majeshi na maafisa tisa waandamizi jeshini kufariki dunia kwa ajali ya helikopta.
Kenya yatimiza mwaka mmoja tangu mauaji ya Shakahola
Kenya inatimiza mwaka mmoja tangu yalipogunduliwa makaburi yaliyozikwa mamia ya watu waliokufa kwa imani za kidini.
Ndege ya jeshi la Kenya yaanguka
Ndege ya kijeshi ya Kenya iliyokuwa imembeba Mkuu wa Majeshi, Francis Ogolla, imeanguka katika mpaka wa Kaben-Cheptule.
Burundi yaomba msaada kukabiliana na athari za mvua
Burundi na Umoja wa Mataifa zimetoa wito wa msaada wa kifedha ili kukabiliana na athari mbaya ya mvua mkubwa nchini humo
Juhudi za kupambana na ujambazi Kenya
Miongoni mwa mikakati inayowekwa ni kubuni shule za malazi zitakazowachukua wanafunzi kutoka jamii hasimu.
Ripoti: Polisi Kenya bado yakumbwa na jinamizi la ufisadi
Jopo kazi linalochunguza utendaji wa polisi limependekeza nyongeza ya mishahara kukabiliana na ufisadi.
Mashambulizi ya wahudumu wa afya Kenya yatisha - Wauguzi
Chama wa Wauguzi cha Kenya kinasema wahudumu wa afya wamegeuka kuwa walengwa wa mashambulizi ya kiholela ya wananchi.
Nusu ya Wakenya wako kwenye mkwamo wa kifedha - Utafiti
Utafiti mpya unaonesha nusu ya Wakenya wanakabiliana na mkwamo wa fedha na kuzongwa na madeni.
Kenya inavyopambana kuwalinda watumiaji wa mitandao
Mamlaka nchini Kenya zinahimizwa kuchukuwa hatua za kuwalinda raia wake dhidi ya uhalifu unaofanyika kupitia mitandao.
Ufisadi Kenya: Mihimili mitatu ya serikali yapewa siku 30
Mihimili mitatu ya serikali nchini Kenya zina siku 30 za kuandaa mapendekezo ya namna ya kukabiliana na ufisadi.
Kamati ya bunge Kenya yataka mageuzi tume ya uchaguzi
Kamati ya maridhiano ya bunge la Kenya imetoa mapendekezo ya kufanyia mageuzi tume ya uchaguzi nchini humo.
Ujerumani yaomba radhi kwa ukoloni wake Afrika Mashariki
Mwanahistoria Mohamed Said anazungumzia kauli ya Rais Steinmeier kuomba radhi kwa maovu ya ukoloni wa Ujerumani.
Mfalme Charles III ajizuwia kuwaomba radhi Wakenya
Mfalme Charles III na mkewe,Camilla, wamo kwenye ziara ya siku nne nchini Kenya iliyopata uhuru kutoka Uingereza 1963.
Wapiganiaji uhuru Kenya wamtaka Mfalme Charles kuomba radhi
Mfalme Charles III wa Uingereza na mkewe Malkia Camilla wameanza leo ziara yao ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya.
GSU Kenya washitakiwa mauaji ya mwandishi wa Kipakistani
GSU imefunguliwa rasmi mashitaka kwa mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa Kipakistan yaliyotokea Nairobi.
Mfalme wa Uingereza alitembelea koloni la zamani Kenya
Akiwa Nairobi, Thelma Mwadzaya anazungumzia ziara hiyo kupitia mahojiano na Saumu Njama aliyepo studio za Bonn.
Mfalme Charles III ziarani Kenya
Mfalme Charles III wa Uingereza na mkewe Malkia Camilla wameanza leo ziara yao ya kiserikali ya siku nne nchini Kenya.
Wanne wafa kwa mkanyagano Siku ya Mashujaa Kenya
Maadhimisho hayo ambayo yalivutia watu wengi yamesababisha vifo vya watu wanne kufuatia tukio la mkanyagano.
Ruto ataka uwekezaji zaidi wa China barani Afrika
Rais wa Kenya Willium Ruto ameitaka China kuongeza uwekezaji wake katika uchumi wa kidijitali barani Afrika.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 23
Ukurasa unaofuatia